Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

Raisi ameshaanza kuliona na kulishughulikia kwa kununua ndege, Sasa aingilie kati na haya mengine, kwani asipofanya hivyo hakuna kitakachoendelea, hata awamu zingine zilishindwa kukuza utalii, tunahitaji wawekezaji hasa kwenye hotel zenye majina makubwa, tunahitaji kuruhusu ndege za moja kwa moja toka USA, europe China, south Africa nk kuja Tanzania, Tunahitaji Malls kwa ajili ya shopping na night life nk.
 
Mtalii mwenye akili timamu aliyetafuta pesa yake kwa jasho na damu hawezi kukubali kurudi kwenye nchi iliyojaa sera mbovu za utalii.

Kama mimi ni mtalii, hiyo pesa ya kurudi tanganyika bora nikanywee K-Vant
Hizo sera mbovu za utalii , mtalii anazipata wapi kama sio kutoka "saccos"
 
Nadhani tunatangaza vitu tunavyoita vivutio lakini hata wenyewe sisi watz havituvutii......

Unajua ili uweze kumvuta mtalii ni vema ujue nae ni mwanadamu kama sisi, na anavutiwa na vile vitu tunavyoweza vutiwa navyo pia.

Inabidi tuongeze creativity ya kuweka vivutio ambavyo hata watu wa ndani pia wapo interested. Hebu tazama Malaysia kwa mfano, kule kuna wanawake wazuri, chakula kizuri, hoteli safi, culture profile ya kueleweka. Sasa mzungu anapokwenda kule inakuwa ni sehemu ya kutalii kweli kweli na kufurahia maisha.

Wazungu nao ni watu kama sisi, wanapokuja wanataja kuenjoy maisha ambayo sisi pia tuna enjoy sio kuwa igizia maisha ambayo hatuyaishi. Imagine mzungu anakuja unamuwekea ngoma za asili, hivi hizo ndizo ngoma unazosikiliza kila siku miaka hii?!

So hebu tutafiti kwa wenzetu Dubai na Malaysia........ Tujifunze then tuestablish.
Asante, umegusia kitu muhimu sana...creativity. You cant use the same phrase Come, land of Kilimanjaro for decades...nakuja one time so why next time nije...nini kipya ?

Pia marketing tools na strategies. Wenzetu you test your ads, get feedback then you use them. Sasa waziri yule msanii anaogelea na Wema then take a video na kupost eti kuvuta watalii... !!
Wao wakiona hilo sura baya tu wanaboreka, why not post hiyo waterfall , sema ipo wapi na pia some key Flora na fauna around it.

Vivutio vya sisi au wanasiasa wetu sio vivutio vya watalii, na bila kujua tunataka akina nani... target, tutaishia kama huyu juzi alisema eti uwanja wa mpira mpya Chato utaongeza utalii. Labda vichaa, mtu atoke UK kwenye viwanja kama OT, Wembley aje Chato ???
 
ETI WANAWEKA KODI YA KITANDA KIPINDI HIKI CHA CORONA , DUNIA NZIMA IMEYUMBA KIUCHUMI NYINYI MNAONGEZA KODI . YOUR GOD MUST BE CRAZY
 
Cha mwisho wachangiaji wengine kila kitu ni kodi badala ya kutofautisha kodi yaani tax na fees yaani ada ya kuungilia mbuguni au ya kupanda mlima
 
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena.

Maana yake ni kuwa sisi Tanzania kila mwaka tunategemea watalii wapya, hatuwezi kuwatuliza(keep) ama kuwahakikishia watalii wa zamani kurudi tena Tanzania kufurahia vivutio vyetu vya utalii.

Retention yetu ya watalii ni chini ya 20%. Maana yake ukuaji wa utalii wetu bado una changamoto kubwa sana.

