Ndiposa uweke wazi hapa, zinarudishwaje, maana naona unatakA tuamini hii ishu unaijua nje ndaniNani alikwambia TPDC ilikuwa ipate sawa na mwekezaji? Wakati ndio kwanza serikali bado ipo kwenye majadiliano.
Hivi unafahamu ata hiyo $40 billion dollars inavyorudishwa kwanza au unatupigia kelele wakati ata abc za investment hujui.
Amewashughulikiaje mbona wote hao hakuna hata aliyefungwa wako uraiani hivi unajua maana ya kuwashughulikiaKila alipojitahidi kuwakamata mnadai hawapendi matajiri anakinyongo nao,akina Manji wote walifirisi NSSF kwa kukopa, lakini Magufuli alivyoanza kumshugulikia makelele kibao,akina Lugemalira wa IPTL walipigiwa kelele na akina Lissu bungeni, lakini Magufuli alivyoanza kuwashugulikia mkaanza kusema wanaonewa, Watanganyika kwa unafiki hawajambo.
Ndio maana nikakwambia awali, JF sio kijiwe cha kahawa unajiropokea tu.Ndiposa uweke wazi hapa, zinarudishwaje, maana naona unatakA tuamini hii ishu unaijua nje ndani
Kama ni fursa hivyo kwanini NSSF wauache? Hilo ni white elephant tangu serikali ihamie Dom feasibility study haioani na mradi tena.Duh...!. Bonge la fursa hili!.
Hapa Mchechu hawezi kuacha hii opportunity!.
Hapa matajiri watauwana!.
Huu ni wakati sasa wa PPR kuachana na media business na kuingia kwenye real estate na property!.
P
Ccm wakifanya hivyo nawaunga mkono.Hao wawekezaji watanunua, wataumaliza baadaye CCM itakuja kuwapora.
Ajabu ni kuwa unaponda tu bila kuleta fact unazojua wewe, kiufupi unsjitia muchknow kumbe hola🤗😂,haya hebu tueleze why jpm alimtia ndani james mataragio,, then akamuachia na kesi ikawa ni bogus case,,Ndio maana nikakwambia awali, JF sio kijiwe cha kahawa unajiropokea tu.
Unaleta hoja juu ya hoja.
Jibu swali kwanza nani alikwambia TPDC ilikuwa ipate 50/50 ya mradi? Wakati serikali bado ipo kwenye majadiliano.
Matter of fact ata hiyo framework ya majadiliano imepatikana mwaka huu sasa we hayo ya TPDC kuwa na uelewa wa watakachokipata umeyatoa wapi.
Ni hivi ukisikiliza lawama anazopewa Magufuli ni utoto mtupu.
Huo mradi ulikuwa na mwekezaji mwenza mr Akbar,, ambae alipata msuko suko for bogus accusations na sidhani kama bado ana wazo la kushiriki tena,,Kama ni fursa hivyo kwanini NSSF wauache? Hilo ni white elephant tangu serikali ihamie Dom feasibility study haioani na mradi tena.
Kwa kifupi wewe ni muongo maana umeshindwa kuleta uthibitisho wa madai na kutetea position yako ya kuwa Magufuli alifuta uwekezaji wa Kigamboni na LNG kwa kusikiliza CDM pamoja na kununua ndege kwa kuwasikiliza CDM.Ajabu ni kuwa unaponda tu bila kuleta fact unazojua wewe, kiufupi unsjitia muchknow kumbe hola🤗😂,haya hebu tueleze why jpm alimtia ndani james mataragio,, then akamuachia na kesi ikawa ni bogus case,,
Kwanini alimtoa CAG?, Maana huyu ndio angeweza kuonyesha iwapo mradi ulikuwa white elephant,,
So kwa mawazo yako Rais hapaswi kuwasikiliza cdm na ni dhambi upinzani kutoa ushauri na ukafuatwa?Kwa kifupi wewe ni muongo maana umeshindwa kuleta uthibitisho wa madai na kutetea position yako ya kuwa Magufuli alifuta uwekezaji wa Kigamboni na LNG kwa kusikiliza CDM pamoja na kununua ndege kwa kuwasikiliza CDM.
