Kwani huko Lumumba huwa hampeani ushauri mkuu?Wakati ninatafakari kwanini BASATA iwasajili wapika keki nakutana na hii habari ya CCTV. Ninaisihi serikali yangu tukufu iachane na mawazo ya baadhi ya watu wanaodhani wanaisaidia serikali kumbe wanachochea hasira kali kwa wananchi. Kuwadhibiti wananchi kwa kiwango hiki haitaleta faida yoyote zaidi ya kuongeza vinyongo.
Umenena vema sana mkuu.Kama cctv camera nafunga katika eneo langu ambalo namiliki kisheria, hiyo faragha yako kwanini uje ufanyie katika eneo langu, na hiyo faragha kama ina lengo zuri kwanini uwe na hofu?
Kutaka watu waweke warning ni sawa, lakini sio sawa kutaka CCTV zisajiliwe!Mtu kaweka Camera eneo nyumbani kwake au kwenye biashara yake nje hapo ameingilia faragha ipi ya mtu
Waafrica sisi ni wapumbafu sana hizi CCTV zingewekwa mpaka barabarani huko lakini sasa tunaanza kuzipiga vita
Kabisa...na hawataweza .Kuna video nyingi za watu October 29 policcm wakiua watu ziliweza kupatikana kwa ufanisi sababu ya CCTV.
Waligundua maeneo baadhi walitishiwa na kuambiwa wafute, wengine walivunjiwa camera zao na vifaa vyake kuchukuliwa hivyo sasa ni vita ya kuficha ukweli.
Ni nchi isiyojitambua ndio inataka ifahamu ulinzi binafsi wa mtu ameuweka wapi ili iweje?
Hapo wataambiwa watoe hadi ramani ya jengo ili wajue camera zitafungwa wapi ili kama wanakuja kumteka mtu wajue wanaanzia wapi, kama walivyofanya kwa Polepole baada ya kujua uelekeo na ramani ya nyumba kazi yao ya kwanza ilikua ni kuvunja camera na vifaa vyote vya ulinzi wa jengo.
Ni wakati wa watanganyika kupinga uhuni huu .
Sisi wanasheria na hilo neno #trespassing# utakuwa umetuacha kama wanasheria wajamuhuri vs TALYaani mtu afanye trespassing na bado alindwe na mambo ya faragha...
Huyu ameshajiharibia mwenyewe kwa kuua Watanganyika zaidi ya 10,000 kwa siku tatu tu.Ukichunguza utangudua Kuna watu Kwa makusudi kabisa wanataka kumuharibia Samia
Ukiona wanataka wajue watu wangapi mtaa fulani wamefunga kamera za ulinzi na wamefunga wapi basi hapo wanashirikiana na watekaji wa policcm.Kabisa...na hawataweza .
Kwa ulimwengu huu wa sasa inashangaza kwamba mpaka leo watu primitive kama hawa bado wanaoperate serikalini..
Ndio maana narudia wapeni watoto elimu itawasaidia sana...
Watu waliofeli huwa wana chuki sana dhidi ya wenzao waliofaulu...ni kama wachawi tu...
Hahahahaa.. Umenichekesha sana hadi mtoto wa jirani kaamkahiyo faragha yako kwanini uje ufanyie katika eneo langu
Tanzania bado viongozi wetu wanafikiri kijima sana, hapo unaweza kuta mtu mmoja mtekaji mwenye mawazo ya MO29 kaona hilo litawaumbua kaja na hili wazo la kijinga.Mtu kaweka Camera eneo nyumbani kwake au kwenye biashara yake nje hapo ameingilia faragha ipi ya mtu
Waafrica sisi ni wapumbafu sana hizi CCTV zingewekwa mpaka barabarani huko lakini sasa tunaanza kuzipiga vita