Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Na holiday nayo imefutwa au??[emoji115]Ngedele mwenyewe, kudadadeki! [emoji38][emoji38][emoji38]
Mjomba mlikubaliana kirusi cha zamani au hiki kipya toka kwa Madina?.Tanzania hakuna kirusi, tulishakubaliana hivyo!
Magufuli akisema pesa zote ziende kujenga miundo mbinu mfano ya umwagiliaji asiajiri mnalalamika akisema basi tuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya kilimo maafisa ugani ili pesa iliyokuwa iende kujenga miundombinu ya umwgiliaji wasikose ajira mnalakamika hivi nyie ngedere mnataka nini?
Asante Mungu kuwapiga pepo Chadema chini uchaguzi mkuu.
Mjomba mlikubaliana kirusi cha zamani au hiki kipya toka kwa Madiba?.
Maonyesho ya Kilimo ya Nanenane ambayo yalianzishwa na Nyanza Co-operative, Mwanza na polepole kuenea nchi nzimร na kubadilika kuwa ya Biashara zaidi kuliko ya Kilimo lakini yaliendelea kuwanufaisha Wakulima walioyatembelea. Mabadiliko haya yalianza kutokea baada ya Serikali kuingiza mkono wake kama kawaida yake ikiona sekta binafsi inafanikiwa kama ilivyofanya kwenye Ushirika wenyewe mpaka kuufanya vituo vya ufisadi. Mkoa wa Arusha Maonyesho haya yalianzishwa na TFA na kuendesha kwa miaka kadhaa kwa mafanikio makubwa lakini Serikali ikachukua pamoja na mashamba yaliyokuwa ya TFA na kuikabidhi Halmashauri ya Mji ambayo ilihamishia Maonyesho kwenye mashamba hayo. Leo watu wanaokwenda kwenye Maonyesho kwa burdani na shopping!Wawaruhusu watu binafsi au halmashauri ziendeshe. Huwa inaingiza hela nyingi sana hii nane nane.
๐๐๐๐ aisee nimecheka hadi nimepaliwa chakula! Kwamba gulio kubwaaaaa!Na Sabasaba? Hakutakuwa na maonesho? Au kwa sababu hii "inaingiza" haina shida? By the way, badala Sabasaba kuwa kituonesho ya maonesho ya ubunifu wa products mbalimbali imegeuka kuwa gulio kuuubwa.