Nikitoa my personal experience, nilitembelea Kisiwa cha Saa Nane, Mwanza, tukakutana na tour guide wa kike, wote tuliofika pale siku hiyo hatuwezi kutamani kurudi tena, mimi na wenzangu siku hiyo tulikuwa disappointed, siwezi kutamani hata kwa bunduki kutembelea tena hiyo hifadhi.

Nimewahi kwenda Serengeti National park mara 2, kwa pale niko tayari kurudi maana mategemeo yangu yalikamilika kwa zaidi ya 80%.

Je, unadhani ni kwanini watalii wa nje hawarudi tena baada ya kutembelea Tanzania.

=============

ARUSHA
Wamiliki wa makampuni ya watalii, wadau ya sekta ya utalii nchini Tanzania ikiwemo wahifadhi wastaafu wameelezea sababu tano zinazowafanya watalii waliotembelea nchini wasirudi kwa mara ya pili.

Sekta ya utalii inachangia asilimia 17.5 ya pato la Taifa pia asilimia 25 ya mapato ya fedha zote za kigeni nchini ambapo kwa sasa inatembelewa na watalii milioni 1.2. Serikali inalenga mpaka 2025, Tanzania inatakiwa kupokea angalau watalii milioni tano na kukuza mapato ya fedha za kigeni kutokana na utalii mpaka dola bilioni 6 kutoka dola bilioni 2.5 kwa mwaka.

Wakiongea na gazeti la Citizen, washika dau wameainisha sababu kama gharama kubwa ambazo watalii wanaingia wakitembelea Tanzania, huduma kwa wateja isiyoridhisha kwenye mahoteli na watoa huduma wengine.

Kulingana na wao, miundombinu mibovu, makampuni ya watalii yanayoshindwa kutimiza ahadi zao walizowapa wateja na wafanyakazi kukosa uadilifu ikiwemo kuwalangua watalii. Akiongea na Citizen, mhifadhi mstaafu, Erastus Lufungilo ambae kwa sasa ni mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Burudika amesema watalii walilazimika kutumia fedha zaidi kutokana na kukosekana kwa ndege za moja kwa moja kutoka kwenye nchi zao ikiwemo Ulaya na Marekani kuja Tanzania. "Utalii ni gharama, hii ni kwasababu kutembelea Tanzania kwasasa ni gharama kuliko kutembelea Kenya au Afrika kusini" Alieleza.

Kulingana na yeye, makampuni mengi ya utalii yana mapungufu katika kuendesha biashara na kuongoza watalii kunakosababishwa na upungufu wa wafanyakazi wataalam na kusababisha matatizo.

"Baadhi ya waongoza watalii wanachukua hela kutoka kwa watalii lakini chaajabu huwezi kuwakuta uwanja wa ndege kuwapokea watalii. Hata wakijitokeza kuwapokea ambao wanalipwa hela nyingi, hawatoi huduma bora" Alisema Lufungilo

Kwa upande wake, mwenyekiti wa chama cha waongoza watalii(TTGA) amesema wingi wa kodi zinazotozwa kwa makampuni ya watalii na waongoza watalii imesababisha watalii kutomudu gharama kwa watalii wengi ambao wanashindwa kuitembelea tena Tanzania.

"Kuna kodi nyingi sana na kila siku kodi mpya zinatangazwa na kuwalazimu wamiliki kupandisha gharama ili kupata faida. Alisema ndugu Mollel. Alihoji kwanini baadhi ya mashrika ya ndege kuchaji dola 500 zaidi kwa tiketi safari kutoka Ulaya kuja Tanzania ikilinganishwa na viwanja vingine vya ndege kwenye nchi za jirani.

Akifungua mkutano wa mwaka kwa wahariri na waandishi waandamizi kwenye sekta ya utalii, katibu mkuu wizara ya Utalii na maliasili, Aloyce Nzuki amewataka wanahabari wafikiri kwa makini kwanini asilimia 20 pekee ya watalii wanaitembelea tena Tanzania.