Hayo mengine sasa ni utaratibu wa ‘akutukanae, akuchagulii tusi’; unatafuta tu visababu visivyo na kichwa wala miguu vya kutoa lawama.
Siwezi kujadili kuhusu maswala ya mradi wa gas kwa sababu hizo ni complicated advanced financial management accounting trust me, sasa unataka nijadili mambo ya investment za dollar billion 40 ambazo kiasi kikubwa zimekopwa, zina rudi kwa muda mrefu, no one knows future stability ya currencies, nor bei ya gas ndani ya muda (trust me all those factors zipo kwenye negotiations).
Sasa mtu mwenyewe uelewi ata hatua za mradi ulipo when that information is in the public kweli nianze majadiliano na wewe kuhusu oil and gas contracts lines of commercial negotiations.
Spare a thought on the assignment unayotaka kunipa usually I charge for such reports.
View attachment 2399520
Na kuhusu uwekezaji wa pension funds nilishaweka sheria inasemaje NSSF walivuka kiwango cha umiliki. Sasa huyo CAG wako angekuwa makini angeionya serikali huko ni kuchezea (risk) ya kutoweza shirika la kutotimiza wajibu wake wa kulipa watu mbeleni.
Ni hivi huo mradi chini ya serikali makini usingefanyika in the first ni kuweka sehemu kubwa ya mapato ya pension funds in a project which has long return of investment.
Worst hakuna proper marketing research ya kuuza nyumba haraka and overpriced.
Hivi unadhani Magufuli alikuwa mtu wa kukurupuka ovyo.
CDM can say what they want, lakini usisingizie maamuzi ya Magufuli yaliyotakana na kauli zao.So kwa mawazo yako Rais hapaswi kuwasikiliza cdm na ni dhambi upinzani kutoa ushauri na ukafuatwa?
Mimi nachosema ni kuwa ushauri wa upinzani ulikua una mislead kwa sababu za kisiasa,,
Lakini sio dhambi serikali kuchukua ushauri mzuri wa oppositions
Sasa mkuu unapojadili hapa unajadili kwa faida ya dunia nzima wanasoma, na hii record vizazi vijavyo miaka 200 ijayo wataikuta,, hapa sio pm,Kwa kifupi wewe ni muongo maana umeshindwa kuleta uthibitisho wa madai na kutetea position yako ya kuwa Magufuli alifuta uwekezaji wa Kigamboni na LNG kwa kusikiliza CDM pamoja na kununua ndege kwa kuwasikiliza CDM.
Hayo mengine sasa ni utaratibu wa ‘akutukanae, akuchagulii tusi’; unatafuta tu visababu visivyo na kichwa wala miguu vya kutoa lawama.
Siwezi kujadili kuhusu maswala ya mradi wa gas kwa sababu hizo ni complicated advanced financial management accounting trust me, sasa unataka nijadili mambo ya investment za dollar billion 40 ambazo kiasi kikubwa zimekopwa, zina rudi kwa muda mrefu, no one knows future stability ya currencies, nor bei ya gas ndani ya muda (trust me all those factors zipo kwenye negotiations).
Sasa mtu mwenyewe uelewi ata hatua za mradi ulipo when that information is in the public kweli nianze majadiliano na wewe kuhusu oil and gas contracts lines of commercial negotiations. Kwa kifupi what you receive as divided ina fluctuate based on so many of factors related to the source of and markets; and sometimes you get nothing.
Spare a thought on the assignment unayotaka kunipa ya kujadili hayo mambo na wewe usually I charge for such reports.
View attachment 2399520
Na kuhusu uwekezaji wa pension funds nilishaweka sheria inasemaje NSSF walivuka kiwango cha umiliki. Sasa huyo CAG wako angekuwa makini angeionya serikali huko ni kuchezea (risk) ya kutoweza shirika la kutotimiza wajibu wake wa kulipa watu mbeleni.
