Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Nani anaongeza gharama za maisha?Unaelewa hata uchumi wa Dunia unavyofanya kazi?
Unaelewa kwamba gharama zao maisha zimepanda Duniani kote?Na Tanzania sio kisiwa kisichoathiriwa na outside forces za kiuchumi.
Shule ulienda kusomea ujinga?Ongezeko la 130,000 litasaidia kupunguza makali ya maisha kwa wafanyakazi wengi waliopata ungezeko hilo.
ukumbuke ongezeko hili ni kwa wale tu waliokuwa na mshahara wa kima cha chini tu

wale walio zidi hapo haiwahusu
 
Unahisi itacheza mpk ngapi na baada ya hapo tuna switch gharama za maisha mpk 70 % 😄
TEBO LA KODI HILI HAPA
1746101094714.png


1. Wa 370,000/-
Kodi ya mwenye mshahara huu ipo hivi;
Mtu anayelipwa kiasi chochote hadi 270,000/- halipi kodi
Kiasi cha kuanzia juu ya 270,000/- hadi 520,000/- kodi ipo kama ilivyo hapa chini kwa anayelipwa 370,000/-
370,000 - 270,000 = 100,000/-. Kwahiyo kodi ya huyu ni % 8 ya kinachozidi 270,000/-
hivyo 8% x 100,000/- = 8,000/-

Hivyo PAYE ya huyu ni 8,000/-. Net pay itakuwa
370,000 - 8,000 - 10% ya basic (NSSF au mfuko wa jamii) = 370,000-8,000- (370,000x10%)
370,000 - 8,000 - 37,000 = 341,000/-

2. Wa 500,000/-
Kodi ya mwenye mshahara huu ipo hivi;
Mtu anayelipwa kiasi chochote hadi 270,000/- halipi kodi
Kiasi cha kuanzia juu ya 270,000/- hadi 520,000/- kodi ipo kama ilivyo hapa chini kwa anayelipwa 500,000/-
500,000 - 270,000 = 230,000/-. Kwahiyo kodi ya huyu ni % 8 ya kinachozidi 270,000/-
hivyo 8% x 230,000/- = 18,400/-

Hivyo PAYE ya huyu ni 18,400/-. Net pay itakuwa
500,000 - 18,400 - 10% ya basic (NSSF au mfuko wa jamii) = 500,000-18,400- (500,000x10%)
500,000 - 18,400 - 50,000 = 431,600/-

Kwa hesabu hizi, net pay ya mfanyakazi wa kima cha chini imepanda toka 341,000/- hadi 431,600/- ambalo ni ongezeko la Tshs. 90,600/-sawasawa na 24.5%
 
Kimahesabu hakuna kilichoongezeka hapo kwa mfanyakazi hasa kwenye take home or disposable income.

Kumbuka wafanyakazi wa kima cha chini walikua wakilipwa 380,000 bila kukatwa kodi. Sasa wameongezewa hadi 500,000 watakatwa kodi ya PAYE, hivyo take home inabaki kua ni ile ile.
Vichaaa wengi sana anchi hii
 
Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa asilimia 35.1 , ambapo nyongeza hiyo itaanza kutumika mwezi Julai mwaka huu.

Itaongeza kima cha chini cha mshahara kutoka laki 370,000/- mpaka laki 500,000/. Yamesemwa na Rais kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa leo Kitaifa Mkoani Singida.
Kiwango kisichokatwa kodi pia kitaongezeka ili kumpa unafuu mtu wa kima cha chini..!
 
Kimahesabu hakuna kilichoongezeka hapo kwa mfanyakazi hasa kwenye take home or disposable income.

Kumbuka wafanyakazi wa kima cha chini walikua wakilipwa 380,000 bila kukatwa kodi. Sasa wameongezewa hadi 500,000 watakatwa kodi ya PAYE, hivyo take home inabaki kua ni ile ile.
halafu watashgangilia
 
Kuna mtumishi wa serikali asiyetozwa kodi ukitoa majaji? Mpk mfanya usafi mzee lbd uwe hulipwi na hazina
Hili sio suala la kuongea kwa hisia. Kama wewe hujui, basi jua ndio hivyo! Na kama unakatwa, wasialiana na mimi (hata kama mimi sio Wakili! Ahahahahaha!) nitahakikisha hela yako yote iliyokatwa unarudishiwa.

