Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Kima Cha chini ni 35.1%Kwani basic 370 ukiweka tozo inabaki 370?Ficha ujinga wako.
Kima Cha kati ni 5%
Kima Cha juu ni 2%
Kima Cha chini ni 35.1%Kwani basic 370 ukiweka tozo inabaki 370?Ficha ujinga wako.
Unaelewa hata ulichojibu?Ficha ujinga wako.Mara nyingine acha kukurupuka.Kima Cha chini ni 35.1%
Kima Cha kati ni 5%
Kima Cha juu ni 2%
Kampeni hiyo, huyu mtu anautaka urais kwa udi na uvumba. Watu watafungwa, watauawa, watatekwa na kuteswa ili yeye na genge lake wabaki madarakaniView attachment 3321872
Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”
Kwani kima cha chini kinakatwa kodi! Nijuavyo ni hapana isipokuwa kiasi kinachizidi hapo hukatwa kodi.Kwani basic 370 ukiweka tozo inabaki 370?Ficha ujinga wako.
Ndio swali nilimuuliza huyo mvimba macho akakacha kujibu.Jwani kima cha chini kinakatwa kodi! Nijuavyo ni hapana isipokuwa kiasi kinachizidi hapo hukatwa kodi.
🙅Jwani kima cha chini kinakatwa kodi! Nijuavyo ni hapana isipokuwa kiasi kinachizidi hapo hukatwa kodi.
Peleka uccm wako uko kwa vyura wenzio usicheze na maisha ya watu ukizungumza kuhusu pesa hayo ni maisha 500-370=130 halafu unaongeza gharama za maisha 70% umefanya nini apoUnaelewa hata ulichojibu?Ficha ujinga wako.Mara nyingine acha kukurupuka.
Inflation. Basic economics.Mporomoko wa thamani ya shilingi.
Kima cha Chini maana yake ni mshahara usiotozwa Kodi! Yaani Kodi itaanzia kutozwa kwenye 500,000/= plus. Sijui umeelewa?500 basic ukifyekwa tozo za mtoza ushuru unarudi kule kule kwny 370 tu
No reforms no Election!!View attachment 3321872
Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!
Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”
Kuna mtumishi wa serikali asiyetozwa kodi ukitoa majaji? Mpk mfanya usafi mzee lbd uwe hulipwi na hazinaKima cha Chini maana yake ni mshahara usiotozwa Kodi! Yaani Kodi itaanzia kutozwa kwenye 500,000/= plus. Sijui umeelewa?