Dr. Nzuki amevitaka vyombo vya habari nchini kutoa taswira nzuri ya nchi kabla na baada ya watalii kutembelea Tanzania

View attachment 1666303
Jana mgeni alirudia getini pale lake eyasi! Ni travel agent kutoka ufaransa! Yeye alijua kwa kichwa ni $20 -30 kwa kumbukumbu zake alipoitembelea Tanzania 2018. Alishtushwa kuambiwa kwa sasa ni $110 haijalishi anaingia Eyasi kufanya nini! Dah!! Akasema basi akaangalie eneo analotaka kuwekeza lodge la mdau mmoja akaambiwa haijalishi pale getini ataacha $110 na huko anakokwenda atawalipa $20 kila kituo! Akauliza mbona ni ghali kuliko kuingia serengeti au ngorongoro? Sio kwamba alikuwa hana ila ilimvunja moyo akasema geuza gari nipeleke hotelini karatu nikapumzike na sirudi na sileti mgeni Eyasi tena! Gari likageuzwa na ukawa mwendo wa kurusha rusha mikono na kubonga kifaransa Kwa hasira!
Hii sio poa kwa kukuza utalii , unakuta umepiga sound nzuri kwa nchi na vivutio anakuja mgeni anakutana na ma bush lawayers kwenye mageti huko unaambulia kuficha uso!
 
Story yako ni story nzuri sana. Kwamba ufanisi ni mdogo sana , masoko, bei ni ndogo sana.

We have to think about the whole Tourism sector.
 
Asante, umegusia kitu muhimu sana...creativity. You cant use the same phrase Come, land of Kilimanjaro for decades...nakuja one time so why next time nije...nini kipya ?

Pia marketing tools na strategies. Wenzetu you test your ads, get feedback then you use them. Sasa waziri yule msanii anaogelea na Wema then take a video na kupost eti kuvuta watalii... !!
Wao wakiona hilo sura baya tu wanaboreka, why not post hiyo waterfall , sema ipo wapi na pia some key Flora na fauna around it.

Vivutio vya sisi au wanasiasa wetu sio vivutio vya watalii, na bila kujua tunataka akina nani... target, tutaishia kama huyu juzi alisema eti uwanja wa mpira mpya Chato utaongeza utalii. Labda vichaa, mtu atoke UK kwenye viwanja kama OT, Wembley aje Chato ???
Nilikuwa natazama documentary ya utalii. Kuna wageni kutoka New York wamekuja, na wengi wa hao wageni ni wafanyabiashara, aisee nasikitika wapokeaji wa hao wageni walikuwa ni wazee watu wazima sana.

Sasa nikajiuliza, hivi serikali inataka kupata maendeleo katika sekta zake kwa kuwa na watendaji ambao kwanza ukiachia kukosa exposure, pia hawana experience na mifumo ya kisasa ya biashara, na umri umekwenda sana kwa wao kuweza kujifunza maana tayari umri ni mkubwa na hawana ari ya kupambana kuleta mabadiliko wao wanapambana kupata mkate wao wa kila siku maana kiumri wamo muda wa kustaafu na hawajui maisha nje ya ajira.

Aiseee hii kitu tuitazamie upya jamani.
 
Mimi naona watanzania tunahitaji elimu kwa kiwango cha hali ya juu sana.
Wala hatuna sababu ya kwenda mbali kama Ulaya au hats South Afrika, tuje kwa jirani zetu was Kenya.

Ukimwajiri mkenya kama mhudumu wa hotel, mgahawa ama bar utaona tofauti kubwa sana na Mtz, kwa sababu anawapokea wageni kwa haraka na kwa ukarimu.

Pili, lugha wanayotumia wafanyakazi was TRA no ngumu, kwa sababu wanamchukulia mfanyabiashara kama mkwepa kodi, na hii no Sera ya serikali yetu.

Tens kodi zetu so rafiki kwa watalii na hats kwa wafanyabiashara, hii inapelekea kuwe na gharama kubwa sana zinazotozwa kwa watalii kwa sababu ya wingi na ukubwa wa kodi zetu.
Hivi, kutokana na kodi zetu kuwa nyingi na kubwa unatozaje kodi za vitanda wakati unataka watalii wake kwa wingi?
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nchi gani ina kodi rafiki?
 
