Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa
Tengeneza tatizo, tatua

FpYebPJWAAErwmD.jpeg

CCM ni Ile ile.

Cc: Faana
 
Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu...​
Wananchi wanapitia hali ngumu Sana ya maisha halafu mkuja na short stories kuwa serikali imefuta sijui ujinga gani!. Wakati mnaweka ukomo mlifikiria nn na Sana mmefikiria nn kuondoa ukomo?.
 
Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu...​
NIDA wamechoka, kwanini wasiajiri hata kampuni ya nje tupate vitambulisho? waliweka expiry date ya nini kama tuliojiandikisha tangia 2019 hatujapata vitambulisho mpaka leo.

Halafu hata kama hiyo hapo juu Anastazia anakuwaje Male? Ndiyo maana kazi imewashinda wengi wao watakuwa na afya ya akili katika hii taasisi ya NIDA.
 
Hiyo inapendeza, binafsi nilishangaa toka mara ya kwanza nilipoona kitambulisho cha taifa kina expiry date, nikajua tu hilo lilikuwa dili la wapigaji, kwasababu ya awamu ile vilipotolewa kwa mara ya kwanza, watu walikuwa wanajipigia tu.

Mwanzoni waliweka ukomo ili kuzuia watu kufanya udanganyifu...

Ku-renew maombi ilikuwa kama ni kautaratibu ka kuhakiki upya taarifa za watu...
 
Serikali imetangaza kuondoa ukomo wa matumizi ya vitambulisho vya Taifa vilivyoisha muda wake, ikizitaka taasisi za kibenki na kampuni kuendelea kuvitambua vitambulisho hivyo katika utoaji wa huduma

Chanzo: Mwananchi
Not expired date ,it is Expiry date
 
Serikali imetangaza kuondoa ukomo wa matumizi ya vitambulisho vya Taifa vilivyoisha muda wake, ikizitaka taasisi za kibenki na kampuni kuendelea kuvitambua vitambulisho hivyo katika utoaji wa huduma

Chanzo: Mwananchi
Vipi kuhusu matumizi on international issues means nje ya Tanzania maana wenzetu huangalia sana validity dates, na hivi vitambulisho tulivyo navyo ni expiry date
 
Matokeo ya kuishi in a shithole country, wapi umeona ID inakua na ukomo? Hii number unazaliwa nayo, unaishi nayo na unakufa nayo, heko my President kwa kutoa agizo la mzazi kupewa birth certificate ya mtoto kabla mzazi hajaruhusiwa kurudi nyumbani, ni hii birth certificate LAZIMA iwe ndani ya central data system ya nchi, na iongee nchi nzima.
 
Back
Top Bottom