Garama za mradi zinaongezeka Kila kukichaSerikali haiwezi kurudisha pesa za mradi ambao unaonekana hauwezi kuendesheka kwa faida mpaka unataka kuuzwa hivi.
Kotakachotokea hapo ni kwamba mradi utauzwa kwa bei ya hasara na pesa nyingi zitatokea.
Kwanza mradi kukaa miaka mingi haujakamilika tu ni hasara kubwa.
Hapa hasara haiepukiki acha kuitetea serikali.
Lengo ili kuwa kuziuza kwa Wafanya kazi wa Seilrikali na watu wenye kipato cha kati- Bank zingewalipa NSSF cash 100% ya Nyumba zote wao Bank wakabaki Wana kusanya Hela zao Toka kwenye Mishahara ya Wafanya kazi wa Serikali for 15-20 Years. Sasa ukipangisha ata 1 M kwa mwezi aitorudisha pesa walizowekeza NSSF.hivi kuna mtu hapa anauliza ila hana mtandao wa jf. haiwezekan ukamaliziwa maana ukibak finishing tu.kisha nyumba zikapangishwa kwa bei nafuu
Sii watupe sie bodaboda tukaishi na familia zetuKwa hiyo yale magorofa magofu wananchi tukagawane? Au tugawane hata tofali
Whether inaitetea au huitetei, serikali ilifanya makosa kwa kuchukua pesa za watu bila ruhusa yao na kujenga mradi ambao inaonekana wazi kabisa haukufanyiwa feasibility study hata ya watoto wa shule wanaojifunza tu.Garama za mradi zinaongezeka Kila kukicha
1.kuna wizi mkubwa sana ulitokea wa vitu mbalimbali pale
2. Kwa kuchelewa huu mradi Interest rate ya deni inaongezeka
3.Tayari depreciasion ya majengo inaendelea kukuwa kabla majengo ayajakaliwa
4.kuna kampuni ya ulinzi inalipwa kukinda majengo ambayo ayaingizi kitu
Ukweli ni kuwa mradi huu walengwa wote wameamia Dodoma kikazi na Akuna mtu anefanya kazi Dodoma akanunua nyumba Dar kwa sasa. Serikali siitetei lakini hii do hali halisi kuwa mradi umeshindwa endelea kwa sababu ya Watumishi wa serikali kuhamia Dodoma .mradi huu kwa sasa kama ungelifanyika Dodoma hakika ungeisha fasta.nini Kifanyike??? Muhimbili kwa sasa Wapo Mbioni kujenga Hospitali Shule pale Mlonganzila....Kutokana na Population ya Dar kwa sasa ikiwemo na Kigamboni Serikali inaweza kutumia pesa za kujenga hii hospital shule Kigamboni na kusave 1. Pesa zikanunua huu mradi 2.Wakazi wa Kigamboni wakapata hospital ya rufaa ikawa win win situation. Au IFM Wana miaka zaidi ya mitano wanatafuta pesa ya kujenga new campus pale Msata. Wangeyachukuwa haya majengo yakawa new IFM campus na uzuri wake vijana wengi wa IFM wanaishi tayari Kigamboni....hii ni mifano michache tu ambayo if done Dege Eco City can be profitable🙏
Nimekumbuka zile 30 billion zilikuwa za miradi ya NHC Kawę na mingine.Ni dhahiri
Wanufaika...Mradi ulianzishwa kwa jazba au kwa pupa
Huu mradi utauzwa kwa bei ya kupa kwa wahuni, wataununua na within few months/years utamalizwa na kuwa na faida kubwa. Mark hii post utaniambia.Garama za mradi zinaongezeka Kila kukicha
1.kuna wizi mkubwa sana ulitokea wa vitu mbalimbali pale
2. Kwa kuchelewa huu mradi Interest rate ya deni inaongezeka
3.Tayari depreciasion ya majengo inaendelea kukuwa kabla majengo ayajakaliwa
4.kuna kampuni ya ulinzi inalipwa kukinda majengo ambayo ayaingizi kitu
Ukweli ni kuwa mradi huu walengwa wote wameamia Dodoma kikazi na Akuna mtu anefanya kazi Dodoma akanunua nyumba Dar kwa sasa. Serikali siitetei lakini hii do hali halisi kuwa mradi umeshindwa endelea kwa sababu ya Watumishi wa serikali kuhamia Dodoma .mradi huu kwa sasa kama ungelifanyika Dodoma hakika ungeisha fasta.nini Kifanyike??? Muhimbili kwa sasa Wapo Mbioni kujenga Hospitali Shule pale Mlonganzila....Kutokana na Population ya Dar kwa sasa ikiwemo na Kigamboni Serikali inaweza kutumia pesa za kujenga hii hospital shule Kigamboni na kusave 1. Pesa zikanunua huu mradi 2.Wakazi wa Kigamboni wakapata hospital ya rufaa ikawa win win situation. Au IFM Wana miaka zaidi ya mitano wanatafuta pesa ya kujenga new campus pale Msata. Wangeyachukuwa haya majengo yakawa new IFM campus na uzuri wake vijana wengi wa IFM wanaishi tayari Kigamboni....hii ni mifano michache tu ambayo if done Dege Eco City can be profitable🙏
Hahahaa......Ngoja nicheke tu.Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
If it doesnt benefit them, then it has no value.hivi kuna mtu hapa anauliza ila hana mtandao wa jf. haiwezekan ukamaliziwa maana ukibak finishing tu.kisha nyumba zikapangishwa kwa bei nafuu
Mimi nasubiri tu wataka kumpa nani. Mengine hayanihusu.Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mariam Kisangi.
Mradi wa Dege Eco Village ulinzishwa kwa lengo la kuwekeza fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, ambao ulilenga kuwa na faida zaidi kutokana na uwekezaji wake.
Mradi huo ulisimamishwa na Serikali na umekuwa na maswali mengi kutoka kwa wabunge na wananchi ikiwa inakaribia miaka tisa sasa tangu usimamishwe.
Serikali imekuwa ikielekeza kuwa inatafuta mwekezaji wa kuununua mradi huo ambao hadi mwishoni mwa 2023 ulikuwa na thamani ya Dola za Marekani 220 milioni (Sh501 bilioni).
Jiwe aliona dili imepigwa na yeye hana mgao.Wazimu ilikuwa kuusimamisha mradi. Tayari pesa nyingi ilishatumika. Logistics za kuufufuwa ni gharama kubwa. Mkandarasi naye ana madai yake. Mitambo imeharibika sana.
Soon utapata jibu lako... najua unajua 😉Mimi nasubiri tu wataka kumpa nani. Mengine hayanihusu.
Inasikitisha sana hyo kuna siku tuliingia humo ndani ni kama ghost townWashenzi wameharibu pesa za mifuko ya pensheni.
Tena bila hata kupata ruhusa ya wenye hela zao.