Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kafie mbeleNmekuongeza wewe kama mke wa pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafie mbeleNmekuongeza wewe kama mke wa pili
upinzani wenye dira ambao hamuungi mkono. Upinzani unakuwa na nguvu unapokuwa backed up na wananchi. sasa wananchi wenyewe wako busy na simba na yanga na comasava we wategemea nini ndio maana wanafika muda mtu anaona anapigana vita ambayo anaowapigania wamelala bora na yeye ajiunge na ccm ale mema ya nchi.Tatizo Tanzania hatuna upinzani wenye dira
Upinzani tuliuunga sana mkono 2005 hadi 2014 lakini ukaishia kutubwaga 2015upinzani wenye dira ambao hamuungi mkono. Upinzani unakuwa na nguvu unapokuwa backed up na wananchi. sasa wananchi wenyewe wako busy na simba na yanga na comasava we wategemea nini ndio maana wanafika muda mtu anaona anapigana vita ambayo anaowapigania wamelala bora na yeye ajiunge na ccm ale mema ya nchi.
Sawa mke wangu ntakufanyia jambo kwenye ngazi ya familiaKafie mbele
Tatizo ni kuwa hatuna vyombo huru na vya haki kusimamia uchaguzi, kwa Katiba, Tume hii na ushiriki wa vyombo vya dola kuisadia CCM kuiba kura hakuna Chama cha upinzani kinaweza kutangazwa kuishinda CCM.Tatizo Tanzania hatuna upinzani wenye dira
Kachelewa sana kuzungumza kuhusu wamasaiKaandika hayo katika mtandao wa X:
Naunga mkono hoja. Ila pia mazingira ya siasa za Tanzania yamebadilika sana hiki kipindi cha miaka 9. Vyama vya upinzani vinapata tabu sana na kipindi kile vijana hasa wa vyuo walikuwa proud kuwa upinzani, ila sasa wote wamegeuka machawa kutafuta uteuzi au favor.Upinzani tuliuunga sana mkono 2005 hadi 2014 lakini ukaishia kutubwaga 2015
Naunga mkono hoja. Ila pia mazingira ya siasa za Tanzania yamebadilika sana hiki kipindi cha miaka 9. Vyama vya upinzani vinapata tabu sana na kipindi kile vijana hasa wa vyuo walikuwa proud kuwa upinzani, ila sasa wote wamegeuka machawa kutafuta uteuzi au favor.
Maslahi binafsi alikuwa nayo aliyemchafua Lowasa na kumsafishaMwee....mweee nyie
ni machawa tu wa ccm hamna pointi.....wapinzani bado wapo na wapo Persistent and determined......mnakuwa heart broken kwa kuwa kuna maslahi binafsi mlikuwa mnayatafuta baada ya kuyeyuka ndio mkakata tamaa.
Maslahi binafsi alikuwa nayo aliyemchafua Lowasa na kumsafishaMwee....mweee nyie
ni machawa tu wa ccm hamna pointi.....wapinzani bado wapo na wapo Persistent and determined......mnakuwa heart broken kwa kuwa kuna maslahi binafsi mlikuwa mnayatafuta baada ya kuyeyuka ndio mkakata tamaa.
kupisha uwiziKule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.
Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.
Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
ulisikia wanahaja nazoMtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute tu,,
Waondoke ili Apewe mwarabu?Ni muhimu sana wakatii sheria bila shuruti, na ni jambo la maana zaidi wakaepuka ukaidi kwa kurubuniwa kifikra na wanaharakti uchwara au wanasiasa waliofulisika hoja huku wakidanganywa ati sheria na amri hiyo inaweza kubadilishwa 🐒
natoa Rai kwamba,
waondoke maeneo hayo ya hifadhi kwa amani mara moja 🐒
Yaani wanaweza kuchukua hata wake zenu na mkakenua meno kama nyani....Wanafukuzwa au wanahamishwa ? Mara ngapi jamii zingine zimehqmishwa kupisha migodi au maendeleo ya jamii? What is so spesho Kwa masai?i
Ni ujinga kuleta siasa za kipumbavu hizo za ukabila kwenye ishu ya Ngorongoro,eti Waarabu..Kama ni ishu ya Waarabu Wazungu wapo hapo kabla hata ya hao unaoita Waarabu.
Masai wanahamishwa Kwa shughuli za uhifadhi, Vijijini vingi sana hapa Tanzania vimefutwa kisa uhifadhi zote huko wapo Waarabu? Acheni ujinga basi
Huyo zwazwa hawezi elewa hiyo Mambo yupo kushabikia kijaniNgorongoro si hifadhi hata kidogo kama hujui uliza ujuzwe.
TANAPA ndipo zilipo hifadhi za taifa kama Serengeti,Mikumi,Tarangire,Kilimanjaro na nk.
Ngorongoro ni Conservation area.Ni eneo ambalo shughuli za utalii na muingiliano na binadamu upatikana.
Ngorongoro ni tofauti kabisa na hifadhi za taifa.
OMBI langu kwa serikali iboreshe mazingira kule mvomero ya Barbara, hospitali maji ,maeneo ya malisho na ufugaji, umeme na malazi Bora kwa Hawa wamasaiAMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2019 ambayo hapa imerejewa kama "Amri kuu".
2. Amri kuu inarekebishwa katika Jedwali kwa kufuta kata, vijiji na vitongoji katika Halmashauri za Wilaya ya Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo kama ilivyoainishwa katika Jedwali.
Hili ni Tangazo la Serikali namba 673 la Agosti 2, 2024.
Kwa mujibu wa tangazo hili, vitongoji 96 na vijiji 25 vya Ngorongoro vimefutwa.
View attachment 3074381
Pia soma