Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini wa Congo DR ni wa kutengenezwa na hao hao watoa taarifa.Mabeberu wabaya sana sema nini? Nyama ya beberu ni tamu sana hasa zile testicles zikitumwa bila conditions
Kweli kabisa, ni ukweli usiopingika!!Umasikini wa Congo DR ni wa kutengenezwa na hao hao watoa taarifa.
Kwa assets za Congo kwa sasa ni utajiri mkubwa kuliko EU na USA kwa pamoja.
Ila wamekuwa wakihakikisha nchi haipo stable ili waikwibe kadri wawezavyo then hao hao wanakuja na report kuwa Congo DR ni masikini.
Kuna lots to be done Afrika ijikomboe kutoka kwenye mifumo ya kiuchumi ambayo imejengwa na Economic Hit Men.
Amazon product ASIN 0452287081
John Perkins ana jambo kubwa sana la kutufunza. Kitabu hiki kipo kwenye PDF format na kinapatikana bure pia.
Duu!Mpambanaji Pascal Mayalla
Duu!Kumbe ndo maana alikuwa anajitahidi sana kulamba soli za viatu vya wakulu, ..duuh [emoji23][emoji23]
Duu!Mayalla kwetu ni NJAA!!
Hongera sana PASKALI.
[emoji38][emoji28][emoji28]Kumbe ndo maana alikuwa anajitahidi sana kulamba soli za viatu vya wakulu, ..duuh [emoji23][emoji23]
Umasikini wa Congo DR ni wa kutengenezwa na hao hao watoa taarifa.
Kwa assets za Congo kwa sasa ni utajiri mkubwa kuliko EU na USA kwa pamoja.
Ila wamekuwa wakihakikisha nchi haipo stable ili waikwibe kadri wawezavyo then hao hao wanakuja na report kuwa Congo DR ni masikini.
Kuna lots to be done Afrika ijikomboe kutoka kwenye mifumo ya kiuchumi ambayo imejengwa na Economic Hit Men.
Amazon product ASIN 1626566747
John Perkins ana jambo kubwa sana la kutufunza. Kitabu hiki kipo kwenye PDF format na kinapatikana bure pia.
Tulijua kuna kitu hakikosawa, maana si kwakulamba maninilii kule.Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star TV!
Nimeipenda hiiPascal Mayalla chapa kazi mkuu. Maneno ya wivu na kejeli kutoka JF yanafahamika wala yasikusumbue, Tanzania kwanza mengine baadaye. Nyota ya Tanzania inazidi kuwaka na mwisho wa siku Watanzania wengi wataneemeka na rasilimali za nchi hii ambazo zilikuwa zinakwapuliwa na wachache ambao hawataki kufanya kazi. Timiza wajibu wako.
Ndo maana wakati mwingine watakiwa kuandika kimkakati.Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.