BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Hakuna kitu kama hicho,piga hesabu tenaKima Cha chini ni 35.1%
Kima Cha kati ni 5%
Kima Cha juu ni 2%
Hakuna kitu kama hicho,piga hesabu tenaKima Cha chini ni 35.1%
Kima Cha kati ni 5%
Kima Cha juu ni 2%
Ongezeko la mshahara la 35.1% linawahusu watumishi wa salary scale ya chini pekee: yaani wanaolipwa 370,000/=, hivyo ongezeko la 35.1% ya TZS 370,000/= ni sawa na 129K ~ 130K, na hivyo kufanya jumla kuu kuwa 370K+130K = 500K approximately, kwa bongo kima cha chini cha mshahara serikalini ni TZS. 350K - 400KMwenye ufahamu na hii nyongeza atueleweshe
Sasa kima kipya cha chini ni shillingi ngapi?Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo?Unadai kima cha chini hakikatwi kodi.Yaani 500000shs sasa hiyo 380+k unaipata wapi?Kima cha chini cha mshahara huwa hakikatwi kodi (PAYE).
Maana yake wachoongezewa wataanza kukatwa na kurudi huko huko kwenye 380+K
Hesabu za fedha hazipo hivyoMimi si mtumishi wa umma naomba nifafanuliwe haya masuala maana SINA UELEWA SANA NA HIZI SIASA ZA NYONGEZA ZA MISHAHARA.
Hii nyongeza ya 35% ni kwa kila mtumishi au kima cha chini maana yake ni nini??
Mfano lets say mtu kuna daraja huko serikalin mtu anapokea 1,280,000/= kama basic , 35% ya nyongeza (kama ina apply) means ni 448,000/=
Kwahiyo hii ina maanisha ataanza kukinja 1.7m??? Au????
Sasa kwa watumishi woote waliopo, serikali hii pesa ina plan kuitoa wapi kwenye hiyo bajeti ya mwaka mpya wa fedha??
Hakika.Mporomoko wa thamani ya shilingi.
mtumishi subiri july uone kitakachoingia ndio uhalisia,Mimi si mtumishi wa umma naomba nifafanuliwe haya masuala maana SINA UELEWA SANA NA HIZI SIASA ZA NYONGEZA ZA MISHAHARA.
Hii nyongeza ya 35% ni kwa kila mtumishi au kima cha chini maana yake ni nini??
Mfano lets say mtu kuna daraja huko serikalin mtu anapokea 1,280,000/= kama basic , 35% ya nyongeza (kama ina apply) means ni 448,000/=
Kwahiyo hii ina maanisha ataanza kukinja 1.7m??? Au????
Sasa kwa watumishi woote waliopo, serikali hii pesa ina plan kuitoa wapi kwenye hiyo bajeti ya mwaka mpya wa fedha??
Nimeomba ufafanuziHesabu za fedha hazipo hivyo
Mimi si mtumishi mkuumtumishi subiri july uone kitakachoingia ndio uhalisia,
usanii umetumika kuwaridhisha watumwa wa kazi ili waipigie kura ccmKwahyo na hao wengine wanaongezew % ngap . Kam kuna sehemu haijanyooka
Aliyekuwa akibeba 370,000/= sasa atabeba 500,000/= taslimu, ikizidi 371,000/= yaani 501,000/= hiyo iliyozidi itakatwa kodi.Mwenye ufahamu na hii nyongeza atueleweshe
Kima cha chini cha mshahara huwa hakikatwi kodi (PAYE).
Maana yake wachoongezewa wataanza kukatwa na kurudi huko huko kwenye 380+K
Kwakuw effects itaonekan July ajue tuu cc ni people 😑. Tutajua july 23 had 31 kuw yaliyomo yamoousanii umetumika kuwaridhisha watumwa wa kazi ili waipigie kura ccm
Kima cha chini kinaeleweka.Cha kati ni kipi na cha juu ni kipi?Kima Cha chini ni 35.1%
Kima Cha kati ni 5%
Kima Cha juu ni 2%
Tatzo unasoma subtitle tuu. Wengine mtaaongezew kadiri Bajet inavyoruhusuHebu wataaalam wasaidie kudadavua.
Nyongeza ya 35.1% ina maana inaongezeka kwa kila ngazi ya mshahara au?
Mfano mwalimu anayeanza na 700K itaongezeka kwa 35.1% na the same kwa daktari anayeanza mfano kwa 1.5M naye utaongezeka hivyohivyo kwa 35.1% au?
Hebu tutoane tongotongo.