mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Kuwashughulikia mafisadi kunahitaji muda mrefuKwa hiyo alishindwa kuwashughulikia kwa miaka 5 yote.
Majengo yalitelekezwa hadi nilipokuwa nikipita nashangaa inakuaje mradi umeshatumia mamilion ya pesa umefika pale halafu majumba yanaachwa tu yaoze
Muda mrefu huku majengo yanaoza na kushuka thamani? Muda mrefu kiasi gani? Maana hata aliunda mahakama lakini hakuna fisadi lolote tuliwahi kusikia limepelekwa huko kwa miaka yote 5.Kueashughulikia mafisadi kunahitaji muda mrefu
Kafanyeje?Mwendazake alaaniwe tena na tena
wewe ni mpumbavu mmoja kwa kuropoka usichokijuaMradi wameufisadi hadi umewashinda. Duh hii awamu in balaaa
Hujui kitu wewe mm nilikuwepo kwenye mradi acha kuropokaHapana.jpm alitaka kuwashughulikia walioufisadi bahati mbaya akatutoka.kwa sasa mafisadi wamerudi na wanataka wajiuzie wao ili waendeleze kunufaika hao mafisadi
Sio tu kutekelezwa, yaani vifaa vyote mule kama magari, sijui vifaa vya ujenzi nk vimeibiwa karibia vyoteKwa hiyo alishindwa kuwashughulikia kwa miaka 5 yote.
Majengo yalitelekezwa hadi nilipokuwa nikipita nashangaa inakuaje mradi umeshatumia mamilion ya pesa umefika pale halafu majumba yanaachwa tu yaoze
Binafsi nilifuatilia ya kwangu mpaka nikaipata!Yani lazima utenge muda wa kufuatilia ndani ya miezi miwili unapata chakoNssf wanatoa mafao kwa wastaafu bila kuchelewa?
Roho mbaya, visasi na chuki vya JPM ndio vilisababisha mradi kusimama.Huu mradi ulisimama baada ya jpm kuingia madarakani majumba yakatelekezwa tu.
Nambie kimewashinda kipindi kuendeleza?Roho mbaya, visasi na chuki vya JPM ndio vilisababisha mradi kusimama.
Ni wakati wetu kumiliki majengo makubwa baada ya fitina ya muda mrefu.....View attachment 2398070
Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao.
Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ulioanzishwa na NSSF mwaka 2014 ulisimama tangu Januari 2016 ukidaiwa kufisidi zaidi ya Sh179 bilioni hivyo kutokamilika kwa nyumba za kifahari, hoteli, maduka makubwa, eneo la wazi la mapumziko, baa, shule, hospitali, kumbi za mikutano, nyumba za ibada na migahawa.
Taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba na kusambazwa Jumanne Oktoba 25 imetangaza kutafutwa kwa mzabuni atakayeuendeleza mradi huo.
“NSSF inakusudia kuuza mradi mzima wa Dege Eco Village, shirika halitowajibika tena baada ya mauzo haya. NSSF inakaribisha zabuni zilizofungwa kuununua mradi huu kwa viwango vya kimataifa vilivyoainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma zilizochapishwa kwenye gazeti la Serikali namba 446,” inasomeka sehemu ya taarifa ya NSSF.
Kwa wawekezaji watakaovutiwa kuuendeleza mradi huo uliosimama kwa miaka saba sasa, NSSF imesema wanaweza kuutembelea huko Rasi ya Dege iliyopo Kigamboni jijini hapa ili kuukagua na kujiridhisha na mandhari yake kuanzia saa 4:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana wa Novemba 3.
Zabuni zote, shirika hilo limesema zinapaswa kuwasilishwa mpaka Novemba 14, saa 9:00 alasiri kabla hazijafunguliwa mbele ya waombaji wote watakaokuwa wamejitokeza kwenye ukumbi wake uliopo ghorofa ya saba katika Jengo la Benjamin William Mkapa.
View attachment 2398094
Pia, soma=> Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni
Kila alipojitahidi kuwakamata mnadai hawapendi matajiri anakinyongo nao,akina Manji wote walifirisi NSSF kwa kukopa, lakini Magufuli alivyoanza kumshugulikia makelele kibao,akina Lugemalira wa IPTL walipigiwa kelele na akina Lissu bungeni, lakini Magufuli alivyoanza kuwashugulikia mkaanza kusema wanaonewa, Watanganyika kwa unafiki hawajambo.Muda mrefu huku majengo yanaoza na kushuka thamani? Muda mrefu kiasi gani? Maana hata aliunda mahakama lakink hakuna fisadi lolote tuliwahi kusikia limepelekwa huko kwa miaka yote 5.
mwendazake ndiye aliyeupiga chini huo mradi.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.mwenye huu mradi anajulikana tena wakati huo kuna nsomile mmoja aliupigia promo sana huo mradi.Ni awamu ya mwendazake sio hii
Akili ziko vema kweli?Mradi wameufisadi hadi umewashinda. Duh hii awamu in balaaa
Embu niambie Manji alikopaje NSSF?!Kila alipojitahidi kuwakamata mnadai hawapendi matajiri anakinyongo nao,akina Manji wote walifirisi NSSF kwa kukopa, lakini Magufuli alivyoanza kumshugulikia makelele kibao,akina Lugemalira wa IPTL walipigiwa kelele na akina Lissu bungeni, lakini Magufuli alivyoanza kuwashugulikia mkaanza kusema wanaonewa, Watanganyika kwa unafiki hawajambo.
JK. JPM (rest in eternal peace) ndo alikuja kugundua ufisadi akapiga spana.Ni awamu ya mwendazake sio hii
🤣🤣🤣kaka Pascal PPR itaweza hiyo ligi kweli?hapo tayari wakubwa washapangana,DG anakamilisha tu maandalizi ya mchezo.PPR jikite kwenye low cost housing,maeneo ya Kibaha,Kimara Bonyokwa,Kirungure,Mkuranga,Vianzi.nk.Duh...!. Bonge la fursa hili!.
Hapa Mchechu hawezi kuacha hii opportunity!.
Hapa matajiri watauwana!.
Huu ni wakati sasa wa PPR kuachana na media business na kuingia kwenye real estate na property!.
P
Sioni tatizo.Kuna watu wanakwenda kuwa matajiri.