Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

Tatizo Tanzania hatuna upinzani wenye dira
upinzani wenye dira ambao hamuungi mkono. Upinzani unakuwa na nguvu unapokuwa backed up na wananchi. sasa wananchi wenyewe wako busy na simba na yanga na comasava we wategemea nini ndio maana wanafika muda mtu anaona anapigana vita ambayo anaowapigania wamelala bora na yeye ajiunge na ccm ale mema ya nchi.
 
Upinzani tuliuunga sana mkono 2005 hadi 2014 lakini ukaishia kutubwaga 2015
 
Tatizo Tanzania hatuna upinzani wenye dira
Tatizo ni kuwa hatuna vyombo huru na vya haki kusimamia uchaguzi, kwa Katiba, Tume hii na ushiriki wa vyombo vya dola kuisadia CCM kuiba kura hakuna Chama cha upinzani kinaweza kutangazwa kuishinda CCM.
 
Upinzani tuliuunga sana mkono 2005 hadi 2014 lakini ukaishia kutubwaga 2015
Naunga mkono hoja. Ila pia mazingira ya siasa za Tanzania yamebadilika sana hiki kipindi cha miaka 9. Vyama vya upinzani vinapata tabu sana na kipindi kile vijana hasa wa vyuo walikuwa proud kuwa upinzani, ila sasa wote wamegeuka machawa kutafuta uteuzi au favor.
 
Mwee....mweee nyie

ni machawa tu wa ccm hamna pointi.....wapinzani bado wapo na wapo Persistent and determined......mnakuwa heart broken kwa kuwa kuna maslahi binafsi mlikuwa mnayatafuta baada ya kuyeyuka ndio mkakata tamaa.
 
Maslahi binafsi alikuwa nayo aliyemchafua Lowasa na kumsafisha
 
kupisha uwizi
 
ulisikia wanahaja nazo
 
Waondoke ili Apewe mwarabu?
 
Yaani wanaweza kuchukua hata wake zenu na mkakenua meno kama nyani....
 
Huyo zwazwa hawezi elewa hiyo Mambo yupo kushabikia kijani
 
Hao wamasai waachwe wakae humo humo, Muwekezaji aje na Mpango wa namna gani ataishi na wamasai, wanyama na kufanya uwekezaji bila kuathiri ecologia ya eneo husika. Hii kufukuza fukuza wamasai ni ujinga usio sio kubalika, wawekaji waje na dubwana la namna gani watafanya yote wanayotaka kuyafanya bila kumuathiri yeyote aliyekuwepo, aliyepo au na atakayekuwepo. Nchi nyingi duniani zinafanya uwekezaji bila kuathiri wanyama, watu au ecologia ya eneo husika.. kama wakishindwa, maana yake , hata huo uwekezaji ni magumashi... hakuna cha carbon offsetting na ndugu yake, ni utapeli tupu...
 
OMBI langu kwa serikali iboreshe mazingira kule mvomero ya Barbara, hospitali maji ,maeneo ya malisho na ufugaji, umeme na malazi Bora kwa Hawa wamasai

Hili eneo la ngorongoro litakuwa na faida sana kwa nchi hapo badaye wazungu na waarabu watakpokuja kula maisha na chupi zao sisi tupate hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…