ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Ndo maana alitokea kuwa msifiaji kumbeAisee! kumbe hata yeye walimbania ulaji? Atarudi akiwa mtiifu kama Diwani Athumani, Kichere, Madelu na wingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana alitokea kuwa msifiaji kumbeAisee! kumbe hata yeye walimbania ulaji? Atarudi akiwa mtiifu kama Diwani Athumani, Kichere, Madelu na wingine
Swali la SOP kwenda kwa Mkulu? Lakini tambua Mayalla kikwetu ni NJAA.Tunaomba sababu ya kuzuiliwa hiyo Press Card yake, au ni lile swali?
Aliwahi kukwambia anakula kila siku?Tumia common sense hiyo miaka mitatu alilala njaa?
Nilijua tu ule uandishi ule haukua wa bure! Saafi sana it pays kuwa nanihiiMwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star TV!
Wala usikumbuke ilikuwa ni uzushi tu.Kuna watu walisema kuwa ndio alimsaliti Kabendera, sikumbuki vizuri story wenyewe ilikuaje
Wewe wasema. Hakuna aliye juu ya Uungu wa Mungu wetu. Hakuna anayesema Dkt Magufuli ni Yesu Kristu. Watu tunavyoguswa na utendaji kazi wake tunajikuta tunasema asante Mungu kwa kutuletea mkombozi wa kutoka utumwani mwa mafisadi, wezi, watumikia mabeberu n.k.,Kumbe wewe unaishi kwa hisani ya yesu wa Chato?
Hivi alipoambiwa ana njaa kumbe walikuwa washampora press card yake? Kama ni baada ya tukio siyo fresh kumuongezea njaa maana atawezaje kuacha pambio za sifa? Aliyumba sana watu wakadhani ni ukuu wa Wilaya anauwinda. Pole sana comrade Pascal MayallaWiki iliyopita nilimwambia namjua Pasco wa enzi za JK, na Paskali Mayalla wa enzi hii ya Magufuli. Yeye alisema ni yule yule, wakati mimi nilimwambia tofauti ipo wazi.
sasa nimeelewa kwa nini kusifu na kuabudu kumekuwa kwingi these last couple of years.Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star TV!
Hongera sana Pascal ,naamini kwa Sasa unanidhamu iliyotukuka ! Tofauti na enzi zileeeee!!!Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star TV!
Aishukuru sana Star TV imempa promo nzuri, na post zake humu jamii forums za kujinyenyekeza zimemrudisha kwenye mlo.
Mabeberu wabaya sana sema nini? Nyama ya beberu ni tamu sana hasa zile testicles zikitumwa bila conditionsWewe wasema. Hakuna aliye juu ya Uungu wa Mungu wetu. Hakuna anayesema Dkt Magufuli ni Yesu Kristu. Watu tunavyoguswa na utendaji kazi wake tunajikuta tunasema asante Mungu kwa kutuletea mkombozi wa kutoka utumwani mwa mafisadi, wezi, watumikia mabeberu n.k.,
Pole na hongera Pascal. Uliifanyia nini serikali wakakunyanganya hiyo card?Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.