Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpunga umekata tunafanya kuhamisha magoli tu.
Acha kuishi kinafiki mkuu muda utaendelea kuongeana kuwaumbua PESA HAKUNA[emoji23][emoji23]Magufuli akisema pesa zote ziende kujenga miundo mbinu mfano ya umwagiliaji asiajiri mnalalamika akisema basi tuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya kilimo maafisa ugani ili pesa iliyokuwa iende kujenga miundombinu ya umwgiliaji wasikose ajira mnalakamika hivi nyie ngedere mnataka nini?
Asante Mungu kuwapiga pepo Chadema chini uchaguzi mkuu
Kwa sasa nawaelewa watu/ wafanyabiashara wanaohamisha mitaji/ biashara zao nje ya nchi.Duuuh! Hili ni pigo kubwa kwangu!! nilikuwa natarajia kuingia nane nane na kuku elfu moja! mara kwa mara sera za Tanzania zimekuwa zikinikwamisha na kunirudisha nyuma kiuchumi!! miaka Kama minne. Serikali ilikuja na sera ya leseni ya kitaifa kwasisi wafanyabiashara ya ng,ombe!.
Kwani taarifa inadai kuajiri maafisa ughani, mbona unaropoka tu, tengeneza hoja?Magufuli akisema pesa zote ziende kujenga miundo mbinu mfano ya umwagiliaji asiajiri mnalalamika akisema basi tuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya kilimo maafisa ugani ili pesa iliyokuwa iende kujenga miundombinu ya umwgiliaji wasikose ajira mnalakamika hivi nyie ngedere mnataka nini?
Asante Mungu kuwapiga pepo Chadema chini uchaguzi mkuu
Nimejiuliza mbona mbali sana.. kweli mpunga kwishnei.. sasa hapa inatulekeza huko mbele ni mwendo wa kodi mpya kila siku.Shughuli za nanenane zinafutwa mwezi wa pili?![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kukosa kazi ya kufanya ni noma sana!
Tuseme tu serikali haina pesa, lakini kiuhalisia maonyesho ya Nanenane ndio sehemu pekee ambapo mkulima alipaswa kwenda kujifunza masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya kilimo.Hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waziri wa kilimo Profesa Mkenda katika mahojiano na ITV leo.
MY TAKE:
Naipongeza kauli hii kama ina nia dhabiti. Kwani maonesho ya nane nane hayajawahi kuleta tija kwa mkulima wa jembe na mfugaji mdogo kule vijijini ambao ndio walio wengi
Kwasababu ya chadema ndo mana mishahara ya watumishi wa umma haijaongezwa kwa miaka yote mitano unadhani nchi ipo vitandMagufuli akisema pesa zote ziende kujenga miundo mbinu mfano ya umwagiliaji asiajiri mnalalamika akisema basi tuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya kilimo maafisa ugani ili pesa iliyokuwa iende kujenga miundombinu ya umwgiliaji wasikose ajira mnalakamika hivi nyie ngedere mnataka nini?
Asante Mungu kuwapiga pepo Chadema chini uchaguzi mkuu.
Wewe nawe ni kima tu...ebu tupe mradi wa umwagiliaji chini ya Pombe?Magufuli akisema pesa zote ziende kujenga miundo mbinu mfano ya umwagiliaji asiajiri mnalalamika akisema basi tuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya kilimo maafisa ugani ili pesa iliyokuwa iende kujenga miundombinu ya umwgiliaji wasikose ajira mnalakamika hivi nyie ngedere mnataka nini?
Asante Mungu kuwapiga pepo Chadema chini uchaguzi mkuu.
Pumbavu kabisa wewe kwani fedha za sherehe zinatosha kuajiri mtu?Magufuli akisema pesa zote ziende kujenga miundo mbinu mfano ya umwagiliaji asiajiri mnalalamika akisema basi tuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya kilimo maafisa ugani ili pesa iliyokuwa iende kujenga miundombinu ya umwgiliaji wasikose ajira mnalakamika hivi nyie ngedere mnataka nini?
Asante Mungu kuwapiga pepo Chadema chini uchaguzi mkuu.
Pesa ya maonyesho itaajiri wangapi? Kuna mambo haya make any sense ndiyo maana watu wanahoji...!!Magufuli akisema pesa zote ziende kujenga miundo mbinu mfano ya umwagiliaji asiajiri mnalalamika akisema basi tuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya kilimo maafisa ugani ili pesa iliyokuwa iende kujenga miundombinu ya umwgiliaji wasikose ajira mnalakamika hivi nyie ngedere mnataka nini?
Asante Mungu kuwapiga pepo Chadema chini uchaguzi mkuu.