Serikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?

Serikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?

PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Mmmh haya mambo gani sasa kwa hio hizo hela za kununulia Camera wanatoa wao au natoa mimi mpaka waniwekee masharti yote hayo? Na hizi za kwenye simu tunasajiri wapi au hawajui km hizi pia ni CCTV Camera?
 
PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Hakuna jipya hapa; ni kuiga tu mambo yanayofanyika kwingineko duniani.

Hakuna takwa kama hilo kama mitambo imefungwa ndani ya nyumba ya mtu binafsi kwa usalama wake.

Hakuna mtu anayeweka tangazo kuonya kuwa ndani ya nyumba yake kuna silaha.; au kuwa ndani ya gari lake kuna silaha.

Huko "kusajili' nako ni jambo la kawaida; lakini teknolojia ya sasa ni sawa na kupoteza muda tu kutegemea watu kusajili vyombo ambavyo hata wao (Bodi) hawana uwezo wa kujuwa kuwa vipo.
 
Serikali ya CCM itahaha sana, wananchi washaamka hii si miaka ya 1960 ya mwalimu.

Sasa Dunia tunakwenda kwenye AI, wewe unahangaika na Camera tech ya miaka 100 iliyopita leo Dunia ipo kwenye AI maana yake ni kwamba kama wewe mbumbumbu basi unaweza kutumia akili za wengine kusonga mbele.

Sasa hapa kwetu wajinga wanafikiri AI ni ku edit videos - idiots.
 
Kama cctv camera nafunga katika eneo langu ambalo namiliki kisheria, hiyo faragha yako kwanini uje ufanyie katika eneo langu, na hiyo faragha kama ina lengo zuri kwanini uwe na hofu?
Wanako elekea watapiga marufuku na camera za simu na za kwenye magari, hii nchi inabsheria za kikoloni sana aisee halafu tunajiona tunasonga mbele!
 
Ayatola walifuatiliwa nyendo zao na zilizorekodiwa na hizo kamera za mitaani na kutandikwa missile na israeli na hiyo ndiyo sababu ya hii marufuku ya tanzagiza, mkiambiwa kuna uhusiano kati ya evil islamic republic of iran na hapa msifikiri ni blah blah, mullahs wakianguka na wanaanguka soon na islamic republic of tanzagiza pia haina maisha.

kamera za barabarani zilim-snitch ...
1774386526965.png
 
Hii nchi sheria ni nyingi sana za kuumiza wananchi na kulinda wezi wa mali za umma, nchi hii nyerere atalaumiwa sana maana ndio chanzo cha yote kwa ubinafsi wake.
 
Nilipita mahali wakawa wananiambia una uboo mrefu!!!he! Nikajiuliza wameuona wapi? Mdada wa kazi wa nyumba ile akaja kuniambia kuna siku nilikojoa enjoy hilo wakaniona kwenye kamera zaa thithitiviii.Serikali iko sahihi kweli
 
Back
Top Bottom