Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Umekasirika mshahara kuongezwa?Chuki itakuuwaNyie ni mbwa na mtaendelea kuburuzwa maisha yenu yote. Tokeni huko uchawani tuje tuwaonyeshe maisha makumaku nyie
Umekasirika mshahara kuongezwa?Chuki itakuuwaNyie ni mbwa na mtaendelea kuburuzwa maisha yenu yote. Tokeni huko uchawani tuje tuwaonyeshe maisha makumaku nyie
Huna akili mbwa koko weweUmekasirika mshahara kuongezwa?Chuki itakuuwa
Acha usengerema. Kikwete alisha ongezaga kwa 100%Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challenge
Toka Tanzania ipate uhuru hakuna Raisi aliyewahi ongeza mshahara kwa kiwango cha Raisi Mama Samia iwe kwa asilimia au amount
Mitano tena kwa Raisi Mama Samia
Hapo ndio umeandika pumba gani?Nyie ni mbwa na mtaendelea kuburuzwa maisha yenu yote. Tokeni huko uchawani tuje tuwaonyeshe maisha makumaku nyie
nhifMmh..sio kila kitu Cha kuponda mkuu hata kama imeongezeka elfu 10 ..ni pesa tu Sasa hapo paye ni 18400 inabaki 481,600/- Kuna makato yapi mengine tena hapo tuseme mtu hadaiwi mkopo wa chuo ..hifadhi ya jamii itazidi elfu 20 kweli? Huoni Kuna kaongezeko mkuu ..Kuna vitu tuwe na shukran tu
Miaka uliyokuwa unafanya kazi hukuwa unafanya jambo kwamba ulikuwa unakula tuu Hadi uwe maskini kutegemea kikokotoo?Huna akili social security unaingiziwa chini ya laki kwa mwezi. Mwaka assume una 1.2m na sasa hivi vijana wanapata ajira 30+ years. Ukipiga hapo hesabu na kikokoto mtu anabaki kuwa maskini maishaa
Enzi zile Serikali ndio alikuwa muajiri mkuu, kila mtu akitoka shule mkeka wa kazi huo hapo anachagua..,. sasa hivi Serikali wala haijali tena kuajiri mpaka ikiamua kwahio kwa idadi ya wafanyakazi inaowalipa na makusanyo na ufanisi wa ukusanyaji ulivyoongezeka wangeweza kata kusema kima cha chini milioni moja....Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challenge
Toka Tanzania ipate uhuru hakuna Raisi aliyewahi ongeza mshahara kwa kiwango cha Raisi Mama Samia iwe kwa asilimia au amount
Mitano tena kwa Raisi Mama Samia
Weka takwimu mwaka gani mshahara ulikuwa shilingi ngapi ?Acha usengerema. Kikwete alisha ongezaga kwa 100%
🚮🚮Imbecile The List
Huyu mama "Chura Kiziwi" haaminiki na sijui hata naweza kumuamini tena..Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”
View attachment 3321888
Hater tuliza boli.Huyu mama "Chura Kiziwi" haaminiki na sijui hata naweza kumuamini tena..
Ni mwongo na ni mama wa uongo katika mengi anayoahidi...
Alisema na kuapa mbele ya kila mmoja wetu kuwa, yale ya uhuni ya kile kilichoitwa uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 hayatajirudia tena ktk chaguzi zijazo...
Cha ajabu yakajirudia, tena kwa ubaya na uhuni wa mwanake hatari kabisa..!!
Vya muhim hapo ambavyo vinajulikana ni nhif na hifadhi ya jamii..hayo mengine ni porojo tunhif
Chama cha kada yake
Pssf
Jitambue
Akili ninazo nyingi tu...nyinyi hamna shukrani MAMMBWA nyie hata mfanyiwwe nini hata mlambwe mikundu Bado mtakua hamna shukrani ...leta payslip inayoonesha mfuko wa jamii unawekewa laki..umesema chini ya laki ..tamka amount pumbavu wewe...umaskin mnautaka wenyewe..hakuna nchi utakayokua Dunia hii usilipe Kodi..mnataka mambo ya mserereko tu muishi kama mamwinyiHuna akili social security unaingiziwa chini ya laki kwa mwezi. Mwaka assume una 1.2m na sasa hivi vijana wanapata ajira 30+ years. Ukipiga hapo hesabu na kikokoto mtu anabaki kuwa maskini maishaa