AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Mmmh haya mambo gani sasa kwa hio hizo hela za kununulia Camera wanatoa wao au natoa mimi mpaka waniwekee masharti yote hayo? Na hizi za kwenye simu tunasajiri wapi au hawajui km hizi pia ni CCTV Camera?PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Ni akili za kijinga sometimes ila maelezo waliyoyatoa naona hayajatoshaWaafrica sisi ni wapumbafu sana hizi CCTV zingewekwa mpaka barabarani huko lakini sasa tunaanza kuzipiga vita
Lengo litakuwa ni kulinda uhalifu. Walipomshambulia TAL kwa nia ya kumuua kule Dodoma waliondoa cctv camera na kuzificha ili kupoteza ushahidi wa wahusika kwenye tukioSerikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?
Hakuna jipya hapa; ni kuiga tu mambo yanayofanyika kwingineko duniani.PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Nani kaziweka na zinalinda lini? Mbona wenye silaha za jadi hawajisajili?Ulinzi! Ulinzi Ulinzi BOLD@
Camera ni za ulinzi kinawawashia nini? Je nyie ni wezi?
Hahaha swali konkiKwahiyo kukiwa na vibali ndo itakua ridhaa yako wewe mnunuzi?
Wanako elekea watapiga marufuku na camera za simu na za kwenye magari, hii nchi inabsheria za kikoloni sana aisee halafu tunajiona tunasonga mbele!Kama cctv camera nafunga katika eneo langu ambalo namiliki kisheria, hiyo faragha yako kwanini uje ufanyie katika eneo langu, na hiyo faragha kama ina lengo zuri kwanini uwe na hofu?
Sio kwako tu. Kuna Nyumba za Wageni wamefunga Camera hapo wasemajekuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Kuingilia faragha eneo la wazi? Halafu kwangu? Hao wapuuzi nini?
Usallama na husaidia pale wizi unapotokea. Hoteli wengi watasajiliSio kwako tu. Kuna Nyumba za Wageni wamefunga Camera hapo wasemaje
Nyumba za wageni reception na corridors? Hizo ni sehemu za faragha?Sio kwako tu. Kuna Nyumba za Wageni wamefunga Camera hapo wasemaje