Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Kima cha chini Ongezeko ni 130000 sawa 35.1%
Assuming unalipwa 1,200,000. Na kama 130,000 ni fixed amount kwa watumishi wote. Mtumishi huyo atapata nyongeza ya 130,000 ÷1,200,000 ×100=10.8%
130,000 sio fixed mkuu
 
Kama ilivyokuwa hapo awali. Safari hii nilimsikia akisema hata wale wa kima Cha juu Cha mshahara, nyongeza ipo lakini hakufafanua kuwa ni asilimia ngapi. Hivyo kima Cha chini 35.1 je kima Cha juu ni ngapi?
sawa kiongoz
 
Kwahyo na hao wengine wanaongezew % ngap . Kam kuna sehemu haijanyooka
 
Mwenyezi mungu ampe kizuri akitakacho kwa mazuri ayatendayo.
 
Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,

“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!

Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.

Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”

View attachment 3321888
Pamoja na mishahara Serikali iangalie maslahi ya watu wa mikataba kama wanafanya kazi zaidi ya mda ule wa kupanda daaja wapande na qaadilishiwe moundo sio unamuweka mtu kwenye mkataba miaka 5 na salary Ile Ile n Cheo kile kile hii sio sawa.
 
Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,

“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!

Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.

Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”

View attachment 3321888
Wabunge wamepata kibwagizo cha sifa.Utasikia;haijawahi kutokea,Mrs president ni zawadi na tunu toka kwa Mungu,wafanyakazi mpigieni kura zote sbb anawajali,Mtampata wapi kiongozi mwenye upendo,kujali kama huyu?,Prezdaa awapa kicheko na shangwe wafanyakazi.Ongeza na nyingine.........
 
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK SAMIA SULUHU HASSAN AMETANGAZA RASMI NYONGEZA YA YA TSHS 130,000 KWA WATUMISHI WA UMMA. KIMA CHA CHINI KUTOKA 370000 HADI 500000 SAWA ASILIMIA 35.1

NYONGEZA HII ITAKUWA TOFAUTI KWA NGAZI ZINGINE ZA MISHAHARA.

NUKUU YA HOTUBA "NGAZI NYINGINE ZA MSHAHARA NAZO ZITAPANDA KWA KIWANGO KIZURI JINSI BAJETI INAVYORUHUSU.
 
Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,

“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta ustawi kwa wafanyakazi, mwaka huu Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Wafanyakazi hoyee!

Nyomgeza hii itakayoanza kutumika Julai Mwaka huu, itaongeza kima cha mshahara kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000. Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu.

Kwa upande wa sekta binafsi, bodi ya kima cha chini kwa sekta binafsi inaendelea kufanya maptio ili kuboresha viwango vya chini vya mshahara ili kuboresha sekta hiyo.”

View attachment 3321888
Hamna kitu hapo..panga la Paye likipita na mfumuko wa bei unabaki palepale tu. Nyingez ya 130000 nothing. Wajikite katika kuboresha huduma za kijamiii
 
Kima cha chini Ongezeko ni 130000 sawa 35.1%
Assuming unalipwa 1,200,000. Na kama 130,000 ni fixed amount kwa watumishi wote. Mtumishi huyo atapata nyongeza ya 130,000 ÷1,200,000 ×100=10.8%
tangu lini 1,200,000 ikawa kima cha chini, huo mshahara hauwahusu wenye kiwango hicho
 
Kwa wanaoajiri kitaa sababu ni theluthi hata wangefanya 1m bado zingebakia pesa za kununua magoli...;

Nadhani smart money ni kuhakikisha madogo wanapata ujira na sio sasa unatangaza nafasi za watu kumi wanajitokea elfu 10
 
kwakweli tupongeze kwa hili especially wa kima cha chini watt waondokane na umasikini
 
wakiweka kwenye kikokotoo, kuna mtu atapita na nyongeza ya 2%
 
Kwani basic 370 ukiweka tozo inabaki 370?Ficha ujinga wako.
Kima cha chini cha mshahara huwa hakikatwi kodi (PAYE).
Maana yake wachoongezewa wataanza kukatwa na kurudi huko huko kwenye 380+K
 
Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa asilimia 35.1 , ambapo nyongeza hiyo itaanza kutumika mwezi Julai mwaka huu.

Itaongeza kima cha chini cha mshahara kutoka laki 370,000/- mpaka laki 500,000/. Yamesemwa na Rais kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa leo Kitaifa Mkoani Singida.
Yaani unapewa hela halafu inachukuliwa hapo hapo mkononi kabla hata hujaiweka mfukoni , lakini karatasi limebadilika maandishi 😀 😀 .. Very smart.
Wanasiasa watu hatari sana, hapo tumeshata Ubeti Mzima kwenye Wimbo wa Kampeni na Wafanyakazi mtaimba na kuimbishwa 😀😀
 
Back
Top Bottom