spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Uzeni na Jangwani Utopolo nsiwaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Migori ya Iringa ipo Kenya.Vipi,nayo ifutwe au Lukuvi atapiga ngolo!?😂Rombo ni kama iko Kenya 😄
Hutazami mambo kwa usahihi..Naunga mkono hoja. Ila pia mazingira ya siasa za Tanzania yamebadilika sana hiki kipindi cha miaka 9. Vyama vya upinzani vinapata tabu sana na kipindi kile vijana hasa wa vyuo walikuwa proud kuwa upinzani, ila sasa wote wamegeuka machawa kutafuta uteuzi au favor.
Wazo zuriWangefuta nchi nzima.Kuanza upya siyo ujinga.
Kinachowasukuma viongozi wetu kufanya mambo ya ajabu bila kujali ni tamaa ya fedha!Kwa hiyo ndiyo kusema hiyo Wilaya yote kwa sasa ni mali ya Waarabu!! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kupigania Uhuru!!
Tungeendelea tu kutawaliwa basi, kama viongozi wenyewe wana tabia za akina Chifu Mangungo.
Mkoa wa Iringa ni kuumeni hakunaga Mtu ataugusa bwashee 😄Hata Migori ya Iringa ipo Kenya.Vipi,nayo ifutwe au Lukuvi atapiga ngolo!?😂
Angeihamishia bara yote iwe sehemu ya Zanzibar, awarudishe kina Sultan Bargash, tujue moja tu kuwa tupo chini ya Sultanate of Oman.Wangefuta nchi nzima.Kuanza upya siyo ujinga.
We leta utani wakati Serikali ipo kazini bila kujali za akina Mwabukusi na Madeleka.Wangefuta Kizimkazi.
Mwamba alikua Siyovelwa.Waliobaki ni haleluya.Mkoa wa Iringa ni kuumeni hakunaga Mtu ataugusa bwashee 😄
Na anasoma tunachokiandika muda huu.Haina afya kwa yanayofanyika.Angeihamishia bara yote iwe sehemu ya Zanzibar, awarudishe kina Sultan Bargash, tujue moja tu kuwa tupo chini ya Sultanate of Oman.
Huyo babake Mlotwa alikuwa Mwamba wa nini?😄Mwamba alikua Siyovelwa.Waliobaki ni haleluya.
Changamoto yako inaanza na id uliyojipa ukiwa na akili zako ulizoamini ni timamu.Michango yako huwa ni vibweka vitupu bila jasho.We leta utani wakati Serikali ipo kazini bila kujali za akina Mwabukusi na Madeleka.
Keshajua kuwa hatuna tutakalofanya zaidi ya kuandika tu mitandaoni.Na anasoma tunachokiandika muda huu.Haina afya kwa yanayofanyika.
SI NASKIA VATICAN WAMEINGILIA KATI NA WAO WANATAKA??Ili ziwe chini ya milki ya UAE
Kugomea mipaka ya Iringa Vijijini hadi shambani kwenu Pawaga pasimegwe kuingia kuboma.Huyo babake Mlotwa alikuwa Mwamba wa nini?😄
Umeshafika na talawanda zako unaandika upuuziupuuzi.SI NASKIA VATICAN WAMEINGILIA KATI NA WAO WANATAKA??
SEMA SHIDA VATICAN HAWANA HELA ETI WANATAKA WATUPE MISALABA,SI BORA WENZAO WATATUPA MAFUTA??
Iringa nzima Mipaka inalindwa kwa umakini mkubwa sanaKugomea mipaka ya Iringa Vijijini hadi shambani kwenu Pawaga pasimegwe kuingia kuboma.
Mbona Kalenga,Tagamenda,Nduli na Igwachanya vinatwaliwa na wanyaboma!?😁Iringa nzima Mipaka inalindwa kwa umakini mkubwa sana
Usalama wa nchi hii Nyerere aliukabidhi Uheheni 😂😂😂