comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
ππππππππ kumbe kuna watu WANAKULA jiwe3 na pwenti 7 ππππ huruma Sana
Hutarudi kule kule, maana hiyo 370 nayo ilikuwa inaingia kwa mtoza ushuru500 basic ukifyekwa tozo za mtoza ushuru unarudi kule kule kwny 370 tu
Wengi hapa ni waimba mapambio ni vigumu kuelewa.Inflation. Basic economics.
Hata katika interview na Kikeke alipoulizwa kwa nini hapandishi mishahara Samia aliitaja sababu hii.
Ila kaona huu ni mwaka wa uchaguzi awafurahishe wananchi.
No Reforms, No Election!Kampeni hiyo, huyu mtu anautaka urais kwa udi na uvumba. Watu watafungwa, watauawa, watatekwa na kuteswa ili yeye na genge lake wabaki madarakani
Unahisi itacheza mpk ngapi na baada ya hapo tuna switch gharama za maisha mpk 70 % πHutarudi kule kule, maana hiyo 370 nayo ilikuwa inaingia kwa mtoza ushuru
Nenda kapime uwezo wako wa kusikia.Kasema 35.1%. Kiswahili kinakupa tabu au una matatizo ya kusikia.Mbona unapinguza asimilia,amesema ni 75.1% na sio 35.1%
Wabongo bhana π mna matatizo mengi Sana ya kiakiliMporomoko wa thamani ya shilingi.
Ficha ujinga wako.Mwaka jana alitoa sababu za kutoongeza.Imekukera wafanyakazi kuongezewa mishahara?Ni dalili ya uchawi.Msilaghaike kipumbavu, kwanini asingepandisha mwaka jana? Mnadanganywa kufukia mashimo na uozo mwaka wa uchaguzi.
Kumbaf
Aiseeπ€Aloooo muda wa kutafuta mke mtumishi
We jamaa em tangulia hospital Ya masikio, tutakukuta huko.Mbona unapinguza asimilia,amesema ni 75.1% na sio 35.1%
Wewe ni kichaa tu chawa mlamba mavi.Ficha ujinga wako.Mwaka jana alitoa sababu za kutoongeza.Imekukera wafanyakazi kuongezewa mishahara?Ni dalili ya uchawi.
Wabongo hata mfanyiwe nn lazima mtalalamika tuu πAende akapumzike Zanzibar sasa, amepandisha kwa ghafla na mchecheto tena kiasi kikubwa...hapo tujue wazi atakopa sana nje kwa ajili ya kufidia mishahara maana serikali Haina biashara ya kutengeneza faida. Atatubandikia Kodi Hadi za Matiti, Kodi za kichwa na kuomba omba nje kuzurula daily, atakopa kopa sana yaani..Bora akapumzike tunamshukuru kwa yote aliyotifanyia Mungu amlipe sawasawa na alichofanya