Ila usinitafute leo. Nina Konyagi kubwa hapa nasherehekea Mei Mosi na Nyongeza ya Mshahara!
 
TEBO LA KODI HILI HAPA
View attachment 3321895

1. Wa 370,000/-
Kodi ya mwenye mshahara huu ipo hivi;
Mtu anayelipwa kiasi chochote hadi 270,000/- halipi kodi
Kiasi cha kuanzia juu ya 270,000/- hadi 520,000/- kodi ipo kama ilivyo hapa chini kwa anayelipwa 370,000/-
370,000 - 270,000 = 100,000/-. Kwahiyo kodi ya huyu ni % 8 ya kinachozidi 270,000/-
hivyo 8% x 100,000/- = 8,000/-

Hivyo PAYE ya huyu ni 8,000/-. Net pay itakuwa
370,000 - 8,000 - 10% ya basic (NSSF au mfuko wa jamii) = 370,000-8,000- (370,000x10%)
370,000 - 8,000 - 37,000 = 341,000/-

2. Wa 500,000/-
Kodi ya mwenye mshahara huu ipo hivi;
Mtu anayelipwa kiasi chochote hadi 270,000/- halipi kodi
Kiasi cha kuanzia juu ya 270,000/- hadi 520,000/- kodi ipo kama ilivyo hapa chini kwa anayelipwa 500,000/-
500,000 - 270,000 = 230,000/-. Kwahiyo kodi ya huyu ni % 8 ya kinachozidi 270,000/-
hivyo 8% x 230,000/- = 18,400/-

Hivyo PAYE ya huyu ni 18,400/-. Net pay itakuwa
500,000 - 18,400 - 10% ya basic (NSSF au mfuko wa jamii) = 500,000-18,400- (500,000x10%)
500,000 - 18,400 - 50,000 = 431,600/-

Kwa hesabu hizi, net pay ya mfanyakazi wa kima cha chiniimepanda toka 341,000/- hadi 431,600/- ambalo ni ongezeko la Tshs. 90,600/-
Kuna inavyotakiwa kuwa na kuna wanavyotaka wao
 
Ukilipa Gross salary ya 500,000 utakatwa PSSF 5% sawa na 25,000 then chukua 475000 toa Payee ya TRA sawa na shs 16400 Kwenye hio 475K toa 3% ya NHIF 14250 Mpaka hapo jumla ya makato ni 55,650 hapo ongeza na vyama vya wafanyakazi na chupli nyingine ila Kwenye 390K mpaka 400K Mtu anapata kwaio sio haba kwakweli
 
Kima cha chini Ongezeko ni 130000 sawa 35.1%
Assuming unalipwa 1,200,000. Na kama 130,000 ni fixed amount kwa watumishi wote. Mtumishi huyo atapata nyongeza ya 130,000 ÷1,200,000 ×100=10.8%
 
Bila Shaka Hii Itakuwa Imeenda Yaani Wanaupiga Mshono Unafumuka Kwenye 370
Mambo Ya Ubongo Kids, 0 Nini ? Maana Yake Hakuna Kitu
500 basic ukifyekwa tozo za mtoza ushuru unarudi kule kule kwny 370 tu
 
Laki tano ilivyo ndogo hata sioni mantiki ya kushangiliwa, laki tano kwa mazingira ya uchumi kwa sasa hata wiki ya pili baada ya mshahara haifiki.
Kama laki 5 haitafika wiki ya pili unadhani 370,000 inafika siku 3? mantiki ya kushangilia ipo machungu wanayajua wao na unafuu pia wanaujua wao,waache washangilie kiroho safi.
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Back
Top Bottom