BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Sidhani km ni lazima kuhusisha taarifa hadi kuwe na expired date hasa kwenye uraia wa kuzaliwa. Mbona vyeti ya kuzaliwa hatuhusishi. Pia Kuna gharama kubwa sana kuandaa vitambulisho vipya baada ya vile vya zamani kuisha muda wake. Yani hadi leo tu sidhani hata nusu ya Watanzania Wana vitambulisho vya NIDA sasa vipi likiingia tena suala la kupewa kipya. Kumbuka hapa si ku-update tu taarifa, ni pamoja na kupiga picha upya kumaanisha kuanza zoezi la usajili upya. Kwa serikali zetu hizi za developing countries ni gharama sana.NIDA wameamua kuingiza Siasa
Kitambulisho cha NIDA huonesha taarifa muhimu za Mhusika ie Makazi anayoishi, Namba ya Simu etc
Kuna watu wengi namba walizotumia kusajili hazitumiki muda huu, picha watu hubadilika kutoka utoto kwenda uzee.
Wanatengeneza tatizo kwa kukwepa wajibu wao.
Tutakuwa taifa ambalo data zetu hazitakuwa zikiwa updated