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena.

Maana yake ni kuwa sisi Tanzania kila mwaka tunategemea watalii wapya, hatuwezi kuwatuliza(keep) ama kuwahakikishia watalii wa zamani kurudi tena Tanzania kufurahia vivutio vyetu vya utalii.

Retention yetu ya watalii ni chini ya 20%. Maana yake ukuaji wa utalii wetu bado una changamoto kubwa sana.

Nikitoa my personal experience, nilitembelea Kisiwa cha Saa Nane, Mwanza, tukakutana na tour guide wa kike, wote tuliofika pale siku hiyo hatuwezi kutamani kurudi tena, mimi na wenzangu siku hiyo tulikuwa disappointed, siwezi kutamani hata kwa bunduki kutembelea tena hiyo hifadhi.

Nimewahi kwenda Serengeti National park mara 2, kwa pale niko tayari kurudi maana mategemeo yangu yalikamilika kwa zaidi ya 80%.

Je, unadhani ni kwanini watalii wa nje hawarudi tena baada ya kutembelea Tanzania.

=============

ARUSHA
Wamiliki wa makampuni ya watalii, wadau ya sekta ya utalii nchini Tanzania ikiwemo wahifadhi wastaafu wameelezea sababu tano zinazowafanya watalii waliotembelea nchini wasirudi kwa mara ya pili.

Sekta ya utalii inachangia asilimia 17.5 ya pato la Taifa pia asilimia 25 ya mapato ya fedha zote za kigeni nchini ambapo kwa sasa inatembelewa na watalii milioni 1.2. Serikali inalenga mpaka 2025, Tanzania inatakiwa kupokea angalau watalii milioni tano na kukuza mapato ya fedha za kigeni kutokana na utalii mpaka dola bilioni 6 kutoka dola bilioni 2.5 kwa mwaka.

Wakiongea na gazeti la Citizen, washika dau wameainisha sababu kama gharama kubwa ambazo watalii wanaingia wakitembelea Tanzania, huduma kwa wateja isiyoridhisha kwenye mahoteli na watoa huduma wengine.

Kulingana na wao, miundombinu mibovu, makampuni ya watalii yanayoshindwa kutimiza ahadi zao walizowapa wateja na wafanyakazi kukosa uadilifu ikiwemo kuwalangua watalii. Akiongea na Citizen, mhifadhi mstaafu, Erastus Lufungilo ambae kwa sasa ni mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Burudika amesema watalii walilazimika kutumia fedha zaidi kutokana na kukosekana kwa ndege za moja kwa moja kutoka kwenye nchi zao ikiwemo Ulaya na Marekani kuja Tanzania. "Utalii ni gharama, hii ni kwasababu kutembelea Tanzania kwasasa ni gharama kuliko kutembelea Kenya au Afrika kusini" Alieleza.

Kulingana na yeye, makampuni mengi ya utalii yana mapungufu katika kuendesha biashara na kuongoza watalii kunakosababishwa na upungufu wa wafanyakazi wataalam na kusababisha matatizo.

"Baadhi ya waongoza watalii wanachukua hela kutoka kwa watalii lakini chaajabu huwezi kuwakuta uwanja wa ndege kuwapokea watalii. Hata wakijitokeza kuwapokea ambao wanalipwa hela nyingi, hawatoi huduma bora" Alisema Lufungilo

Kwa upande wake, mwenyekiti wa chama cha waongoza watalii(TTGA) amesema wingi wa kodi zinazotozwa kwa makampuni ya watalii na waongoza watalii imesababisha watalii kutomudu gharama kwa watalii wengi ambao wanashindwa kuitembelea tena Tanzania.

