Serikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?

Serikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?

Hii sheria inatakiwa itumike kwenye public places na ndani ya majengo yanayo hudumia watu wengi kama ndani ya hotel n.k.

Hii ikitumika dhidi ya mtu binafsi anapotaka kuweka security camera nyumbani kwake hapa wanakosea tena sana.

Uhamuzi wa ajabu sijawai kufikiria au kuona.
 
Nadhani kama taifa tunahitajii hiii

IMG_20260324_125100.jpg
 
Wakati ninatafakari kwanini BASATA iwasajili wapika keki nakutana na hii habari ya CCTV. Ninaisihi serikali yangu tukufu iachane na mawazo ya baadhi ya watu wanaodhani wanaisaidia serikali kumbe wanachochea hasira kali kwa wananchi. Kuwadhibiti wananchi kwa kiwango hiki haitaleta faida yoyote zaidi ya kuongeza vinyongo.
 
Kama cctv camera nafunga katika eneo langu ambalo namiliki kisheria, hiyo faragha yako kwanini uje ufanyie katika eneo langu, na hiyo faragha kama ina lengo zuri kwanini uwe na hofu?
Ni kweli japo kuna watu wakishashika vijisenti wanafanya mambo ya ajabu, unakuta mtu kafunga cctv camera mpaka kwenye vyumba vya wafanyakazi au wageni anaangalia wanavyobadili nguo.

NB: Bado hii si sababu yenye uzito kuifanya serikali isajili private cctv.
 
Wakati ninatafakari kwanini BASATA iwasajili wapika keki nakutana na hii habari ya CCTV. Ninaisihi serikali yangu tukufu iachane na mawazo ya baadhi ya watu wanaodhani wanaisaidia serikali kumbe wanachochea hasira kali kwa wananchi. Kuwadhibiti wananchi kwa kiwango hiki haitaleta faida yoyote zaidi ya kuongeza vinyongo.
Ukichunguza utangudua Kuna watu Kwa makusudi kabisa wanataka kumuharibia Samia
 
Back
Top Bottom