Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Baada ya kusifia hicho ndio kimembeba bila hivyo ingeliwa na mchwa kabisa
 
Tunaomba sababu ya kuzuiliwa hiyo Press Card yake, au ni lile swali?
 
Usikute bado unaishi kwa wazazi wako ambao wanaishi kwa hisani na ukamilifu wa Dkt Magufuli, then unasema na wao wanalamba soli za viatu. Mijitu kama wewe ndiyo ilipaswa isizaliwe Tz.
Hot bush pig.....jitu la ovyo kabisa usiejielewa hujui jpm ni nani na majukumu yake hvyo unaona kila kitu anatoa fadhira....what a foolish fool.
 
Hot bush pig.....jitu la ovyo kabisa usiejielewa hujui jpm ni nani na majukumu yake hvyo unaona kila kitu anatoa fadhira....what a foolish fool.
Dkt JPM ndiye baba yetu, utake usitake he is the reason wewe na mimi tunajibishana JF. Dkt Magufuli ni mteule, ana uwakili mwema toka kwa baba Yetu Mungu Baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…