Serikali yakiri makosa kuwalazimisha Wafanyakazi wa Umma kununua laini ya simu ya TTCL

Nape anaongea mimi nilipinga hill live bila chenga na post zangu humu zipo kibao nilipinga mno tena mno

Mtu akisema ohh kipindi cha Magufuli hawakuweko wana CCM wa kupinga maamuzi ya Serikali yake uongo.Mimi hilo nilipinga kwa nguvu zote humu nikiwa mwana CCM nilimtetea mengine ila yako mengi nilipinga kwa nguvu zote mojawapo ni hili anasema Nape na sijawahi Omba msamaha kuwa labda nilikosea kupinga post ziko Humu jamii forums na nafikiri mimi niliongoza upinzani humu jamiiforums kuliko yeyote kupinga hilo
 
Unapinga Petty issues unaacha major issues.
Hizo ni akili au matope?!
Nape anaongea mimi nilipinga hill live bila chenga na post zangu humu zipo kibao nilipinga mno tena mno

Mtu akisema ohh kipindi cha Magufuli hawakuweko wana CCM wa kupinga maamuzi ya Serikali yake uongo.Mimi hilo nilipinga kwa nguvu zote humu nikiwa mwana CCM nilimtetea mengine ila yako mengi nilipinga mojawapo.hili anasema Nape na sijawahi Omba msamaha kuwa labda nilikosea kupinga post ziko Humu jamii forums na nafikiri mimi niliongoza upinzani humu jamiiforums kuliko.yeyote kupinga
 
Walipokuwa wanasema wapinzani mulisema siyo wazalendo wanatumika na mabeberu, sasa wazalendo endeleeni kufukunyuana mpaka ya uvunguni yawe peupe.
 
Simu za mezani ni salama zaidi dhidi ya udukuzi na uingiliaji wa mawasiliano yake.

Sio rahisi "kutrepu"
Ni nini manufaa ya Simu za mezani ?

Unadhani teknolojia ya Chip ingegunduliwa kabla na hizi infrastructure za Mobile kuwepo kungekuwepo hata Simu za Mezani ?

That technology is dead and buried haina faida yoyote labda as an historical artifact...
 
Sisi tunataka bando nafuu iwe ni TTCL au mtandao mwingine wowote. Hizi mambo za kujadili yaliyopita bila kugusa adha zilizopo ni nosense. Ajira na maarifa sasa iko mitandaoni, lkn bando limekuwa ghali sana.
 
Unapinga Petty issues unaacha major issues.
Hizo ni akili au matope?!
What do you mean mfanyakazi humpi voucher akiwa kazini halafu unataka awe na vocha ya TTCL ya kuwasiliana ofisini halafu sababu vocha za TTCL hazipatikani nchi zima TTCL wanasema wameingia mkataba na Tigo Pesa kuwa kama eneo vocha za TTCL hazipo mfanyakazi wa Serikali anunue vocha kwenye Tigo Pesa !! Huyo mwajiri hajazi vocha,Hawaii Tigo pesa,halipii charge za kununua vocha halafu unataka kila mfanyakazi awe na Line ya TTCL at whose cost?

Nilipinga Magufuli humu live kuwa labda aongeze mishahara na vocha Serikali itoe
 
Wakati wa utawala wa awamu ya 5 chini ya Dr Magufuli, viongozi wa serikali, wakiwemo Mawaziri na wafanyakazi wa serikali walilazimishwa kununua line ya simu ya TTCL kibabe, huku wengine wakipigwa mkwara kwamba wasipokuwa na line ya TTCL watang'olewa kwenye uongozi, lengo la jambo hilo kwa akili ya viongozi wa wakati ule ilikuwa kulazimisha mtandao wa TTCL kupata wateja wengi, hata hivyo idadi ya wafanyakazi wote wa serikali ya Tanzania inakadiriwa kufikia laki 6 tu.

