milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Huna hoja ndio maana una comment ujingaYaani wanaweza kuchukua hata wake zenu na mkakenua meno kama nyani....
Rudishieni masimbi kwa waarabu au wapeni tigo wawa samehe siye ardhi hatuachii ng'o na hizo hongo za msomera mkalale huko Umbwa nyie wa porini kabisaKule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.
Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.
Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
Uwizi wa nini? Kwani Masai wanazuia wizi?kupisha uwizi
Uwizi wa nini? Kwani Masai wanazuia wizi?kupisha uwizi
Uwizi wa nini? Kwani Masai wanazuia wizi?kupisha uwizi
Uwizi wa nini? Kwani Masai wanazuia wizi?kupisha uwizi
Ujinga huu hautakusaidieni,Mlizaliwa na Ardhi nyie.Rudishieni masimbi kwa waarabu au wapeni tigo wawa samehe siye ardhi hatuachii ng'o na hizo hongo za msomera mkalale huko Umbwa nyie wa porini kabisa
Kwenye hili nakuunga mkono....Ardhi ni ya serikali, maamuzi yazingatie manufaa ya Taifa zima....Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.
Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.
Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
maslahi gani? Ukweli ni huo siasa za tanzania zimebadilika sana ni tofauti na ilivyokuwa 2005-2015. vijana hasa wa vyuo walikuwa na mwamko wa siasa hasa wakiunga mkono chadema na walikuwa proud. sasa vijana hao wameguka kuwa machawa wa ccm wakitafuta uteuzi.Mwee....mweee nyie
ni machawa tu wa ccm hamna pointi.....wapinzani bado wapo na wapo Persistent and determined......mnakuwa heart broken kwa kuwa kuna maslahi binafsi mlikuwa mnayatafuta baada ya kuyeyuka ndio mkakata tamaa.

Na kwanini (kama ni lazima) wahamishiwe Tanga?Kuna matatizo makubwa sana kwenye suala hili. Serikali naona kama vile inatapatapa vile.
Endapo kama kweli Serikali Ina Nia njema kuhusiana na suala hili la kuwahamisha hao Wamasai kutoka huko Ngorongoro, kwa nini itumike nguvu nyingi na kubwa sana namna hii?? Je, mikutano au vikao vya wazi kati ya Serikali na hao Wananchi kuhusu maandalizi ya suala hili la kuwahamisha viliketi lini na wapi?
Kwa nini kwa upande wa Serikali Kuna usiri mkubwa sana juu ya michakato ya suala hili?
Je, taratibu zote za kisheria zimefuatwa katika Mchakato mzima wa kuwahamisha watu hao? Je, kila mhusika anayepaswa kuhama tayari ameshalipwa haki zake zote kabisa stahili kabla ya kutakiwa kuhama kutoka kwenye maeneo hayo?
Waliogeuka kuwa machawa waccm ni wasukuma waliomfata Jpm.maslahi gani? Ukweli ni huo siasa za tanzania zimebadilika sana ni tofauti na ilivyokuwa 2005-2015. vijana hasa wa vyuo walikuwa na mwamko wa siasa hasa wakiunga mkono chadema na walikuwa proud. sasa vijana hao wameguka kuwa machawa wa ccm wakitafuta uteuzi.
ilikuwa burudani sana kusikia wapinzani wakiibua madudu na kutema cheche bungeni ambapo mwisho walikuwa hata wabunge wa ccm wanaungana nao ila sasa mambo yamebadilika ni kama vile nchi inapitia zama za giza.