Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

Sababu ya kuanzishwa ilikuwa ni nini? Au wanasiasa alitaka sifa tu enzi hizo?
 
Tamko haliwezi kufuta asili ya Watu
 
ni vizuri kuheshimu mamlaka za ulimwengu kwasabu malaka zote za dunia zimetoka kwa Mungu,

na kutii sheria bila shuruti ni muhimu zaidi. ukaidi utakabiliwa na nguvu ya dola, usithubutu 🐒
 
Mkuu naomba nisogezee hii barua kwa wakubwa:
 
ni vizuri kuheshimu mamlaka za ulimwengu kwasabu malaka zote za dunia zimetoka kwa Mungu,

na kutii sheria bila shuruti ni muhimu zaidi. ukaidi utakabiliwa na nguvu ya dola, usithubutu 🐒
Kuna mamlaka za kishetani kama hii ya Bibi wa Kizimkazi, una maoni gani mh. Chawa.
 
Ipo siku tutampata magufuli mwingine atafutilia mbali huu ujinga
 
Naiunga mkono serikali. Wamasai kwanini wanaishi porini kama wanyama? Serikali haiwezi kupeleka huduma za kijamii kwa watu wachache maporini huko wakati kundi kubwa la Wana chi linahitaji huduma.
 
Kuna siku tutaifuta na nanihii
 
Hopeless humani being, ficheni njaa zenu na mkumbuke kuwa kuna siku mtatoweka hapa duniani.
 
Shida Mama "anapigwa saundi" yaani anadanganywa na watu ili wapige hela.
 
Katika kitu napenda Ramani ya Tanzania imekatwa/chorwa vizuri sana.
Yaani km kichwa cha binadamu wa kiume. ukiangalia.
Kuna,pua,mdomo ,kisogo,na hapo kwenye paji la uso mujarabu kabisa
Huku kisogoni kidogo kwenye akili ndio kumepindapinda.
Ndio maana tunapigwa tu na kina yakhe .wanatuita machogo.
Akili hamna
Maana zenji wao vichwa vyao wanabondabonda ili vikae flat
Tatizo nao ubongo unabondeka akili zinakua urojo tu.
Tunaenda sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…