Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamko haliwezi kufuta asili ya WatuSerikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;
Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
View attachment 3074791
Naunga mkono hojaWaiite sasa Wilaya ya Waarabu, ili kuhalalisha huo uhuni wao.
mwigulu nchemba, asiye taka tozo ahamie BURUNDI.Mwakeye - Hamieni Burundi ni Karibu zaidi kuliko Hata Dar.
🤣🤣🤣Wangefuta Kizimkazi.
ni vizuri kuheshimu mamlaka za ulimwengu kwasabu malaka zote za dunia zimetoka kwa Mungu,Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;
Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
View attachment 3074791
Mkuu naomba nisogezee hii barua kwa wakubwa:Ni muhimu sana wakatii sheria bila shuruti, na ni jambo la maana zaidi wakaepuka ukaidi kwa kurubuniwa kifikra na wanaharakti uchwara au wanasiasa waliofulisika hoja huku wakidanganywa ati sheria na amri hiyo inaweza kubadilishwa 🐒
natoa Rai kwamba,
waondoke maeneo hayo ya hifadhi kwa amani mara moja 🐒
Kuna mamlaka za kishetani kama hii ya Bibi wa Kizimkazi, una maoni gani mh. Chawa.ni vizuri kuheshimu mamlaka za ulimwengu kwasabu malaka zote za dunia zimetoka kwa Mungu,
na kutii sheria bila shuruti ni muhimu zaidi. ukaidi utakabiliwa na nguvu ya dola, usithubutu 🐒
Masai wanadekezwa. Kwann wasiminywe kende kidogo?Wamasai siyo special specie,wahame,jamii zingine mbona zilihamishwa!?
Kuna siku tutaifuta na nanihiiAMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2019 ambayo hapa imerejewa kama "Amri kuu".
2. Amri kuu inarekebishwa katika Jedwali kwa kufuta kata, vijiji na vitongoji katika Halmashauri za Wilaya ya Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo kama ilivyoainishwa katika Jedwali.
Hili ni Tangazo la Serikali namba 673 la Agosti 2, 2024.
Kwa mujibu wa tangazo hili, vitongoji 96 na vijiji 25 vya Ngorongoro vimefutwa.
View attachment 3074381
Pia soma
Hopeless humani being, ficheni njaa zenu na mkumbuke kuwa kuna siku mtatoweka hapa duniani.Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.
Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.
Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
Ooh aiseeh mbona hii imekuwa ya ajabu namna hii!? Hv hao viongozi wa juu zinawatosha kweli!?Ili ziwe chini ya milki ya UAE