Serikali yafuta mradi wa Dege Eco Village

Ule mradi si ndio ulikuwa aujulikani mwenye kuumiliki mpaka serikali ilipoutwaa rasmi....................pale wezi ndio waliopata hasara maana walitumia pesa ya serikali na serikali ikaja kushtuka na kuutwaa lakini bado wanaufunga inamaana kuna pesa zaidi za walipa kodi zimepakwa kinyesi kwa lugha isiyo rasmi.......harafu kuna fala anakwambia kuwa mzalendo labda uzalendo wa kuto%#^#&@*@# mba tu na si vinginevyo
 

Toka maktaba :

11 December 2014
Real Madrid Football Player Visit Dege Eco Village in Kigamboni, Dar es Salaam Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=YLr95QRMduEKassìm Msemo project manager hopes the huge undertaking will attract partners to pour more money to jointly run ....

TOKA MAKTABA :

20 September 2017

MAJEMBE AUCTION MART WAINGIA MZIGONI DEGE ECO VILLAGE

View: https://m.youtube.com/watch?v=GmZXJdRyfew
Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' na kusimama ujenzi wake mwaka 2016 unapigwa mnada.Kuliripotiwa kuwepo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo na sasa anatafutwa Mwekezaji atakaeuchukua...


TOKA MAKTABA :

27 October 2022

MAMBO MAGUMU, BADO MWEKEZAJI MPYA ANASAKWA DEGE ECO VILLAGE

View: https://m.youtube.com/watch?v=gmf8Y4ZAY8gNi miaka sita tangu kusimama kwa mradi wa ujenzi wa mji wa DEGE ECO Village ulioanzishwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliopo Kigamboni. Ujenzi huo ambao ulihusisha ujenzi uliosuasua wa nyumba ambazo kwa sasa zinaonekana kama magofu ya nyumba zilizotelekezwa...

View: https://m.youtube.com/watch?v=mbqHQeVjvfU
 
Wanataka wauuze kwa bei ya hasara. Ili wauziane wenyewe kwa wenyewe au watafute muarabu
 
Huyu Naibu waziri ndo baibai, yaani hata akigombea uenyekiti wa mtaa hapati.
 
Huo mradi ulikuwa mzuri tu sema ufisadi wa yule jamaa aliye geuza ofisi za serikali kuwa msikiti na kufa na kuzikwa marekani ndiyo cganzo waislamu wanatuhalibia nchi
 
Siyo lazima ulete faida ya kifedha.
Dar es salaam ina matatizo ya makazi, bora wamalizie watu waishi kwa bei nafuu na lile eneo lichangamke.
 
Akili za kipumbavu kabisa hivi kwani nchi ni wafanyakazi wa serikali tu.. yule mpuuzi aliye geuza NSSF kuwa msikiti ndiyo chanzo cha huu uoumbavu wote ...
 
Ili kupunguza hasara ya fedha zilizotumika ni bora wayapige mnada ili wawekezaji wapatikane; yanaweza kutumika kama hoteli n.k
 
Ili kupunguza hasara ya fedha zilizotumika ni bora wayapige mnada ili wawekezaji wapatikane; yanaweza kutumika kama hoteli n.k

Location ya mradi huu ilikuwa ni maamuzi yasiyo sahihi.

Laiti kama mradi huu ungekuwa upo Kawe , Africana, Kunduchi n.k location kaskazini ya jiji karibu na bahari hata Bagamoyo mradi huko mwekezaji mpya angejitokeza fasta sana.

Nashangaa watoto wa mjini Jakaya Kikwete, Dr. Ramadhani Dau n.k waliweza vipi kupotea maboya wakapeleka mradi Kigamboni wa dizaini hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…