Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa
NIDA wameamua kuingiza Siasa

Kitambulisho cha NIDA huonesha taarifa muhimu za Mhusika ie Makazi anayoishi, Namba ya Simu etc

Kuna watu wengi namba walizotumia kusajili hazitumiki muda huu, picha watu hubadilika kutoka utoto kwenda uzee.

Wanatengeneza tatizo kwa kukwepa wajibu wao.

Tutakuwa taifa ambalo data zetu hazitakuwa zikiwa updated
 
We jamaa, ukihama si unaenda wanakubadilishia?? Ishu ni kuexpire na ile kulipia Tsh 20,000
 
Serikali imefuta Ukomo wa Muda wa Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) kwa Watanzania wote, na kuzitaka taasisi na Mashirika yote yanayotumia utambulisho huo kuendelea kuvitumia bila kuangalia muda wake wa kuisha.

View attachment 2525536
Nilijua tu hawa panya wataweza wapi ku toa vipya wakati hadi sasa watu mamilioni atujapata vitambulisho
 
Kwamba watabadilisha bure?
NIDA wameamua kuingiza Siasa

Kitambulisho cha NIDA huonesha taarifa muhimu za Mhusika ie Makazi anayoishi, Namba ya Simu etc

Kuna watu wengi namba walizotumia kusajili hazitumiki muda huu, picha watu hubadilika kutoka utoto kwenda uzee.

Wanatengeneza tatizo kwa kukwepa wajibu wao.

Tutakuwa taifa ambalo data zetu hazitakuwa zikiwa updated
Watu wamesambaziwa namba tu nadhani kwa serikali kushindwa kubeba gharama. Sasa unahuisha taarifa ilhali kuna wemgine bado hawajanasa hicho kitambulisho?
 
Fafanua kuhuisha
Kuhuisha au ku update.

Kuna mabadiliko ya kimaisha mtu anapata.

Mfano: mwaka 2018 wakati nasajili kitambulisho nilikuwa mtumishi wa shirika x, nikiwa mzima na sijalemaa.

Mwaka 2028 nikawa nimekwisha staafu na ni mlemavu.

Sasa wasipokuwa na utaratibu wa ku update, taarifa flani flani za mtu zaweza kuwa wrong na uhalisia kadri siku zinavyokwenda.

Kwa sababu katika maisha ya mtu kuna mabadiliko mbali mbali ya kila aina na kila wakati.
 
Kama kuna mabadiliko nenda wewe kama wewe ubadilishiwe, lakini si lazima nchi nzima tuingie hasara pesa na muda kufuatilia vitambulisho wakati hakuna taarifa iliyobadilika
 
Nakuunga mkono 100%.

Isipokuwa hilo tangazo la Serikali halikutoa angalizo lolote iwapo mhusika akipata mabadiliko ya kimaisha afanye vipi.

Ndonikasema hivyo kuwa, katika maisha ya mtu kuna mabadiliko yanaweza kujitokeza wakati wowote.
 
Back
Top Bottom