Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi najua Ccm haina ukabila ndio maana imejidhatiti kila kanda bara na visiwani.
Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star tv!
Bado hajafika. Aendelee kujinyenyekeza na kuwatukana sana wapinzani. U-DC unamnyatia.Mtumikie kafiri upate yako riziki!
Maisha yanasaonga P!
Ndiyo atulize mshono sasaMwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star tv!
Hizo ni dhana za kusadikika,sema umeingia kwenye siasa hivi karibuni tu. Hata Mwl Nyerere alikuwa anapakaziwa uongo kama huo kuwa anapendelea watu wa kanda ya ziwa wakati sio kweli.Kimsingi mimi sio muumini wa siasa za kikabila, bali hizi ni siasa chafu za ccm inapozidiwa hoja. Kwa taarifa yako ccm kuenea nchi nzima sio kwa sababu haijali ukabila, bali ni sababu za kihistoria kuwa ilifaidi mfumo wa chama kimoja. Na wakati huo wa mfumo wa chama kimoja, ccm ilitembea kwa nguvu za serikali, sio zaidi ya hapo. Ila kinachoendelea chini ya awamu hii ya tano kwa upendeleo wa wazi kanda ya ziwa, hilo wala halihitaji mjadala.
Duh...!.Wiki iliyopita nilimwambia namjua Pasco wa enzi za JK, na Paskali Mayalla wa enzi hii ya Magufuli. Yeye alisema ni yule yule, wakati mimi nilimwambia tofauti ipo wazi.
Kumbeee!!!!Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star tv!
Akili zako mbovu mbovu kama za mwwnyekiti wako mbow
Ndio ulitaka awe mchaga?
Utakuwa na mtindio wa ubongo, wapi nimesema awe Mchaga. Mimi na Pasi ni Wasukuma wewe haikuhusu.Ndio ulitaka awe mchaga?
Hizo ni dhana za kusadikika,sema umeingia kwenye siasa hivi karibuni tu. Hata Mwl Nyerere alikuwa anapakaziwa uongo kama huo kuwa anapendelea watu wa kanda ya ziwa wakati sio kweli.
Mwalimu hajawahi kupakaziwa suala la ukabila, ila miaka ya mwanzoni mwa utawala wake alipakaziwa kuwa anawapendelea Wakatoliki.Hizo ni dhana za kusadikika,sema umeingia kwenye siasa hivi karibuni tu. Hata Mwl Nyerere alikuwa anapakaziwa uongo kama huo kuwa anapendelea watu wa kanda ya ziwa wakati sio kweli.
Wewe ni mtu uliekariri mambo. Wakati David Musuguli ni Cdf ulikuwepo? Wakati akina Butiku wapo ikulu ulikuwepo? Unajua wenye akili ndogo kama wewe walikuwa wanasemaje?Ninajua siasa kwa kiwango cha kuridhisha, huenda ni kweli sijui sana, ila kama ni kiwango cha kuijua siasa, basi ninakuzidi ww tena kwa mbali. Nyerere alikuwa na mapungufu yake, lakini hilo la kupendelea kanda ya ziwa haikuwahi kutokea. Rudi kwa anayekufundisha propaganda akuwekee hilo vizuri. Kwamba safari hii kuna upendeleo wa wazi kanda ya ziwa, hilo wala sina shaka nalo, na wala sijakuambia ili ukubali au ukatae, lakini habari ndio hiyo.
We dogo unajua nini?Mwalimu hajawahi kupakaziwa suala la ukabila, ila miaka ya mwanzoni mwa utawala wake alipakaziwa kuwa anawapendelea Wakatoliki.
Congratulions Pascal...hongera Sana...Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star tv!
Kabisaaaa.Wiki iliyopita nilimwambia namjua Pasco wa enzi za JK, na Paskali Mayalla wa enzi hii ya Magufuli. Yeye alisema ni yule yule, wakati mimi nilimwambia tofauti ipo wazi.