Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hiyo ilikuwa tactical move. Lazima hawa wamasai watakuwa wamekisoma kitabu cha Sun Tzu kiitwacho The Art of War.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu awasaidie wamasai na sisi tutainuka siku moja isio na jinaWanakueleza msomera walipeleka watoto, ili wakiwauwa wote kizazi chao kibakie walau, na wako tayari kufa muda wowote lakini sio kuhama ngorongoro, Kwa hapo hata serikali ilipigwa chenga ya mwili
Wewe kabila gani ?Hakuna waoga wa kufa kama wamasai
Hayo mnawasemea, na wasipokuwa makini watadunguliwa kweli ohooooo
MhindiWewe kabila gani ?
Nasikitika sana hata intel walishindwa kuelewa hii move.Hawa wamasai tusiwachukulie poa,
Wao wanasema waliruhusu watoto wao wahamie msomera lakini wao kamwe hawatohama pale hata iweje,
Tena aliyekua anaongea anasema wao wana akili eti wahamishwe kisa eti ujenzi wa mahoteli ya kitalii? Hapana rafiki,
Wamasai ni watu jasiri sana na hua hawana maneno na mtu ukiona hadi wao wanajua wanaonewa ujue kweli umewaonea vya kutosha,
Viongozi ogopeni wananchi wanaosema wako tayari kufa, yaani hao inabidi uwape haki yao mapema kabisa,
Mahindi hayaoti mjini.Mhindi
NaamMahindi hayaoti mjini.
✊Hawa wamasai tusiwachukulie poa,
Wao wanasema waliruhusu watoto wao wahamie msomera lakini wao kamwe hawatohama pale hata iweje,
Tena aliyekua anaongea anasema wao wana akili eti wahamishwe kisa eti ujenzi wa mahoteli ya kitalii? Hapana rafiki,
Wamasai ni watu jasiri sana na hua hawana maneno na mtu ukiona hadi wao wanajua wanaonewa ujue kweli umewaonea vya kutosha,
Viongozi ogopeni wananchi wanaosema wako tayari kufa, yaani hao inabidi uwape haki yao mapema kabisa,
Wawe wengi au wachache, cha msingi walikuwemoWengi walikuwa wapare na si wachaga ila pia sababu za nyerere na hizi ni tofauti