Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Tatzo unasoma subtitle tuu. Wengine mtaaongezew kadiri Bajet inavyoruhusu
Mimi sio mtumishi mkuu..Ila tu napenda kujifunza mambo nilitaka kujua tu.Ahsante kwa mchango wako.
 
tangu lini 1,200,000 ikawa kima cha chini, huo mshahara hauwahusu wenye kiwango hicho
Mantiki ni kwamba mshahara 370000 hadi 500000 nyongeza 35.1%. Ambapo ongezeko ni 130000.

Kama 130000 ni fixed amount ya nyongeza kwa analipwa 1,200, 000/= nyongeza hiyo itakuwa 10.8% na sio 35.1
 
Hizi dalili mbaya sana kwa wapiga kura, uchaguzi huu uliotukabili.

Hili jambo kuwepo sasa kwa maono niliyopokea kiakili ni kama hujatuongeza hatutaiba na kukimbia na masanduku ya kura ,fikiria utaiona picha kwa ukaribu na undani zaidi.
Hahaha hata sijui kwanini nacheka. Kwamba ili uibe na kukimbia na masanduku ya kura! Watu mnafikiria mbali sana.
 
Nani anaongeza gharama za maisha?Unaelewa hata uchumi wa Dunia unavyofanya kazi?
Unaelewa kwamba gharama zao maisha zimepanda Duniani kote?Na Tanzania sio kisiwa kisichoathiriwa na outside forces za kiuchumi.
Shule ulienda kusomea ujinga?Ongezeko la 130,000 litasaidia kupunguza makali ya maisha kwa wafanyakazi wengi waliopata ungezeko hilo.
Mkuu tujitahidi kuwaelewesha. Wasipoelewa shauri yao!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”
8 January 2025 — Angeshauri kuwa kima cha chini kiwe 500,000/- ambayo haikatwi kodi. ... Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=SRIq-OW5w54
 
Hapana si wote, hicho ni kima cha chini tu, huko juu kinaenda kikipungua na hii ni kwa watumishi wa umma tu, binafsi watajadiliana wenyewe.
Hua yanatoka maelekezo ya kuonyesha range gain ina percentage gani?
 
Back
Top Bottom