Serikali yafuta shughuli za Nanenane mwaka 2021

Mpunga umekata tunafanya kuhamisha magoli tu.
Wazo zuri sana,sikukuu ya wakulima na fedha za wakulima zielekezwe kwa wakulima na siyo madalali wa wakulima kwenye sikukuu ya nanenane! Maana wanaokuja wengi si wakulima,na Madalali wa wakulima!! Mkulima masikini Yuko zake shamba,eti nyinyi huku Mjini mnakula sikukuu yake wakati mwenyewe hata habari hana!!
 
Kama wenyewe hawana hela si waruhusu sekta binafsi waendelee na hayo maonesho!

Huwa yanasaidia sana kwenye matanagazo ya biashara ya kampuni mbalimbali. Bora hata wangevifuta baadhi ya vikao vya Bunge.
Sector binafsi yenyewe hii inayolialia kila kukicha kisa vikodi vidogovidogo ndiyo itaweza!? Labda sector binafsi ya Dubai!!
 
Waliomtangulia waliweza kufanya vyote, ajira zilikuwepo, barabara zilijengwa na Sherehe za kitaifa ziliazimishwa kama kawaida
Ila na Ufisadi ulikua Mkubwa sana! Yaani kila Kona kulikua kumeooza sana kwa Ufisadi!!
 
Naomba JPM ubatilishe huu uamuzi na huyu waziri hatufai kabisa. Wakati unahimiza kilimo chenye tija ili tuzalishe malighafi nyingi zenye viwango kwaajili ya viwanda huyu anakuja kudiscourage azma yako.

88 ni maonesho bora tz na sehemu pekee itakayokukutanisha na masoko, wazalishaji wa mbegu bora za kilimo na mifugo na teknolojia za kisasa. TARI uyole (maharage,parachichi, viazi mviringo), naliendele (korosho), Tanga (mkonge), kigoma (chikichi), dodoma (zabibu), moro, kibaha. Hizi taasisi bado hazifahamiki kwa wakulima wengi.

Hoja ya kuokoa fedha haina mashiko kwasababu 88 kiingilio ni sh 1000 na maelfu kama si malaki ya watu wanaingia kila siku, washiriki wanalipa fedha nyingi

Ikishindikana naomba wizara ya kilimo ijitoe ibaki sekta binafsi inayotaka kushiriki kuliko kuwanyima fursa ya kujitangaza
 
Kama wwe una Kuku kweli!? Achana na kutegemea wateja wa Serekali,tengeneza wateja wako wwe alafu utaona na Serekali nayo inaanza kukutafuta mkae mezani muyajenge!!
 
Ipo siku wataufuta hata mwaka na kusema hatutaki mwaka wa beberu
 
Pole sana mkuu Mnfumakole
 
Awamu iliyopita haya yote yalifanyika bila hizi janjajanja. Acha kusingizia chadema.
 
Ni ujinga kuwaita binadamu ngedere.
Lack of critical thinking.
 

Afute vikao vya bunge ili bunge liwe ni la siku 30 tu kwa mwaka, kisha pesa hizo zitumike kwenye mambo ya msingi maana hilo bunge linapoteza tu pesa za wananchi. Kwa sasa serikali haina hela kwa ajili ya miradi ya kukurupuka, hivyo kuliko kuliacha hilo bunge kibogoyo kuendelea na porojo, ni vyema hizo hela ziende kwingine na sio kwenda kupiga makofi mpaka huyo spika mzigo anawashangaa.
 
Ngedele mwenyewe, kudadadeki! [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nilipanga kwenda kununua machines Nanenane iniingizie kipato ni hatar sana.
Tukio lenyewe tunakutana mara 1 kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…