Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Amepandisha au kuongeza? Mbona mwaharibu Kiswahili?
 
Naomba msaada wa taarifa ....hivi hizi habari za kikokotoo kipya cha mafao eti ni miaka 8 tu kwa kuchangia miezi 100 ,je ni kweli ?
 
Ndugu yangu naomba ufafanuzi wa mafao kwa kikokotoo cha sasa kwa sekta binafsi ....please please πŸ™
Ili upate mafao, inatakiwa
- Uwe umefanya kazi kuanzia miaka 15

Kiwango cha mafao kinategemea
  • Jumla ya miezi uliyofanya kazi
  • Mshahara wako mkubwa uliokuwa unapewa wakati unastaafu
=====
 
Ili upate mafao, inatakiwa
- Uwe umefanya kazi kuanzia miaka 15

Kiwango cha mafao kinategemea
  • Jumla ya miezi uliyofanya kazi
  • Mshahara wako mkubwa uliokuwa unapewa wakati unastaafu
=====
Basic au take home?
Hiyo salary
 
Usanii tu wa kiswahili,yaani Rais anatafuta platform ya kuongelea kila siku,na ndio kuchanganyikiwa kwenyewe,watumishi hawajasahau walipoambiwa wameongezewa mishahara wakakuta Tshs 8000,naamini hawawezi kumwamini tena huyu mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…