ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Wenye Mishahara Midogo hawatozwiKuna mtumishi wa serikali asiyetozwa kodi ukitoa majaji? Mpk mfanya usafi mzee lbd uwe hulipwi na hazina

Ficha ujinga,bila CDM Kuna upinzani???Kwa,mantiki hii yako ina maana safari zingine ulikuwepo.Sasa kipi kitazuia usiwepo safari hii ?Vyama 18 vitashiriki uchaguzi na utakuwepo kama kawaida.
Unadhani kimakosa kwamba Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi kwa sababu wao hawashiriki?Ni wishful thinking.
🤣🤣Hao hiko kima hawapati hata siku moja.Upuuzi mtupu hakuna usawa kwenye mishahara kwenye sekta ya afya imetengwa. Kuna taasisi zipo zinapiga pesa kwa kuwekewa allowance zilizoshiba kwa dai la kuzalisha sana.
Mfano, kama EWURA anazalisha nini zaidi ya kuchota pesa.
hamna mtu wa kufafanua hii wanairuka sana 😂😂😂😂Wakuu,
Naomba ufafanuzi wa hii kauli
"Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiwango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu."
Hapa kikotoo kimekaaje?
Huyo ameongea nini sasa?Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”
View attachment 3321888
Sasa watakokotoa vipi wakati hawajui hata asilimia?.Wakuu,
Naomba ufafanuzi wa hii kauli
"Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiwango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu."
Hapa kikotoo kimekaaje?
Same contentMods wapuuzi sana Kwa nini mumeunganisha Uzi wangu?
Mshapugwa ,kama mwaka jana tu.Mwenye ufahamu na hii nyongeza atueleweshe
Okay sawaHapana ,Uzi wangu ulikuwa unamhusu Hanspaul
Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challengeAkihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”
View attachment 3321888
Mama kaupiga mwingi.Sijawahi kuipa kura CCM mwaka huu itakuwa ni mara ya kwanzaAkihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”
View attachment 3321888
Huwa ni chuki za kidini na mfumo dume.Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challenge
Toka Tanzania ipate uhuru hakuna Raisi aliyewahi ongeza mshahara kwa kiwango cha Raisi Mama Samia iwe kwa asilimia au amount
Mitano tena kwa Raisi Mama Samia
Niko daraja F kwa nyongeza hii kwa Nini nisimpe kura yangu?Huwa ni chuki za kidini na mfumo dume.
Hakuna wa kumshinda Samia Kwa delivery Kila siku nawaambia.
Na kabla hajaondoka 2030 atabakia ameongeza 40% kabisa.
Huna akili social security unaingiziwa chini ya laki kwa mwezi. Mwaka assume una 1.2m na sasa hivi vijana wanapata ajira 30+ years. Ukipiga hapo hesabu na kikokoto mtu anabaki kuwa maskini maishaaMmh..sio kila kitu Cha kuponda mkuu hata kama imeongezeka elfu 10 ..ni pesa tu Sasa hapo paye ni 18400 inabaki 481,600/- Kuna makato yapi mengine tena hapo tuseme mtu hadaiwi mkopo wa chuo ..hifadhi ya jamii itazidi elfu 20 kweli? Huoni Kuna kaongezeko mkuu ..Kuna vitu tuwe na shukran tu
Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challenge
Toka Tanzania ipate uhuru hakuna Raisi aliyewahi ongeza mshahara kwa kiwango cha Raisi Mama Samia iwe kwa asilimia au amount
Mitano tena kwa Raisi Mama Samia
Mama kaupiga mwingi.Sijawahi kuipa kura CCM mwaka huu itakuwa ni mara ya kwanza
Huwa ni chuki za kidini na mfumo dume.
Hakuna wa kumshinda Samia Kwa delivery Kila siku nawaambia.
Na kabla hajaondoka 2030 atabakia ameongeza 40% kabisa.
Nyie ni mbwa na mtaendelea kuburuzwa maisha yenu yote. Tokeni huko uchawani tuje tuwaonyeshe maisha makumaku nyieNiko daraja F kwa nyongeza hii kwa Nini nisimpe kura yangu?