"Kuna kodi nyingi sana na kila siku kodi mpya zinatangazwa na kuwalazimu wamiliki kupandisha gharama ili kupata faida. Alisema ndugu Mollel. Alihoji kwanini baadhi ya mashrika ya ndege kuchaji dola 500 zaidi kwa tiketi safari kutoka Ulaya kuja Tanzania ikilinganishwa na viwanja vingine vya ndege kwenye nchi za jirani.

Akifungua mkutano wa mwaka kwa wahariri na waandishi waandamizi kwenye sekta ya utalii, katibu mkuu wizara ya Utalii na maliasili, Aloyce Nzuki amewataka wanahabari wafikiri kwa makini kwanini asilimia 20 pekee ya watalii wanaitembelea tena Tanzania.

Dr. Nzuki amevitaka vyombo vya habari nchini kutoa taswira nzuri ya nchi kabla na baada ya watalii kutembelea Tanzania

View attachment 1666303
Kwa maelezo yako umesema ulikwenda kisiwa Cha Saa Nane ukakutana na tour guide mwanamke na ukakata shauri la kutorudi tena huko, sababu ni tour guide ni mwanamke ama? Je, huyo tour guide alikuwa na matatizo gani kwenu, kajichubua, ananuka makwapa, ananuka mdomo, ana asili ya kigaidi ama?
 
Ila pia kuwe na regulatory body ya kuyafuatilia makampuni ya kitalii yapo kitapeli maana siku hizi yamekuwa kama utitiri.
 
Tatizo ni kufikiri hizo posts ni za wastaafu, sijui wajeshi na pa kuweka washkaj kumalizia muda...
Hawajui watu wenye hela zao hawaji kusikiliza mambo ya SGR, au sijui fly overs.
Hawa you mess up dk zao first 5 minutes ushaaribu.

Huchelewi kusikia mtu anauliza mgeni so how is Arsenal and Chelsea doing ? 🤣🤣🤣🤣
 
Huu utafiti ni ujinga mkubwa jaribu kufikiri mtalii amepanda mlima Kilimanjaro utegemee na mwakani aje apande tena
 
Sijui ndo uzalendo ama Ni Nini lakini kiukweli sisi tunaona Tanzania Kama nchi ya kipekee Sana duniani kitu ambacho sio kweli, Wala si kweli kuwa Tanzania ni nchi pekee ya kuvutia watalii duniani. Kuna nchi nyingi duniani Zina vivutio vya kutosha hasa wanyama wa mwitu. Hapa Afrika tu Kuna nchi Kama Botswana, Namibia na south Afrika Zina wanyama wengi na vivutio vingi hata nje ya wanyama.

Kitu mingine ni sera mbovu za utalii. Tunachikulia watalii Kama Matajiri Sana hivyo gharama ni kubwa Sana.

Roma ,ugirigi na uturuki Kuna Majengo Yana miaka zaidi ya 800 na bado hapo Hadi leo sisi huko Zanzibar jengo la miaka 200 linaanguka, serikali mbovu isiyojali.

Kikubwa tuboreshe mazingira ya kuvutia watalii hasa usafiri na makazi ikiwemo vyoo. Pia tupunguze kodi.

Kuna nchi Kama Marekani, India, Amerika kusini na hata baadhi ya nchi za ulaya Zina vivutio vizuri Sana vya utalii kuzidi kwetu. Lakini sisi tunajiona Kama Ni wa pekee zaidi duniani.

Tanzania sio kivutio tu bali ni heritage ya UNESCO and haiwezi kutolewa on position 1 kwa africa
 
The lower the price at good service level, the higher the number of customers joining the service.

you cant make a good service at a lower price while you have a gap to extend the price! ni sawa sawa utake huduma ya iphone kwenye techno, what type of madness are you talking,

2. watalii kutokurudi ni kitu cha kawaida sana, mm nmepanda mlima kilimanjaro mpaka juu and i enjoyed the whole trip but sina mpango wa kurudi sio for any reasons but it wont become a trip again unaenda sehem unapajua! easy as that
 
Back
Top Bottom