Serikali yafuta shughuli za Nanenane mwaka 2021

Serikali yafuta shughuli za Nanenane mwaka 2021

Magufuli akisema pesa zote ziende kujenga miundo mbinu mfano ya umwagiliaji asiajiri mnalalamika akisema basi tuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya kilimo maafisa ugani ili pesa iliyokuwa iende kujenga miundombinu ya umwgiliaji wasikose ajira mnalakamika hivi nyie ngedere mnataka nini?

Asante Mungu kuwapiga pepo Chadema chini uchaguzi mkuu.

Tena swala la ajira ndio usiongee wala usiligusie kabisaaaa nisawa na kunitibua nywele mazivu, sasa hivi kwenye baraza lenu la kamati kuu ya CCM mnaloliita Bunge mnatupigia kelele ooh biashara zinafungwa wakati tulipokua tinawaambia mlituona sisi ni wendawazimu

Leo biashara zinafungwa vijana wanakosa ajira mnawaambia wajiajiri watajiajiri vipi bila ya mtaji, viakiba vyao walivyokatwa NSSF navyo hamtaki kuwapa sasa mnataka wajiajiri vipi kama sio kupiga roba watu huko vichochoroni??? Hivi nyinyi Resekali ya Manyani mnataka nini ??? Roho zetu au???
 
Afute na Mei Mosi, haina maana zaidi ya kula pesa za Barabara.
 
Wawaruhusu watu binafsi au halmashauri ziendeshe. Huwa inaingiza hela nyingi sana hii nane nane.
Maonyesho ya Kilimo ya Nanenane ambayo yalianzishwa na Nyanza Co-operative, Mwanza na polepole kuenea nchi nzimà na kubadilika kuwa ya Biashara zaidi kuliko ya Kilimo lakini yaliendelea kuwanufaisha Wakulima walioyatembelea. Mabadiliko haya yalianza kutokea baada ya Serikali kuingiza mkono wake kama kawaida yake ikiona sekta binafsi inafanikiwa kama ilivyofanya kwenye Ushirika wenyewe mpaka kuufanya vituo vya ufisadi. Mkoa wa Arusha Maonyesho haya yalianzishwa na TFA na kuendesha kwa miaka kadhaa kwa mafanikio makubwa lakini Serikali ikachukua pamoja na mashamba yaliyokuwa ya TFA na kuikabidhi Halmashauri ya Mji ambayo ilihamishia Maonyesho kwenye mashamba hayo. Leo watu wanaokwenda kwenye Maonyesho kwa burdani na shopping!
 
Na Sabasaba? Hakutakuwa na maonesho? Au kwa sababu hii "inaingiza" haina shida? By the way, badala Sabasaba kuwa kituonesho ya maonesho ya ubunifu wa products mbalimbali imegeuka kuwa gulio kuuubwa.
😀😀😀😀 aisee nimecheka hadi nimepaliwa chakula! Kwamba gulio kubwaaaaa!
 
Back
Top Bottom