evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
India ni lazima kuweka cctv majumbanj, hakuna haja ya kibali ni amri.
Ukitokea unekuja kuibiwa na wakakuta hauna cctv tukio lako halifuatiliwi.
Manake kule upelelezi unaanzi kwenye cctv footage mwizi hata kama alikuja amevaa mask watatumia technologia zao hadi kumgundua