Nchi yenye Raia wanaotajwa kuzidi mil 60, hata ukichukua wafanyakazi wote ukawapelekea line za TTCL kwa mtutu wa bunduki mtandao huo hauwezi kuteka soko kwa idadi hiyo ya wateja, Binafsi nilipinga vibaya sana jambo hilo na nikashauri viongozi wa wakati ule kwamba, ikiwa wanataka TTCL ishamiri basi Wanaccm wote waliodaiwa kuwa wengi sana nchini Tanzania ndio walazimishwe kununua line za TTCL, pamoja na kwamba Mwenyekiti wa ccm alikuwa Magufuli huyohuyo lakini ushauri wangu hakuufuata .

Leo Waziri Nape amekiri hadharani kwamba uamuzi ule haukuwa na lolote la maana.

===

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwamba haukuwa utaratibu sahihi kuwalazimisha viongozi wa serikali kumiliki na kutumia laini za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

Amesema kufanya hivyo kunaweza kusiwe na matunda yanayotarajiwa kwani kiongozi anaweza kuinunua kwa sababu amelazimishwa, lakini akatumia ya mtandao ambao yeye anaupenda.

“Huduma hizi hazilazimishwi. Ukiwalazimisha watu wachukue laini, watachukua hiyo uliyowalazimisha halafu watachukua na ile wanayoipenda,” amesema Nape na kuongeza kwamba “I don’t think if it was a good model [sidhani kama ulikuwa utaratibu mazuri.”

Nape amesema hayo akijibu swali la mmoja wa waandishi wa habari aliyetaka kujua wizara ina mpango gani kuhakikisha kwamba TTCL inafikisha mawasiliano vijijini ikizingatiwa kwamba Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliagiza awatumishi wote wa serikali kuwa na laini za TTCL.

Aidha, katika mkutano huo wa kueleza mafanikio ya wizara kwa mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan iliibuliwa tena hoja ya gharama za intaneti na waziri akasema kwamba gharama zilivyo sasa zipo chini ya kiwango kinachokubalika kisheria.

“… Kwa presha ya siasa tumeshuka hadi tukapitiliza kiwango kilichoiwekwa kisheria. Sasa hatuwezi kuendelea kushuka kama tunahitaji huduma bora,” amesema.

Amesema kuwa ukitaka huduma bora sharti ukubali kuigharamikia kidogo na kuwataka wananchi kuacha malalamiko, kujiona wanyongea au kudhani kwamba wanaonewa.

Hata hivyo, amesema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea na mazungumzo na wadau kuona namna ya kuboresha gharama hizo ili kuimarisha na kukuza matumizi ya huduma za intaneti nchini.

Pia soma: Serikali: Sio Watumishi wote wa Umma wanatakiwa kuwa na laini ya TTCL bali Viongozi wanaopewa vocha watapewa za TTCL
Tu

Nitoe Rai kwa wazee wa legacy wote.. huu ni wakati mgumu tunapitishwa kweny tanuru, ni vzr tuwe wavumilivu maan hakuna namna tena!!! NCHI inafunguliwa maan ilikua kifungoni.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwamba haukuwa utaratibu sahihi kuwalazimisha viongozi wa serikali kumiliki na kutumia laini za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

Amesema kufanya hivyo kunaweza kusiwe na matunda yanayotarajiwa kwani kiongozi anaweza kuinunua kwa sababu amelazimishwa, lakini akatumia ya mtandao ambao yeye anaupenda.

“Huduma hizi hazilazimishwi. Ukiwalazimisha watu wachukue laini, watachukua hiyo uliyowalazimisha halafu watachukua na ile wanayoipenda,” amesema Nape na kuongeza kwamba “I don’t think if it was a good model [sidhani kama ulikuwa utaratibu mazuri.”

Nape amesema hayo akijibu swali la mmoja wa waandishi wa habari aliyetaka kujua wizara ina mpango gani kuhakikisha kwamba TTCL inafikisha mawasiliano vijijini ikizingatiwa kwamba Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliagiza awatumishi wote wa serikali kuwa na laini za TTCL.

