Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hii ni kuhakikisha tunanufaika na pwani ya bahari ya indi tofauti na sasa hatunufaiki nayo
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaWe endelea kujiongelesha,kama unataka samaki nunua doano na mtumbwi ingia kazini.Tuko busy saizi kuwarubuni wadanganyika turudi mjengoni
Nimesema vessel kwa ajili ya kuvua kwenye kina kirefu (deep sea) ambako kwa vyombo vya kawaida a.k.a mitumbwi wanavyotumia wavuvi wetu hawawezi fikaSasa kama samaki wapo na sababu hakuna vessel za kuwavua ina maana wangekuwa wanamwagika pembezon ya bahari, mbona hawaonekani kumwagika bwana mdogo?
Unaweza nunua hizo vessels zako kumbe samaki kiduchu tu, hebu tupe hesabu zile za Magu miaka ile upande wa pwani una samaki trillion ngapi?
Mkuu huko deep sea kwa upande wa Tanzania ulifanya research ukaona wapo? Au umekaa sehemu unachekecha nadharia kisha unasema watu wanahitaji ukombozi wa fikra?Nimesema vessel kwa ajili ya kuvua kwenye kina kirefu (deep sea) ambako kwa vyombo vya kawaida a.k.a mitumbwi wanavyotumia wavuvi wetu hawawezi fika
Ila afrika inahitaji ukombozi wa fikra mkubwa sana
Hakuna jitihada zozote alafu unasema hakuna samaki ile meli ya wachina iliyokamatwa 2009 wamati magufuli akiwa waziri wa uvuvi wewe ulikuwa wapi unajua ilikuwa inafanya niniMkuu huko deep sea kwa upande wa Tanzania ulifanya research ukaona wapo? Au umekaa sehemu unachekecha nadharia kisha unasema watu wanahitaji ukombozi wa fikra?
Mkuu hakuna samaki huko pamoja na kukomboka kwako kifikra