Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

paskal mayala anadharauliwa mno kwasababu ya hulka yake ya kutaka aonekane mwema kwa watu huku akijikomba kwa seriakli sio mtu anayeaminika wanaomwita snich hawakosei.
 
Ila jamaa ni mpambanaji Kwenye taaluma ya UNAFIKI si mchezo maana amejipendekeza Kwa kusifia utawala wa magufuli mpaka amefanikiwa......UNAFIKI unalipa Tanzania hongera Sana
 
Afadhali anaye ishi kwa wazazi wake lkn anajiheshimu kuliko wewe unaye shinda na kukesha pale Meeda
Usikute bado unaishi kwa wazazi wako ambao wanaishi kwa hisani na ukamilifu wa Dkt Magufuli, then unasema na wao wanalamba soli za viatu. Mijitu kama wewe ndiyo ilipaswa isizaliwe Tz.
 
Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.

Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.

Source: Jicho Letu ndani ya habari Star tv!

Kuwachoma kina kabendera na wengine kumbe issue ni Njaaa.
Kweli Adui muombee Njaa.
 
Kama hivi!
Paskali mlamba viatu
tapatalk_1583586417821.jpeg
 
Back
Top Bottom