Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

Hivi itv hawajifunzi tu..?,katika mazingara haya,unaanzaje kutangaza ugonjwa bila idhini ya wizara husika?.
Wafungiwe hata maisha ili liwe fundisho kwa wengine..

Nyie akili mnawekaga wapi ? uhai hauna spea yan wasubir mpaka magufuli aseme ? mazingira gani unataka ilimwatu wapewe taarifa za muhimu ? hakuna kuwatetea ccm na mbwa zao ni wapumbavu sana
 
Serikali haifanyi kazi kama genge!
Kuna taratibu zake za uwasilishaji wa taarifa!
Je huyo daktari alifanya jitihada gani kuwasiliana na ngazi za juu kiutawala ili kujirudhisha kabla ya kukimbilia kwenye Media?

Taratibu za kiutunishi zinamhusu.
Msitake kufanya mambo yote kama jukwaa la jamiiforums ambako kila mwenye simu janja basi ni mjuaji wa kila jambo.

Tulieni na muache mihemko.
Pambaneni na kutafuta riziki kulisha familia zenu.

Bila utaratibu kufuatwa kila mtu atakuwa msemaji wa serikali ebo!
Hayo mambo yako kwa mama Dangote tu.
Serikali ina kitu inaitwa collective responsibility!
 
Siungi mkono mahamuzi ya waziri, ila pia sielewi wizara hii KWA Sasa inafanyakazi katika utaratibu upo, ninachojua mlipuko ukitokea sehem husika wapo wafawidhi wa zahanati ,na H/C ndani ya Saa 24 hulazimika toa tahalifa KWA DMO na bila kuchelewa, DMO huruma timu ya kuchukua sampuli plus kuongeza nguvu ya vitendea kazi,na wakati huo akitoa tahalifa KWA RMO,ambae pia atoa Tim ya kushirikiana na wilaya husika huku akiitajika kutoa allert wizarani, so ndani ya masaa 48 au 36 wizara itakua inajua kwamba sehem kunatatizo,
Sasa sijui Kama Jambo tz linatokea katika wizara husika na inachukua siku kumi na kuendelea bila wizara kujua Basi Kuna tatizo sehem, kuanzia kiutendaji,na channel ya tahalifa KWA ujumla
 
Hivi kwa serikali serikali ya Ccm inayo ongozwa na ukanda pendwa ni dhambi kuwa na mlipuko wa ugonjwa?? Mambo ya aibu kanisa haya.
 
Huyu mama anaongea sana yaani hadi amepoteza dira.
 
Hapo kamama kameanza ujinga kwa kuendekeza sifa na kiki zisizokuwa na maana
 
We umesomea na kubobea katika uandishi na utangazaji wa habari mkuuu?
Hivi itv hawajifunzi tu..?,katika mazingara haya, unaanzaje kutangaza ugonjwa bila idhini ya wizara husika?
Wafungiwe hata maisha ili liwe fundisho kwa wengine.
 
Serikali haifanyi kazi kama genge!
Kuna taratibu zake za uwasilishaji wa taarifa!...
Mbona ile shule ilivofunga kisa corona mkuu wa mkoa alikuja akasema mwenye kutakiwa kutangaza corona n wazir mkuu na siyo wazr wa wizara ya afya?

Tukatulia, aya sakata la dereva wa roli kama una kumbukumbu n nani aliyetangaza kuwa dereva alikufa kwa tatz la upumuaji? Mbona hatukusikia huko majuu wakilaani hilo?

Hili la watu kufa ko tusipewe tarifa? Imagine wew n mama mwenye nyumba, na nyumba yako n kubwa na umepangisha wapangaji weng alafu ghafla unaona watot wa wapangaji wengine wanaharisha ovyo ovyo na kudanja, kwa hiyo hutakiw kuwambia wanao mpk baba mwenye nyumba arud?
 
Ameanza diwani (mwanasiasa) daktari akaunga tela, matokeo dokta kaliwa kichwa, diwani yupo tu na mshahara na marupurupu yake!
 
Hii habari mimi niliiona chanel ten saa moja usiku, baadae saa 2 usiku ikawa ndio habari ya kwanza itv. Sasa kwanini ibanwe tu itv wakati chanel 10 nayo ilitangaza? Hizi double standard nyingine wasituonyeshe wazi wazi hivi. Au wanataka tbc na chanel 10 zibaki hewani peke yao?
 
Ameanza diwani (mwanasiasa) daktari akaunga tela, matokeo dokta kaliwa kichwa, diwani yupo tu na mshahara na marupurupu yake!
Kwa inshu Kama hii Kama ni kusimamisha wapo wengi, wenda huyu ametolewa kafara, iundwe tume, sio kumuachia wizari eti tahalifa za uongo,
 
Awali nilivyomwona kila mahali akipiga kelele, nilihisi huyu huenda anataka kuboresha mambo fulani kwenye afya, lakini sasa hivi nina hakika kichaa huweza kumpata mtu yeyote bila ya kujali elimu yake.

Huyu Mama aangaliwe kwa umakini, siyo mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…