Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Kwi Kwi KwiUpuuzi mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwi Kwi KwiUpuuzi mtupu
Wala haihusiani chochote
Lowasa si upo naye au?
nakuonyesha wahuni walivyo hao unasema siyo angalia uhuni original huo watanzania siyo wajinga kama mnavyotuzania mmeula wa chuyaWala haihusiani chochote
mlivyokuwa mnamchafua halafu akawanunua yaani aliwaonyesha kuwa ana hela mbowe akaufyata mkia wakeLowasa si upo naye au?
Kwa hiyo na CCM kainunua?mlivyokuwa mnamchafua halafu akawanunua yaani aliwaonyesha kuwa ana hela mbowe akaufyata mkia wake
Hili lina tija gani kusemwa leo ?
Je haoni kwamba lina effect mbaya kwa kampuni ya TTCL ? Kwamba bila kulazimishwa hakuna aneyechukua...
Sio kwamba nawatetea @TTCL hata mimi siwakubali ila there is no point in kicking a dying man...., Especially kama its one of your Own...
ccm ndiko alikuwa mkamchafua kuwa ni mchafu akawaonyesha jeuri akawanunua mbowe akawa anampigia makofi utadhani siyo yeye aliyekuwa anamtukana aisee hela nyoko kabisa mbowe anachekacheka kama mwanamke kaona mkuyengeKwa hiyo na CCM kainunua?
Akili ako inawaza ngono pekeeccm ndiko alikuwa mkamchafua kuwa ni mchafu akawaonyesha jeuri akawanunua mbowe akawa anampigia makofi utadhani siyo yeye aliyekuwa anamtukana aisee hela nyoko kabisa mbowe anachekacheka kama mwanamke kaona mkuyenge
Kwi Kwi Kwi , Mwaka mmoja tu legacy chali miguu juu !mlivyokuwa mnamchafua halafu akawanunua yaani aliwaonyesha kuwa ana hela mbowe akaufyata mkia wake
Tukiwa tunaazimisha mwaka mmoja wa hayati bado mashambulizi ni makali sana
Wakati wa utawala wa awamu ya 5 chini ya Dr Magufuli, viongozi wa serikali, wakiwemo Mawaziri na wafanyakazi wa serikali walilazimishwa kununua line ya simu ya TTCL kibabe, huku wengine wakipigwa mkwara kwamba wasipokuwa na line ya TTCL watang'olewa kwenye uongozi, lengo la jambo hilo kwa akili ya viongozi wa wakati ule ilikuwa kulazimisha mtandao wa TTCL kupata wateja wengi, hata hivyo idadi ya wafanyakazi wote wa serikali ya Tanzania inakadiriwa kufikia laki 6 tu.
Nchi yenye Raia wanaotajwa kuzidi mil 60, hata ukichukua wafanyakazi wote ukawapelekea line za TTCL kwa mtutu wa bunduki mtandao huo hauwezi kuteka soko kwa idadi hiyo ya wateja, Binafsi nilipinga vibaya sana jambo hilo na nikashauri viongozi wa wakati ule kwamba, ikiwa wanataka TTCL ishamiri basi Wanaccm wote waliodaiwa kuwa wengi sana nchini Tanzania ndio walazimishwe kununua line za TTCL, pamoja na kwamba Mwenyekiti wa ccm alikuwa Magufuli huyohuyo lakini ushauri wangu hakuufuata .
Leo Waziri Nape amekiri hadharani kwamba uamuzi ule haukuwa na lolote la maana.
===
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwamba haukuwa utaratibu sahihi kuwalazimisha viongozi wa serikali kumiliki na kutumia laini za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Amesema kufanya hivyo kunaweza kusiwe na matunda yanayotarajiwa kwani kiongozi anaweza kuinunua kwa sababu amelazimishwa, lakini akatumia ya mtandao ambao yeye anaupenda.
“Huduma hizi hazilazimishwi. Ukiwalazimisha watu wachukue laini, watachukua hiyo uliyowalazimisha halafu watachukua na ile wanayoipenda,” amesema Nape na kuongeza kwamba “I don’t think if it was a good model [sidhani kama ulikuwa utaratibu mazuri.”
Nape amesema hayo akijibu swali la mmoja wa waandishi wa habari aliyetaka kujua wizara ina mpango gani kuhakikisha kwamba TTCL inafikisha mawasiliano vijijini ikizingatiwa kwamba Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliagiza awatumishi wote wa serikali kuwa na laini za TTCL.
Aidha, katika mkutano huo wa kueleza mafanikio ya wizara kwa mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan iliibuliwa tena hoja ya gharama za intaneti na waziri akasema kwamba gharama zilivyo sasa zipo chini ya kiwango kinachokubalika kisheria.
“… Kwa presha ya siasa tumeshuka hadi tukapitiliza kiwango kilichoiwekwa kisheria. Sasa hatuwezi kuendelea kushuka kama tunahitaji huduma bora,” amesema.
Amesema kuwa ukitaka huduma bora sharti ukubali kuigharamikia kidogo na kuwataka wananchi kuacha malalamiko, kujiona wanyongea au kudhani kwamba wanaonewa.
Hata hivyo, amesema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea na mazungumzo na wadau kuona namna ya kuboresha gharama hizo ili kuimarisha na kukuza matumizi ya huduma za intaneti nchini.
Awamu hii ikiisha kuna watu watakuwa na UKWASI wa kufa mtu...., ila sijui faida yake nini ukizingatia wote tuna-end up six feet under.....Maandalizi ya kuliuzilia mbali shirika hilo kwa mabeberu kinyemela zaidi...
Duh, watu mna majibu!!Posho naona haijatoka
Legasi chali !Tukiwa tunaazimisha mwaka mmoja wa hayati bado mashambulizi ni makali sana
legacy ni hiyo mnayoitangaza nyie wenyewe bila kujuwa mngekuwa hamumtaji angesahaulika lakini mnvyompenda mpaka sasa yupo mioni mwenuLegasi chali !