Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

Kama siku kila mtu akitambua dhumuni la kuwa duniani hapa hapatakua na uonevu.

Tuwafunze watoto wetu anayetakiwa kupigiwa goti ni Mungu tu. Omba msamaha ukikosea, dai haki yako ukionewa. Epuka kuwa chawa.

Ukiyathamini sana maisha hata Mungu utamkufuru.
 
Yaani leo wamekuwa kama Aborigines na red Indians kweli
Dunia hadaa
Mali kitu kibaya sana
 
Wanakueleza msomera walipeleka watoto, ili wakiwauwa wote kizazi chao kibakie walau, na wako tayari kufa muda wowote lakini sio kuhama ngorongoro, Kwa hapo hata serikali ilipigwa chenga ya mwili
 
Wanakueleza msomera walipeleka watoto, ili wakiwauwa wote kizazi chao kibakie walau, na wako tayari kufa muda wowote lakini sio kuhama ngorongoro, Kwa hapo hata serikali ilipigwa chenga ya mwili
mungu awasaidie wamasai na sisi tutainuka siku moja isio na jina
 
Nasikitika sana hata intel walishindwa kuelewa hii move.

Ukiwa kiongozi, haimaanini una akili kuwazidi waongozwa
 
✊
 
Wanaojua historia watakwambia.....wachaga kwa maelfu walihamishiwa Mkoa wa Morogoro enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Wengi walikita kambi maeneo ya Turiani, na sasa wamekuwa matajiri wakubwa, hata tajiri wa mabasi ya BM ni mchaga wa Turiani.

#twendeMsomera
 
Wengi walikuwa wapare na si wachaga ila pia sababu za nyerere na hizi ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…