Tunazungumzia taratibu, maadili, kanuni na sheria za utoaji wa takwimu za magonjwa ya kuambukiza na ya milipuko.
1. Katika mlipuko wa ukimwi ulipotokea na hadi sasa unavyoendelea, mapadre kama Kitima walishawahi kutoa takwimu za mapadre na masista walioambukizwa ukimwi na waliofariki kwa ukimwi? Si ni wengi tu, sasa kwa nini hatoi takwimu hizo ili tuhamasike kuchukua tahadhali zinazopaswa? Kwa nini anaona rahisi kutoa takwimu za gonjwa la corona kwa mapadre na watawa wa kanisa lake? Hajui kwamba corona inaambukizana kwa njia zote ambazo ukimwi unaambukizana pamoja na hizo njia nyingine? Yaani kama mpenzi wako ana corona lazima atakuambukiza, and vice versa, tena kirahisi zaidi kuliko virusi vya ukimwi. All you need is close contact of any part of his/ her body provided that contact is within 1 metre distance. Contact ya ukimwi si zero distance pekee bali certain parts of your bodies have to be penetrating each other. Hivyo ni rahisi zaidi kupata corona kwa njia ya zinaa kuliko kupata ukimwi kwa njia ya zinaa.
Masista kwa kawaida huishi maisha ya isolation katika makazi yao. Hivyo ndivyo wanavyoishi mapadre kwenye makazi yao. Hutawaona masokoni wala kwenye madaladala. Contact yao na watu wengine ni kwenye nyumba za ibada tu ambamo watu huvaa barakola na kufanya social distancing. Sasa hizo close contact zingine kati ya mapadre na masista zimetokeaje hadi kupelekea vifo 25 za mapadre na 60 za masista kwa kuambukizana corona ndani ya miezi 2 tu? Padre Kitima anataka serikali ifanye nini kunusuru hii hali ya mapadre na masista kuambukizana corona? Hii kasi ya maambukizi kwa watawa hawa, kama takwimu za Kitima ni za kweli, ni kubwa sana xaidi ya mara kumi kuliko hali ilivyo kwa wengine. Yaani wanawazidi hata watoa huduma ya afya walio front line kutibu wagonjwa wa corona mara zaidi ya kumi? Kuna nini huko kwa watawa wetu?
NB: Hadi sasa wimbi hili la sasa la ugonjwa huu, kiwango chake bado kiko chini sana ukilinganisha na wimbi la mwaka jana. Na tayari karibu linafikia mwisho wa msimu wake. Tungefanya copy & paste ncji yetu ingalikuwa kwenye continous lockdown and face masks kwa zaidi ya mwaka mmoja hadi sasa. Tulikataa kufanya hivyo. Wala hatuko peke yetu kufanya hivyo. Sweden walikataa kama sisi. Hadi sasa kimaambukizi na vifo sisi, Sweden na nchi zingine zilizochukua msimamo huu, ziko far better than those other countries such as USA and most European countries.
Mkuu ,mkuu , nimekuita Mara mbili, wenda andishi lako ni fikilishi, ila lenye hasira Sana KWA mh Kitima
1.Elewa kanisa ni familia ya watu wenye mtazamo mmoja katika imani flan,Kati ya viongozi ,(maaskofu,mapadri,masister n.k) na waumini, muumini akifariki atazikwa na viongozi wa kanisa, viongozi au padri aliezika muumini atakutana na watumishi wengine wakiwamo masister katika ibada ambazo hufanyika kila siku Kama sehem ya wito wao huko katika makazi yao, chain itaendelea,so kusema mda wote hukaa wamejifungia na kwamba ni ngum kupata close contact ni hiyo hoja haina mashiko,
2.Nakubali kwamba mtu na mwenza wake yaweza kua rahisi kuambukizana Corona kuliko Hiv, lakini elewa tangu anza KWA Hiv hata kabla ya kupata dawa za kurefusha maisha magonjwa nyemelelezi yalikuja KWA kasi kutokana na AIDS, na watu walikua wanakufa ila sio kwa mda mfupi Kama anachokifanya bwana CORONA, hivyo Corona ni harari Mara mia kuliko HIV kwamba yenyewe kufyeka hata watu mia au zaidi katika mda mfupi ni Jambo la kufikia , so watu kujua uhatari wa corona, Hali ya corona ilivyo ,na uhoga juu ya corona ni Jambo jema Sana kuwajenga kufikra ili kuendelea kuchukua hatua za kujikinga, leo watu bado wanachukulia Kama biashara ya kila siku, so hapa tatizo ni nini as far as hon Kitima speech is concerned? Kama tu alikua anafikisha ujumbe KWA familia yake iliyo chini ya tahasisi yao Kama viongonzi wao?
3. Tunapenda tatizo Hili kuisha, wasema tuko atua ya mwisho, unafikaje mwisho kirahisi Kama watu Bado wanachukulia hii kitu Kama biashara ya kila siku, daily watu kupumliana hata kwenye misongamano isiyo ya lazima? au bado unatumia idea ya hard immunity,elewa ngoma hii na Kama ilivyo Tabia ya virus ina mutate mjomba, mwaka jana Mambo yalienda vizuri KWA sababu serikali ilikuja na kauli moja ya kuwataka wananchi kuchukua tahadhali na mwitikio wa wananchi ulikua juu,tz nzima,that's ya matokeo chanya, so mpaka Sasa ni probability, kusema tunakaribia mwisho,wakati wewe binafsi unaona jinsi jamii haiko serious kuchukua hatua Kama mwaka jana, na mtaani Hali sio nzuri Kama unavyoaminisha watu,
Mwisho
GONJWA lolote Kama CORONA halitakiwi kua jukum la serikali tu bali wadau mbali mbali, wanajamii wenyewe,kujua ukubwa wa tatizo na kuelimishana KWA kushirikiana na serikali,