Aidha, katika mkutano huo wa kueleza mafanikio ya wizara kwa mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan iliibuliwa tena hoja ya gharama za intaneti na waziri akasema kwamba gharama zilivyo sasa zipo chini ya kiwango kinachokubalika kisheria.

“… kwa presha ya siasa tumeshuka hadi tukapitiliza kiwango kilichoiwekwa kisheria. Sasa hatuwezi kuendelea kushuka kama tunahitaji huduma bora,” amesema.

Amesema kuwa ukitaka huduma bora sharti ukubali kuigharamikia kidogo na kuwataka wananchi kuacha malalamiko, kujiona wanyongea au kudhani kwamba wanaonewa.

Hata hivyo, amesema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea na mazungumzo na wadau kuona namna ya kuboresha gharama hizo ili kuimarisha na kukuza matumizi ya huduma za intaneti nchini.

Swahili Times
TTCL ni ya serikali!

TTCL haikuwa na wateja

Ni sahihi watu wa serikali kuipa kipaumbele TTCL yao ili kuiinua kuliko kuinufaisha tigo
 
Simu za mezani ni salama zaidi dhidi ya udukuzi na uingiliaji wa mawasiliano yake.

Sio rahisi "kutrepu"
Ukimaanisha nini kwamba nikipigiwa nikajifungie chooni secretary asisikie au na yenyewe naweza kwenda nje chini ya mti (how far though) Hivi hukusikia mambo ya Wiretap na enzi za FBI na Mafia's ?

Au unadhani kwanini wauza drugs wengi walihamia kwenye Beepers na wakipigiwa wanakimbilia kwenye public phones ?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Hili lina tija gani kusemwa leo ?

Je haoni kwamba lina effect mbaya kwa kampuni ya TTCL ? Kwamba bila kulazimishwa hakuna aneyechukua...

Sio kwamba nawatetea @TTCL hata mimi siwakubali ila there is no point in kicking a dying man...., Especially kama its one of your Own...
Mkuu kitu cha msingi,TTCLhaijawi kujipanga kufanya kazi Kibiashara,ipo kuwanufaishi vigogo wa serikali kutokea teuzi,tenda n.k
Uza hisa 60% kwa watu na serikali ibakie na 40% baada ya miaka 2 itageuka Airtel au zaidi.
 
Mkuu kitu cha msingi,TTCLhaijawi kujipanga na kufanya kazi Kibiashara,ipo kuwanufaishi vigogo wa serikali kutokea teuzi,tenda n.k
Uza hisa 60% kwa watu na serikali ibakie na 40% baada ya miaka 2 itageuka Airtel au zaidi.
Walaji ni wengi tu hata ingejikita kwenye kukodisha minara yake na infrastructure yake ya cable / fibre optic ni pesa ya kutosha...

Nina uhakika huko kuna pesa inaliwa balaa shida hakuna accountability na transparency... Hii nchi imejaa walafi hata hio Airtel baada ya Serikali kuchukua Hisa nyingi sijui imeishia wapi...

Tatizo sio Serikali tu (China wana kampuni za State zinafanya vizuri sana) TATIZO ni hii Serikali.....
 
Tatizo ni accountability,board member mteuliuwa wa serikali yupo kupata posho tu,kwani hata teuzi zao haziko transparent.
Lakini jiulize TTCL ina kila kitu ikibidi miundo mbinu kuliko makampuni mengine,pia serikali inawabeba sana na ku inject fedha nyingi sana,bado wanapewa misaada na nchi rafiki but outcome ni zero.
Lakini wakiuza hisa board members ni wale walionunua hisa nyingi hawatakubali ujinga wa management, kwa maana wataifanyia complete overhaul sio lip service.
 
