Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Kimahesabu hakuna kilichoongezeka hapo kwa mfanyakazi hasa kwenye take home or disposable income.

Kumbuka wafanyakazi wa kima cha chini walikua wakilipwa 380,000 bila kukatwa kodi. Sasa wameongezewa hadi 500,000 watakatwa kodi ya PAYE, hivyo take home inabaki kua ni ile ile.
Kwa hiyo washaurije wewe.
 
500 basic ukifyekwa tozo za mtoza ushuru unarudi kule kule kwny 370 tu
Mmh..sio kila kitu Cha kuponda mkuu hata kama imeongezeka elfu 10 ..ni pesa tu Sasa hapo paye ni 18400 inabaki 481,600/- Kuna makato yapi mengine tena hapo tuseme mtu hadaiwi mkopo wa chuo ..hifadhi ya jamii itazidi elfu 20 kweli? Huoni Kuna kaongezeko mkuu ..Kuna vitu tuwe na shukran tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwani basic 370 ukiweka tozo inabaki 370?Ficha ujinga wako.
Najua Kuna mambo mengi ambayo sio mazuri kwenye jamii ila Yale mazuri tupongeze tu unaongezewa laki nzima Bado watu wanatukana...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mimi si mtumishi wa umma naomba nifafanuliwe haya masuala maana SINA UELEWA SANA NA HIZI SIASA ZA NYONGEZA ZA MISHAHARA.
Hii nyongeza ya 35% ni kwa kila mtumishi au kima cha chini maana yake ni nini??

Mfano lets say mtu kuna daraja huko serikalin mtu anapokea 1,280,000/= kama basic , 35% ya nyongeza (kama ina apply) means ni 448,000/=
Kwahiyo hii ina maanisha ataanza kukinja 1.7m??? Au????

Sasa kwa watumishi woote waliopo, serikali hii pesa ina plan kuitoa wapi kwenye hiyo bajeti ya mwaka mpya wa fedha??
Ameongeza kima cha chini kimahesabu wote waliojuu wataona nyongeza
 
Mimi si mtumishi wa umma naomba nifafanuliwe haya masuala maana SINA UELEWA SANA NA HIZI SIASA ZA NYONGEZA ZA MISHAHARA.
Hii nyongeza ya 35% ni kwa kila mtumishi au kima cha chini maana yake ni nini??

Mfano lets say mtu kuna daraja huko serikalin mtu anapokea 1,280,000/= kama basic , 35% ya nyongeza (kama ina apply) means ni 448,000/=
Kwahiyo hii ina maanisha ataanza kukinja 1.7m??? Au????

Sasa kwa watumishi woote waliopo, serikali hii pesa ina plan kuitoa wapi kwenye hiyo bajeti ya mwaka mpya wa fedha??
Swali zuri
 
Yote 9, 10 bila Reforms Uchaguzi haupo. Safari hii mnachaguana wenyewe kwa wenyewe.
Kwa,mantiki hii yako ina maana safari zingine ulikuwepo.Sasa kipi kitazuia usiwepo safari hii ?Vyama 18 vitashiriki uchaguzi na utakuwepo kama kawaida.
Unadhani kimakosa kwamba Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi kwa sababu wao hawashiriki?Ni wishful thinking.
 
1746111444038.png
 
Serikalini hakuna scale yenye mishahara kama hiyo kwa sasa
 
Kimahesabu hakuna kilichoongezeka hapo kwa mfanyakazi hasa kwenye take home or disposable income.

Kumbuka wafanyakazi wa kima cha chini walikua wakilipwa 380,000 bila kukatwa kodi. Sasa wameongezewa hadi 500,000 watakatwa kodi ya PAYE, hivyo take home inabaki kua ni ile ile.
Unajua shida sisi wabongo hatunaga shukrani ..mtu anataka akiambiwa kima.cha chini kimeongezeka Yani kisikatwe..hakuna nchi ambayo haulipi kodi hio nchi haipo duniani...Sasa mtu anataka akilipwa laki 5 atoe laki Tano kama ilivyo...hata mwanzo aliekua analippwa laki 3 si alikua anakatwa anapokea laki 2 huko..Sasa sasahivi angalau atakua anapokea laki 4 na ushee..Bado mnalalamika..[emoji23]
 
Kama ni hivi basi huyu mama kacheza karata ya kisiasa ila bado hatakubalika ni uhadaaa tum
 
Back
Top Bottom