Serikali yakiri makosa kuwalazimisha Wafanyakazi wa Umma kununua laini ya simu ya TTCL

Hili lina tija gani kusemwa leo ?

Je haoni kwamba lina effect mbaya kwa kampuni ya TTCL ? Kwamba bila kulazimishwa hakuna aneyechukua...

Sio kwamba nawatetea @TTCL hata mimi siwakubali ila there is no point in kicking a dying man...., Especially kama its one of your Own...
 
Maandalizi ya kuliuzilia mbali shirika hilo kwa mabeberu kinyemela zaidi...
 
Kwa hiyo na CCM kainunua?
ccm ndiko alikuwa mkamchafua kuwa ni mchafu akawaonyesha jeuri akawanunua mbowe akawa anampigia makofi utadhani siyo yeye aliyekuwa anamtukana aisee hela nyoko kabisa mbowe anachekacheka kama mwanamke kaona mkuyenge
 
Akili ako inawaza ngono pekee
 
Tukiwa tunaazimisha mwaka mmoja wa hayati bado mashambulizi ni makali sana
 
Rais wa 2030 nae atasema ilikuwa sawa watumishi wa umma kumiliki laini hata mtu hukumpenda kisha kufa mambo mengine ni ufala tu.

akili za kitoto sana nchi inaenda kwa propaganda za kijinga sana.
 
Maandalizi ya kuliuzilia mbali shirika hilo kwa mabeberu kinyemela zaidi...
Awamu hii ikiisha kuna watu watakuwa na UKWASI wa kufa mtu...., ila sijui faida yake nini ukizingatia wote tuna-end up six feet under.....

Hawa ndio watasababisha vizazi vijavyo viponde mawe makaburi yetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…