Wakati wa utawala wa awamu ya 5 chini ya Dr Magufuli, viongozi wa serikali, wakiwemo Mawaziri na wafanyakazi wa serikali walilazimishwa kununua line ya simu ya TTCL kibabe, huku wengine wakipigwa mkwara kwamba wasipokuwa na line ya TTCL watang'olewa kwenye uongozi, lengo la jambo hilo kwa akili ya viongozi wa wakati ule ilikuwa kulazimisha mtandao wa TTCL kupata wateja wengi, hata hivyo idadi ya wafanyakazi wote wa serikali ya Tanzania inakadiriwa kufikia laki 6 tu.

Nchi yenye Raia wanaotajwa kuzidi mil 60, hata ukichukua wafanyakazi wote ukawapelekea line za TTCL kwa mtutu wa bunduki mtandao huo hauwezi kuteka soko kwa idadi hiyo ya wateja, Binafsi nilipinga vibaya sana jambo hilo na nikashauri viongozi wa wakati ule kwamba, ikiwa wanataka TTCL ishamiri basi Wanaccm wote waliodaiwa kuwa wengi sana nchini Tanzania ndio walazimishwe kununua line za TTCL, pamoja na kwamba Mwenyekiti wa ccm alikuwa Magufuli huyohuyo lakini ushauri wangu hakuufuata .

Leo Waziri Nape amekiri hadharani kwamba uamuzi ule haukuwa na lolote la maana.

===

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwamba haukuwa utaratibu sahihi kuwalazimisha viongozi wa serikali kumiliki na kutumia laini za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

Amesema kufanya hivyo kunaweza kusiwe na matunda yanayotarajiwa kwani kiongozi anaweza kuinunua kwa sababu amelazimishwa, lakini akatumia ya mtandao ambao yeye anaupenda.

“Huduma hizi hazilazimishwi. Ukiwalazimisha watu wachukue laini, watachukua hiyo uliyowalazimisha halafu watachukua na ile wanayoipenda,” amesema Nape na kuongeza kwamba “I don’t think if it was a good model [sidhani kama ulikuwa utaratibu mazuri.”

Nape amesema hayo akijibu swali la mmoja wa waandishi wa habari aliyetaka kujua wizara ina mpango gani kuhakikisha kwamba TTCL inafikisha mawasiliano vijijini ikizingatiwa kwamba Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliagiza awatumishi wote wa serikali kuwa na laini za TTCL.

Aidha, katika mkutano huo wa kueleza mafanikio ya wizara kwa mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan iliibuliwa tena hoja ya gharama za intaneti na waziri akasema kwamba gharama zilivyo sasa zipo chini ya kiwango kinachokubalika kisheria.

“… Kwa presha ya siasa tumeshuka hadi tukapitiliza kiwango kilichoiwekwa kisheria. Sasa hatuwezi kuendelea kushuka kama tunahitaji huduma bora,” amesema.

Amesema kuwa ukitaka huduma bora sharti ukubali kuigharamikia kidogo na kuwataka wananchi kuacha malalamiko, kujiona wanyongea au kudhani kwamba wanaonewa.

Hata hivyo, amesema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea na mazungumzo na wadau kuona namna ya kuboresha gharama hizo ili kuimarisha na kukuza matumizi ya huduma za intaneti nchini.

Pia soma: Serikali: Sio Watumishi wote wa Umma wanatakiwa kuwa na laini ya TTCL bali Viongozi wanaopewa vocha watapewa za TTCL
Kumbe ndo maana tumeisagia kunguni ttcl? Kwamba yalikuwa ni maandalizi ya uteuzi mpya wa CEO wa TTCL?
 
Kila kitu mlikosea?!!!
Hakuna kitu kiovu kama kufanya personification kwenye interest za wengi...Nachoona ni watu kuwa na mambo yao binafsi wakiyaleta kama mambo ya kitaifa...Well yanamwisho haya na huo siyo siku nyingi sana, trust what I say!
 
Kumbe ndo maana tumeisagia kunguni ttcl? Kwamba yalikuwa ni maandalizi ya uteuzi mpya wa CEO wa TTCL?
I think it goes even beyond what you think; kuna picha hapo inajileta, Mungu saidia nchi yangu!
 
