Serikali yaonya utoaji taarifa za maradhi, vifo au wagonjwa bila kuzingatia misingi ya utoaji taarifa

Mapadre si wateule wa Vatican.
 
Ni hivi hivi ndivyo China ilizuia taarifa za Covid-19 hadi kirusi kikaenea dunian
Haya kilipoenenea sehemu zingine duniani na taarifa kuwa zinatolewa, si ugonjwa umeendelea kuenea? Hizo taarifa zimepunguza kipi kwenye kasi ya kuenea? Kwa taarifa yako taarifa hizo nyingi ni under reporting hadi nchi zinagombana kwa kuficha idadi halisi ya corona zao.
 
Vatican ikifahamishwa idadi ya watawa waliofariki Tanzania ina uhuru wa kutoa data hizo kwenye vyombo vya habari duniani. Kifo si siri.
Siku nilipomuona GEORGE BUSH anakwenda vatican mwaka 2004 nikajua siku za sadam hussein zinahesabika. Kesho yake marines wapo iraq vumbi linatimuka.

Chezea akina mwamakula sio wateule wa Vatican aiseee. Mzee mgaya awe makini na wateule aisee
 
Masister wengi huwa na taaluma mbali na u sister, Kuna ma accoutant, wauguzi, walimu nk. Hawa wote hufanya kazi kama waajiriwa wengine. Masister wauguzi inawezekana kabisa walihudumia wagonjwa wa Covid na waliipatia huko.

Mnafahamu huduma za kitubio za kanisa Katoliki zinavyoendeshwa. Ni rahisi mapadre kupata maambukizi wakati wa huduma ya kitubio.
 
Nisome.

Hivi unajua ni wafanya kazi wangapi wa afya ambao tayari wamekwishapoteza maisha na wala habari zao hazijulikani!

Hawa watu (serikali) wanadhani kwa vile hawatangazwi watumishi hao hawaathiriki hata kidogo?

Kinga ya lawama ni kwa serikali kuficha athari zinazowapata wafanyakazi na hata raia zake?
 
Kuto kuwepo kwa PPE za kutosha kwa wafanyakazi wa afya pia ni changamoto.
 
Anazunguka sana, aseme tu kuwa kiongozi wa kiroho wa Kabisa Katoliki amefanya makosa kutoka takwimu na kusema ukweli hadharani.

JPM kafanya watendaji wake wawe watu wa ajabu sana, wenye hofu na kukabidhi akili kwake.
Siyo kiongozi wa kiroho huyo!! Ni kiongozi wa dini! Ndivyo alivyojitambulisha mwenyewe!
 
Tusubiri misa ya jumapili!
Aweza hudhuria ibada pale Ufufuo na Uzima au akaenda Tanganyika Packers kukanyaga mafuta, ili akarushe vizuri makombora upande wa pili.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Aache kuzunguka mbuyu aseme tu nawachimba mkwara nyie ma askofu wa kanisa Katoliki.
 
Ujue Kitima Ni Katibu wa TEC kwa hiyo Yeye Ni Kipaza sauti wa Vikao vya Tec.
 
Huyu jamaa ni kituko sana.

Anamuonya nani? TEC?.....he is just a coward...kwa nini asiwe specific.

Hivi account yake ya Twitter imefunguliwa baada ya wizi wa picha za watu aliofanya ili kuliongopea taifa?
 
Nimekusoma. Hawa wanaudhi kuliko mfano. Kilangila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…