Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

Raisi ameshaanza kuliona na kulishughulikia kwa kununua ndege, Sasa aingilie kati na haya mengine, kwani asipofanya hivyo hakuna kitakachoendelea, hata awamu zingine zilishindwa kukuza utalii, tunahitaji wawekezaji hasa kwenye hotel zenye majina makubwa, tunahitaji kuruhusu ndege za moja kwa moja toka USA, europe China, south Africa nk kuja Tanzania, Tunahitaji Malls kwa ajili ya shopping na night life nk.
 
Mtalii mwenye akili timamu aliyetafuta pesa yake kwa jasho na damu hawezi kukubali kurudi kwenye nchi iliyojaa sera mbovu za utalii.

Kama mimi ni mtalii, hiyo pesa ya kurudi tanganyika bora nikanywee K-Vant
Hizo sera mbovu za utalii , mtalii anazipata wapi kama sio kutoka "saccos"
 
Asante, umegusia kitu muhimu sana...creativity. You cant use the same phrase Come, land of Kilimanjaro for decades...nakuja one time so why next time nije...nini kipya ?

Pia marketing tools na strategies. Wenzetu you test your ads, get feedback then you use them. Sasa waziri yule msanii anaogelea na Wema then take a video na kupost eti kuvuta watalii... !!
Wao wakiona hilo sura baya tu wanaboreka, why not post hiyo waterfall , sema ipo wapi na pia some key Flora na fauna around it.

Vivutio vya sisi au wanasiasa wetu sio vivutio vya watalii, na bila kujua tunataka akina nani... target, tutaishia kama huyu juzi alisema eti uwanja wa mpira mpya Chato utaongeza utalii. Labda vichaa, mtu atoke UK kwenye viwanja kama OT, Wembley aje Chato ???
 
ETI WANAWEKA KODI YA KITANDA KIPINDI HIKI CHA CORONA , DUNIA NZIMA IMEYUMBA KIUCHUMI NYINYI MNAONGEZA KODI . YOUR GOD MUST BE CRAZY
 
Cha mwisho wachangiaji wengine kila kitu ni kodi badala ya kutofautisha kodi yaani tax na fees yaani ada ya kuungilia mbuguni au ya kupanda mlima
 
Jana mgeni alirudia getini pale lake eyasi! Ni travel agent kutoka ufaransa! Yeye alijua kwa kichwa ni $20 -30 kwa kumbukumbu zake alipoitembelea Tanzania 2018. Alishtushwa kuambiwa kwa sasa ni $110 haijalishi anaingia Eyasi kufanya nini! Dah!! Akasema basi akaangalie eneo analotaka kuwekeza lodge la mdau mmoja akaambiwa haijalishi pale getini ataacha $110 na huko anakokwenda atawalipa $20 kila kituo! Akauliza mbona ni ghali kuliko kuingia serengeti au ngorongoro? Sio kwamba alikuwa hana ila ilimvunja moyo akasema geuza gari nipeleke hotelini karatu nikapumzike na sirudi na sileti mgeni Eyasi tena! Gari likageuzwa na ukawa mwendo wa kurusha rusha mikono na kubonga kifaransa Kwa hasira!
Hii sio poa kwa kukuza utalii , unakuta umepiga sound nzuri kwa nchi na vivutio anakuja mgeni anakutana na ma bush lawayers kwenye mageti huko unaambulia kuficha uso!
 
Story yako ni story nzuri sana. Kwamba ufanisi ni mdogo sana , masoko, bei ni ndogo sana.

We have to think about the whole Tourism sector.
 
Nilikuwa natazama documentary ya utalii. Kuna wageni kutoka New York wamekuja, na wengi wa hao wageni ni wafanyabiashara, aisee nasikitika wapokeaji wa hao wageni walikuwa ni wazee watu wazima sana.

Sasa nikajiuliza, hivi serikali inataka kupata maendeleo katika sekta zake kwa kuwa na watendaji ambao kwanza ukiachia kukosa exposure, pia hawana experience na mifumo ya kisasa ya biashara, na umri umekwenda sana kwa wao kuweza kujifunza maana tayari umri ni mkubwa na hawana ari ya kupambana kuleta mabadiliko wao wanapambana kupata mkate wao wa kila siku maana kiumri wamo muda wa kustaafu na hawajui maisha nje ya ajira.


Aiseee hii kitu tuitazamie upya jamani.
 
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nchi gani ina kodi rafiki?
 
Kwa maelezo yako umesema ulikwenda kisiwa Cha Saa Nane ukakutana na tour guide mwanamke na ukakata shauri la kutorudi tena huko, sababu ni tour guide ni mwanamke ama? Je, huyo tour guide alikuwa na matatizo gani kwenu, kajichubua, ananuka makwapa, ananuka mdomo, ana asili ya kigaidi ama?
 
Ila pia kuwe na regulatory body ya kuyafuatilia makampuni ya kitalii yapo kitapeli maana siku hizi yamekuwa kama utitiri.
 
Tatizo ni kufikiri hizo posts ni za wastaafu, sijui wajeshi na pa kuweka washkaj kumalizia muda...
Hawajui watu wenye hela zao hawaji kusikiliza mambo ya SGR, au sijui fly overs.
Hawa you mess up dk zao first 5 minutes ushaaribu.

Huchelewi kusikia mtu anauliza mgeni so how is Arsenal and Chelsea doing ? 🤣🤣🤣🤣
 
Huu utafiti ni ujinga mkubwa jaribu kufikiri mtalii amepanda mlima Kilimanjaro utegemee na mwakani aje apande tena
 

Tanzania sio kivutio tu bali ni heritage ya UNESCO and haiwezi kutolewa on position 1 kwa africa
 
The lower the price at good service level, the higher the number of customers joining the service.

you cant make a good service at a lower price while you have a gap to extend the price! ni sawa sawa utake huduma ya iphone kwenye techno, what type of madness are you talking,

2. watalii kutokurudi ni kitu cha kawaida sana, mm nmepanda mlima kilimanjaro mpaka juu and i enjoyed the whole trip but sina mpango wa kurudi sio for any reasons but it wont become a trip again unaenda sehem unapajua! easy as that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…