Wakati wa utawala wa awamu ya 5 chini ya Dr Magufuli, viongozi wa serikali, wakiwemo Mawaziri na wafanyakazi wa serikali walilazimishwa kununua line ya simu ya TTCL kibabe, huku wengine wakipigwa mkwara kwamba wasipokuwa na line ya TTCL watang'olewa kwenye uongozi, lengo la jambo hilo kwa akili ya viongozi wa wakati ule ilikuwa kulazimisha mtandao wa TTCL kupata wateja wengi, hata hivyo idadi ya wafanyakazi wote wa serikali ya Tanzania inakadiriwa kufikia laki 6 tu.

Nchi yenye Raia wanaotajwa kuzidi mil 60, hata ukichukua wafanyakazi wote ukawapelekea line za TTCL kwa mtutu wa bunduki mtandao huo hauwezi kuteka soko kwa idadi hiyo ya wateja, Binafsi nilipinga vibaya sana jambo hilo na nikashauri viongozi wa wakati ule kwamba, ikiwa wanataka TTCL ishamiri basi Wanaccm wote waliodaiwa kuwa wengi sana nchini Tanzania ndio walazimishwe kununua line za TTCL, pamoja na kwamba Mwenyekiti wa ccm alikuwa Magufuli huyohuyo lakini ushauri wangu hakuufuata .

Leo Waziri Nape amekiri hadharani kwamba uamuzi ule haukuwa na lolote la maana.

===

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwamba haukuwa utaratibu sahihi kuwalazimisha viongozi wa serikali kumiliki na kutumia laini za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).

Amesema kufanya hivyo kunaweza kusiwe na matunda yanayotarajiwa kwani kiongozi anaweza kuinunua kwa sababu amelazimishwa, lakini akatumia ya mtandao ambao yeye anaupenda.

“Huduma hizi hazilazimishwi. Ukiwalazimisha watu wachukue laini, watachukua hiyo uliyowalazimisha halafu watachukua na ile wanayoipenda,” amesema Nape na kuongeza kwamba “I don’t think if it was a good model [sidhani kama ulikuwa utaratibu mazuri.”

Nape amesema hayo akijibu swali la mmoja wa waandishi wa habari aliyetaka kujua wizara ina mpango gani kuhakikisha kwamba TTCL inafikisha mawasiliano vijijini ikizingatiwa kwamba Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliagiza awatumishi wote wa serikali kuwa na laini za TTCL.

Aidha, katika mkutano huo wa kueleza mafanikio ya wizara kwa mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan iliibuliwa tena hoja ya gharama za intaneti na waziri akasema kwamba gharama zilivyo sasa zipo chini ya kiwango kinachokubalika kisheria.

“… Kwa presha ya siasa tumeshuka hadi tukapitiliza kiwango kilichoiwekwa kisheria. Sasa hatuwezi kuendelea kushuka kama tunahitaji huduma bora,” amesema.

Amesema kuwa ukitaka huduma bora sharti ukubali kuigharamikia kidogo na kuwataka wananchi kuacha malalamiko, kujiona wanyongea au kudhani kwamba wanaonewa.

Hata hivyo, amesema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea na mazungumzo na wadau kuona namna ya kuboresha gharama hizo ili kuimarisha na kukuza matumizi ya huduma za intaneti nchini.

Pia soma: Serikali: Sio Watumishi wote wa Umma wanatakiwa kuwa na laini ya TTCL bali Viongozi wanaopewa vocha watapewa za TTCL
Nape anampigapiga Magu aisee.. bado ana hasira nae kalii.
 
🤣🤣🤣 Kitendo kile cha Magufuli kilisababisha wengi kuichukia TTCL hadi leo!
Yaani uichukie ttcl kwani wewe ndiyo serikali inayolipa hizo bili za simu zinazotumika kwa viongozi wa serikali? Acheni hizo, fanyeni mambo yenu personal bila kumhusisha JPM, he did good to this country bahati mbaya wema hawaishi muda mrefu na nabii hakubaliki kwao
 
Back
Top Bottom