Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Aafu sokoni wanasubiria hio Julai ,wakihakikisha tu mshaara umeingia na wao wanaongeza bei ,kwani katika nchi hii hakuna anaecontrol bei zai vitu ,si nauli za mabasi wala bodaboda.
Ila Watanzania mnashindwa hata kufuga kuku ,yaani chukulia kila mtu anafuga kuku hawahawa wakienyeji ,mwizi wa kuku ataiba akamuuzie nani ? Hawezi kuhatarisha uhai kwa kitu kisicho na bei, jitahidini kila nyumba iwe na kuku
Mkuu unaongelea KUFUGA kuku kama vile ni kitu rahisi sana, jaribu uone uhondo wake, kuku siku nzima mzima anaigia bandani usiku unasikia tu milio ya kuku na kudondoka unasubiri kuche ukatuoe mzoga.
 
Mwaka wa uchaguzi huu, oh thought April 1st leo kumbe ni May tayari! Mnisamehe nimekunywa molele
 
Watalaamu tunaomba ufafanuzi Kila Daraja atapata nyongeza ya kiasi Gani wakuu.
Mf.
Daraja
A
B
C
D mpaka Mwisho.
Najua humu wapo watalaamu kabisa wa kujitolea kutupa Elimu ya hiyo nyongeza ya asilimia 35.1%
Naomba kuwasilisha
 
Mmeshindwa kupambana na mfumuko wa bei eti mnaongeza mshahara ,unaongezewa elfu hamsini alafu vitu vinapanda mara dufu.
 
Kama watashindwa kuzuia mfumuko wa bei za bidhaa na kuporomoka kwa shilingi ya Tanzania baada ya miezi tu tutalia tena kuongezewa mishahara haitoshi
Na hapa ndo shida kubwa ilipo,inflation inatuumiza,
 
Watalaamu tunaomba ufafanuzi Kila Daraja atapata nyongeza ya kiasi Gani wakuu.
Mf.
Daraja
A
B
C
D mpaka Mwisho.
Najua humu wapo watalaamu kabisa wa kujitolea kutupa Elimu ya hiyo nyongeza ya asilimia 35.1%
Naomba kuwasilisha
 

Attachments

  • IMG-20250501-WA0005.jpg
    IMG-20250501-WA0005.jpg
    34.5 KB · Views: 36
Ila Hawa wanasiasa ni watu washenzi,, kwahiyo safari hii wametangaza ongezeko hadharani bila kuogopa wafanyabiashara kuongeza gharama za vitu?🤔🤔
 
Upuuzi mtupu hakuna usawa kwenye mishahara kwenye sekta ya afya imetengwa. Kuna taasisi zipo zinapiga pesa kwa kuwekewa allowance zilizoshiba kwa dai la kuzalisha sana.
Mfano, kama EWURA anazalisha nini zaidi ya kuchota pesa.
 
Peleka uccm wako uko kwa vyura wenzio usicheze na maisha ya watu ukizungumza kuhusu pesa hayo ni maisha 500-370=130 halafu unaongeza gharama za maisha 70% umefanya nini apo
Duuh unatumia nguvu saana bro kwan hata asingeweka ungemfanya nn
 
Back
Top Bottom