Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Wale washabiki wa TL wanatakiwa kujua "there is no free lunch in town"

In most cases wazungu huwa wanajenga mifumo ya kuandaa papets ili watimize malengo yao.

Mtu kama Nyerere will never be celebrated kwenye kumbukumbu za wazungu ili wengine wasijifunze na kumfanya role model.

Ila Mandela wanamkuza kwa kuwa alilubali kusaini uhuru wake pasi kugusa maslahi ya wazungu ya kiuchumi/kibiashara.

Then akapewa Nobel Peace Prize.

Until we African we wake up and write our own history, build our own economic system, develop our own education systems that solves local problems or utilizes assets available to build our economies,
make/groom our own LEADERS (thru elections and appointments); tutaona faida ya endowment of wealth in motherland Afrika.
Tena sasa hivi wanaizingira kabisa Congo DRC ili kuhakikisha Cobalt yakusanywa yoote kwa ajili ya magari ya kutumia battery.

Ndo maana nchi nyingi za Ulaya na Marekani zinaondokana na magari ya diseli na petrol miaka mitano ijayo.

Raisi wa Congo hatakuwa na neno kwenye hilo maana akisema watamPatrice Lumumba.

Inafahamika lengo lao la kumtayarisha Tundu Lisu huko Belgium kwa makusudio yaleyale ya kuweka madini na rasilimali za Tanzania dhidi ya agenda zao za kudidimiza uchumi wa nchi za Afrika.
 
Wewe wasema. Hakuna aliye juu ya Uungu wa Mungu wetu. Hakuna anayesema Dkt Magufuli ni Yesu Kristu. Watu tunavyoguswa na utendaji kazi wake tunajikuta tunasema asante Mungu kwa kutuletea mkombozi wa kutoka utumwani mwa mafisadi, wezi, watumikia mabeberu n.k.,

Hold on, mnasema ‘Asante Mungu’ au mnamtaka Mungu amshukuru Magufuli.?

Niliwahi kuisikia hii!
 
Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.

Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.

Source: Jicho Letu ndani ya habari Star TV!

Kumbe Undumilakuwili hasa kwa Serikali ya Awamu ya Tano ulikuwa na Chanzo chake hivyo huenda kuanzia sasa tukaanza Kusifia na Kupongeza.
 
Bila shaka Pascal Mayalla umempata slow slow make uliahidi makubwa endapo utampata na bila shaka hizi ni dalili tutegemee makubwa zaidi.

Hongera sana brother usitusahau na sisi kwenye ufalme wako.
 
Tuna timiza wajibu wa kusifu na kuabudu lakini bado tunalimia meno tu,hali ikiendelea hivi tutaongea lugha muda moja muda si mrefu.

Unaweza kuangalia historia yangu JF tangu ilipoanza. Sina sababu ya kusifu bila kujirizisha, nimekuwepo awamu zote Japo awamu ya kwanza nilikuwa nasoma. Serikali hii hasa awamu ya 5 inatekeleza yale ambayo ndiyo yalikuwa madonda ndugu wakati hii JF inaanza. Kwa maoni yangu JF ilishanunuliwa na mafisadi ambao wanafikiria sisi hatuoni unaweza kuona mwenyewe.

BTW you are not one of those who were around when JF started, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi..
 
Umasikini wa Congo DR ni wa kutengenezwa na hao hao watoa taarifa.
Kwa assets za Congo kwa sasa ni utajiri mkubwa kuliko EU na USA kwa pamoja.
Ila wamekuwa wakihakikisha nchi haipo stable ili waikwibe kadri wawezavyo then hao hao wanakuja na report kuwa Congo DR ni masikini.

Kuna lots to be done Afrika ijikomboe kutoka kwenye mifumo ya kiuchumi ambayo imejengwa na Economic Hit Men.

Amazon product ASIN 1626566747
John Perkins ana jambo kubwa sana la kutufunza. Kitabu hiki kipo kwenye PDF format na kinapatikana bure pia.

Mkuu shukran sana, lakini Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu wamejaa uzandiki na fitna tu.
 
Paskali mlamba viatu
1593264629969.png
 
Back
Top Bottom