Ni hivi huo mradi chini ya serikali makini usingefanyika in the first ni kuweka sehemu kubwa ya mapato ya pension funds in a project which has long return of investment.
Worst hakuna proper marketing research ya kuuza nyumba haraka and overpriced.
Hivi unadhani Magufuli alikuwa mtu wa kukurupuka ovyo.
Circumstantial evidence thats the key word.Sasa mkuu unapojadili hapa unajadili kwa faida ya dunia nzima wanasoma, na hii record vizazi vijavyo miaka 200 ijayo wataikuta,, hapa sio pm,
Mimi nimekupa circumstantial effidence kuonyesha what i beliave was an attempt to destroy JK legacy😄
Ndo nakuambia huo mradi feasibility study yake iliinvolve kwa asilimia kubwa serikali target market wafanyakazi kukopa kwa udhamini wa serikali sasa focus ya serikali ni Dom siyo dar, huwezi kuwahamisha wafanyakazi Dom then uwadhamini wakope wakae dar wakati sasa kila mfanyakazi anafukuzwa dar aende Dom. Mradi ni mkubwa sana kuuza kiholea holela kwa walalahoi bila wadhamini wa mikopo. Hii ni real estate case study ya ulaya unajenga ukiwa na soko tayari kwapani sasa utanunua hu mradi unaenda kumuuzia nani?Huo mradi ulikuwa na mwekezaji mwenza mr Akbar,, ambae alipata msuko suko for bogus accusations na sidhani kama bado ana wazo la kushiriki tena,,
Wapi ulisikia Serikali ya Wezi ikikamilisha miradi? Kwanza waje hewani wataje kiasi gani kilitolewa na kilichotumika hadi kukwama la sivyo walimega alimia kubwa kuliko yaliyofanyika.View attachment 2398070
Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao.
Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ulioanzishwa na NSSF mwaka 2014 ulisimama tangu Januari 2016 ukidaiwa kufisidi zaidi ya Sh179 bilioni hivyo kutokamilika kwa nyumba za kifahari, hoteli, maduka makubwa, eneo la wazi la mapumziko, baa, shule, hospitali, kumbi za mikutano, nyumba za ibada na migahawa.
Taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba na kusambazwa Jumanne Oktoba 25 imetangaza kutafutwa kwa mzabuni atakayeuendeleza mradi huo.
“NSSF inakusudia kuuza mradi mzima wa Dege Eco Village, shirika halitowajibika tena baada ya mauzo haya. NSSF inakaribisha zabuni zilizofungwa kuununua mradi huu kwa viwango vya kimataifa vilivyoainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma zilizochapishwa kwenye gazeti la Serikali namba 446,” inasomeka sehemu ya taarifa ya NSSF.
Kwa wawekezaji watakaovutiwa kuuendeleza mradi huo uliosimama kwa miaka saba sasa, NSSF imesema wanaweza kuutembelea huko Rasi ya Dege iliyopo Kigamboni jijini hapa ili kuukagua na kujiridhisha na mandhari yake kuanzia saa 4:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana wa Novemba 3.
Zabuni zote, shirika hilo limesema zinapaswa kuwasilishwa mpaka Novemba 14, saa 9:00 alasiri kabla hazijafunguliwa mbele ya waombaji wote watakaokuwa wamejitokeza kwenye ukumbi wake uliopo ghorofa ya saba katika Jengo la Benjamin William Mkapa.
View attachment 2398094
Pia, soma=> Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni
Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao.
Leaked statoil docCircumstantial evidence thats the key word.
But then you presented the accusations as if they were facts wakati unajenga hoja zako za kupika.
I’ll give you 80% for honesty by displaying gentleman’s behaviour in the end kwa kuja clean ya kuwa vitu ulivyoandika ni mawazo yako tu.
As kuongelea mikataba ya natural resources ni complicated business and you need geological data too.
Mchana mwema
👋
Duh...!.Kama ni fursa hivyo kwanini NSSF wauache? Hilo ni white elephant tangu serikali ihamie Dom feasibility study haioani na mradi tena.